Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

KWA MTINDO ULE ALIOANZA NAO WA KAMATA FUNGA, KAMATA UA, PIGA RISASI, FILISI MALI ZAKE,
NAAPA HAKUNA MWANA CCM YEYOTE WALA MWANANCHI YEYOTE ANAYEWEZA KUMU ATTACK BWANA YULE. KATU HAITATOKE.

KILA MWANA CCM AMEKUWA KOBE AKITOA KICHWA TU ANAKUTANA NA RUNGU ANARUDISHA KICHWA NDANI.
HAKUNA MARAIS WAANDAMIZI WALA NINI.

Tusubiri msaada wa mabeberu kama zimbabwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Point of correction : kaapishiwa bar

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanza Nyumbani kwenyewe pabaya ...pamejengwa bila mpangilio ,pamoja na pesa na mamlaka hana taste au kashindwa hata kuajiri Designers
Kaapishiwa kwenye baraza kama la Mkulima , nguzo za Mild steel pipe hata hazijapigwa rangi ...yaani vile vitambaa ndio vimeficha aibu ......pembeni kuna viti vya BAR .......Kwa mbali naona madirisha ya nondo kama ya shule za kata .....Hiyo Meza na kiti alichokalia Mwigulu kama ya Mwalimu wa Zamu
USHAMBA MZIGO
 
Wewe kwa akili yako uliona na kusikia wapi kiongozi wa nchi kaapishiwa nyumbani kwa mtu?

Sasa ni maana ya Ikulu?
Bokasa, Idd Amin, mobutu,
na wengine wanaofanana nao hawajaapisha kiongozi wa serikali majumbani kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wekeni kanuni iliyovunjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kabla ya kutafuta kanuni, ukiangalia hiyo picha hapo juu kweli dunia nzima wakiona ndio Waziri anaapishwa huko Tanzania wazo LA kwanza linakuja lipi?
Nchi primitive na ya hovyo hovyo. Hii ni serikali ya chama changu, lakini siwezi hata siku moja kuitetea inapofanya mambo ya kizembe na aibu namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini shughuli yenye heshima kama hiyo ya kumuingiza kazini Waziri wa Jamhuri ibinafsishwe kuwa ya kibinafsi namna hiyo? Haya mambo ndio yanakiaibisha chama chetu cha Mapinduzi kuonekana cha hovyo kwa kuruhusu baadhi ya viongozi kumshauri vibaya Rais Magufuli kuwa kila jambo liko sawa tu.

Jr[emoji769]
 
Hivi Mwigulu anaweza kufanya kazi akijua ni ya kikatiba au atajisikia kuwa ni kazi ya hisani aliyopewa na Magufuli nyumbani kwake?

Nashauri ni vema kiapo kile kitenguliwe na kurudiwa upya. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji419][emoji419][emoji419]

Jr[emoji769]
 
Sijui hata alipomkaribisha Rais Kenyatta kama State guest na kulala hapo aliondoka na picha gani yarabi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Mshana Jr nitakulogaaa[emoji23][emoji23][emoji89][emoji89][emoji83][emoji878]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa mfano hili la kuuliza kwanini mtu aapishwe chato nalo ni kipaumbele kwa taifa!!!!au lina maslahi yoyote kitaifa!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oath of office of Ministers
56. A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament.
From:Consitution of the URT.
 
Rais ni taasisi mkuu. Urais siyo mtu mkuu wangu. Taasisi ina makao makuu na inafanya kazi/maamuzi ndani ya mipaka ya Tanzania na kwenye balozi zetu.
 
Pole sana mwana CCM uliyekosa teuzi... Miaka minne baada ya uchaguzi mkuu kupita jeraha lako bado halijapona tu!
 
Kuna rules na Etiquettes sasa hapo yawezekana zisivunjwe rules ila akavunja Etiquettes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan kuna baadhi ya viumbe aina ya huyo uliyemtaja akipost mada zake au akicomment chochote haina haja ya kumjibu kuanzia sasa. Sababu unaweza ukachangia vizuri kwa hoja lakini atakavyo jibu unaweza kuishia kutukana tuu, na akakutoa nje ya hoja. Tumpuuze tuu aendelee na utaratibu wake kupost na kucomment mwenyewe hata akibadili ID.
 
Kasome ibara ya 56 ya katiba ya JMT suala la msingi ni kula kiapo mbele ya rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…