Kijana naona wewe mgeni mpuuzi humu jamvini. Mimi ni mwanaccm pengine hata chekechea hujaanza.Chadema mtasema yote mwaka Huu mjiandae October tuwafute
Kazi ya umma kuapishwa ni Ikulu au ofisi ya umma. Pale ni nyumbani kwa Mama JescaKwa mujibu wa sheria tunaambiwa nini je anaapishwa kokote au mpaka iwe ikulu ?
Kwa mujibu wa sheria ikulu ni wapi ?
Mshangai nakujua haswa wewe ni mwanamke ccm, bia yetu amejichanganya ila haya hayatuhusu. Mtamalizana wenyewe hukoKijana naona wewe mgeni mpuuzi humu jamvini. Mimi ni mwanaccm pengine hata chekechea hujaanza.
Unadhani sie hatuna namna ya kuonyana wenyewe kwa wenyewe? Halafu mnadhani kila anayempinga Magu kwa style yake ya uongozi wa hovyo ni Chadema?
Katika makosa kama chama tulifanya ni kumpa nafasi huyu mtu, ametuangusha sana kama chama na ndio maana utamaduni wa kumpa mitano tena tutautengua na kumpa mwanaccm mwingine maana tuna utajiri wa watu bora kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote Lumumba ni praise team. Tupo wa kuitetea Lumumba tukiona ujinga unaendekezwa na tuko tofauti na wale wa ajira ya Buk7 mnawaita ambao hata ujinga wanausifia hadi mwanaccm wote tunainekana wajinga. Tumechoka kutukanishwaDuh naona Lumumba fc wameamka mapema sana Leo, bahati mbaya hawana hoja
I am sure hili litafanikiwa so Whats next step...Chadema mtasema yote mwaka Huu mjiandae October tuwafute
Hilo ni gheto tu, kwani hapo Msata au Butiama kuna nini sasa hivi zaidi ya magheto tu? Ikulu sio chato,msoga au butiama.nyumba ya rais chato unaifananisha na gheto lako la madale kwa mfugambwa sio!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu safi sana naona akili zinaanza kuwarudia, ni kweli unachosema, unaanzisha mada yenye maslahi kwa Taifa halafu ghafla unaanza kutukanwa. Hebu muwakanye vijana wenu wajue lini watetee nini!!! Pole ila nashukuru kwa confirmation yako kuwa CCM inawalipa vijana kuja kuvuruga mijadala mitandaoni aione Bia yetu ccm comedianSio wote Lumumba ni praise team. Tupo wa kuitetea Lumumba tukiona ujinga unaendekezwa na tuko tofauti na wale wa ajira ya Buk7 mnawaita ambao hata ujinga wanausifia hadi mwanaccm wote tunainekana wajinga. Tumechoka kutukanishwa
Sent using Jamii Forums mobile app
umeathirika vipi na hilo swala!!!!Hilo ni gheto tu, kwani hapo Msata au Butiama kuna nini sasa hivi zaidi ya magheto tu? Ikulu sio chato,msoga au butiama.
hanaMakoye gete
Ndio ujinga mnaosababishia uonekane uko chama chetu CCM. Kwamba kila anayepinga upuuzi wa chama chetu basi ni wa upinzani, sio kweli hata kidogo.Yaani huoni hata tuko kipindi kipi kwa Sasa unang'ang'ania mambo ya kuapishwa kwani jengo la ikulu ya Dar es salaam au Chamwino ndiyo huapisha viongozi wateule?
Kuna kipengere gani Cha katiba kimevunjwa? Au ulitegemea Nini baada ya Dkt. M. Nchemba kuteuliwa?
Vijana wa upinzani fanyeni vitu vyenye maslahi kwa ustawi wa upinzani na taifa letu, kuleta nyuzi za kukosoa vijimambo visivyo na athari zozote Ni dhahiri hakuna mambo ya msingi mnayoweza kukosoa kwa Sasa!
Achaneni na kudandia mambo madogo Kama haya.
Sent using Jamii Forums mobile app
mtaifuta chadema hamtaufuta upinzani kamweChadema mtasema yote mwaka Huu mjiandae October tuwafute
Wanabodi saalam!Kijana naona wewe mgeni mpuuzi humu jamvini. Mimi ni mwanaccm pengine hata chekechea hujaanza.
Unadhani sie hatuna namna ya kuonyana wenyewe kwa wenyewe? Halafu mnadhani kila anayempinga Magu kwa style yake ya uongozi wa hovyo ni Chadema?
Katika makosa kama chama tulifanya ni kumpa nafasi huyu mtu, ametuangusha sana kama chama na ndio maana utamaduni wa kumpa mitano tena tutautengua na kumpa mwanaccm mwingine maana tuna utajiri wa watu bora kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Malengo yetu ya kuweka watetezi mitandaoni tokea wakati wa JK na Nape yalikuwa ya msingi na muhimu.Mkuu safi sana naona akili zinaanza kuwarudia, ni kweli unachosema, unaanzisha mada yenye maslahi kwa Taifa halafu ghafla unaanza kutukanwa. Hebu muwakanye vijana wenu wajue lini watetee nini!!! Pole ila nashukuru kwa confirmation yako kuwa CCM inawalipa vijana kuja kuvuruga mijadala mitandaoni aione Bia yetu ccm comedian
Haijapata kutokea katika historia ya nchi hii na pengine hata nyingine. Huko nyuma hakuna Waziri ambaye kesha wahi kuapishwa kuingia kazini tokea Butiama, Mwanakwerekwe, Nanyumbu au Msata.
Lakini tumeona Waziri Mwigulu akiapishwa upenuni mwa nyumba ya Magufuli huko Chato kama vile House girl anayepewa ajira na kuonyeshwa maeneo yake ya kufanya usafi.
Kwanini shughuli yenye heshima kama hiyo ya kumuingiza kazini Waziri wa Jamhuri ibinafsishwe kuwa ya kibinafsi namna hiyo? Haya mambo ndio yanakiaibisha chama chetu cha Mapinduzi kuonekana cha hovyo kwa kuruhusu baadhi ya viongozi kumshauri vibaya Rais Magufuli kuwa kila jambo liko sawa tu.
Hivi Mwigulu anaweza kufanya kazi akijua ni ya kikatiba au atajisikia kuwa ni kazi ya hisani aliyopewa na Magufuli nyumbani kwake?
Nashauri ni vema kiapo kile kitenguliwe na kurudiwa upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niseme hilo linanihusu nini Mimi na mambo yao ya ndani Chadema?Mbona mbowe nae kaamulia wabunge kutohuzuria bunge akiwa mtaani anazurua lakini hujasema hilo.