mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,714
Akili yako ndogo sana sio kila anayepinga ni chadema kuna watu wana akili kubwa hawako kwenye chama chochote ndio wanatoa mawazo yao kwa hiyo wewe kwa akili zako ndogo endelea na umbumbu wakoChadema mnapinga kila kitu?
Katiba haijakataza hivyo ni sahihi .japo nadhani tubadili hiliKusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Jana ulisema yupo hoi lakini naona leo ameonekana na afya njema.
Shida tuna raisi chizi!Wakuu Rais ana shida...shida tena shida kubwa. Something need to be done soon to save him...
Please mamlaka husika mxhunguzeni Rais..
He is confused...emotional..he looks no hop
Na wewe mrudishe Habib huko ulikomficha😀😀Something is not right, nimemtazama hotuba yake ni mwenye hofu na hasira japo alikuwa anajitahidi sana kuificha.
Anaonekana kuumizwa sana na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii (akina Kigogo hao, lol)
Amejitahidi sana kutuhakikishia tunayoyaona na kusikia sio sahihi na story zake za mapapai ila hatudanganyiki Mzee, tunaona mitaani pia, sio mitandaoni pekee.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni yeeeeeeyeeeee.... ni yeee yeeeeeeeAnaonekana yuko desperate na confused. Mimi nilikua nasikiliza kupitia radio, kuna mtu alikua anakohoa mara kwa mara, ni nani?
Rais Magufuli anazungumzia ujinga wa viongozi wako kutaka "lockdown", huku wakitegemea pesa za walipa kodi kuendesha familia zao. Msikilize vizuri
TeheteheeeeeNi kipindi cha aibu sana kuwa Mtanzania
Dah Mkuu wewe utakuwa na matatizo sana, unahitaji counseling, Rais anafanya kazi zake, ana wasaidizi kibao, washauri lukuki halafu unasema ana matatizo, Kwanini sio wewe mwenye matatizo?Wakuu Rais ana shida...shida tena shida kubwa. Something need to be done soon to save him...
Please mamlaka husika mxhunguzeni Rais..
He is confused...emotional..he looks no hop
Ikulu ni makazi ya Rais yaliyoidhinishwa,/popote penye makazi Rasmi ya Rais ndipo Ikulu, Kila Wilaya ina Ikulu ndugu, sioni tatizo la wapi anaapishwa Kiongozi.Sio sitaki. Hata kama sitaki haitasaidia. Ila nahoji tu. Huyu Rais anajiona yeye ndo yeye. Yupo juu ya Ikulu hadi anaapisha viongozi kibarazani kwake.
Sasa leo alipoapishwa Mwigulu siyo ikulu ndogo bali ni hotelini kwa Magufuli.Ikulu ni makazi ya Rais yaliyoidhinishwa,/popote penye makazi Rasmi ya Rais ndipo Ikulu, Kila Wilaya ina Ikulu ndugu, sioni tatizo la wapi anaapishwa Kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikulu ni makazi ya Rais yaliyoidhinishwa,/popote penye makazi Rasmi ya Rais ndipo Ikulu, Kila Wilaya ina Ikulu ndugu, sioni tatizo la wapi anaapishwa Kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni tatizo. Nyerere si aliapishwa kwenye uwanja wa michezo?Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Ukitulia iangalie yuchupu nimeona miti chonganishi kwa mbaliii,Natamani kuona kapicha au kavideo
Jr[emoji769]
Katiba ya nchi hii inampa power Rais kufanya loloteSiyo sahihi. Ndo maana kuna ikulu na office za serikali. Nakumbuka kuna waziri alisaini mkataba hotelini. Ilibidi aachie ngazi.
Wakosoaji wa JPM kazi mnayoKusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.
Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?
This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
View attachment 1438653
Leo Mwigulu Nchemba kaapishwa pale J's Hoteli ambayo ni mali binafsi ya Magufuli.
Mtumishi wa umma anatakiwa awe ofisini kwake.Banker anatakiwa awe Benk,polisi awe sehemu yake na hata mtu wa TRA.Hivi hawa wanaweza kufanyia kazi nje ya ofisi kwa zaidi ya mwezi mzima?Na majarada au wananchi wanaotaka huduma yako wakufuate sehemu ulipo?Ndo maana nikasema kimaadili.