Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Basi mimi sikuwahi kuamini kuwa kuna Watu wanalipwa ili waitetee CCm mitandaoni! Kumbe ni kweli? Sasa mbona mmefanya mambo "mengi mazuri" kuna haja gani tena ya kuwalipa vijana wawatetee? Kwanini mpoteze muda na resources kuwaweka watu wawateee mitandaoni? Chadema mbona hawafanyi hivyo?

Mimi nadhani CCM hamjiamini, mna kila kitu lakini bado hamjiamini na wala hamuaminiani! Kuna dhambi inawatafuna! Huwezi kuniambia au kurudia maneno yale yale kila siku ya kusafisha uchafu, uchafu gani huo ambao hauishi? Nini chanzo cha huo uchafu? Kama wenyewe kwa wenyewe hamuaminiani, mnawezaje kuaminiwa na wananchi? Uimara wa CCM Ni upi huo unaousemea? Wa kutukana na kubeza kila hoja mitandaoni??

Kwahio, unanithibitishia kuwa kama mnaweza kuweka mamluki mitandaoni dhahiri hata wale waliounga juhudi nao mmewaanunua! Sijawahi nasema sikuwahi kufikiria kuwa CCM pamoja na kukaa madarakani miaka yote hio mnaweza kuwa na siasa za kishamba kiasi hiki. Kwahio wakija kutukana kumbe they are paid? Bia yetu stroke na wengine!

Chakaza tpaul Sky Eclat @ethrocyte na wengine njoo muone confession ya mwana CCM! Naapa mimi nilikua najua buku saba fc ni joke kumbe ni kitu cha Kweli? Wazalendo feki wa kulipwa.

Mshangai kama hawa vijana wanalipwa ili wawatetee kuna siku watalipwa ili waiuze nchi, mark my word.
 
@Elli Mshana nawe mbishi kweli, kwani Mimi nimekataa kuwa hatuna vijana tunawalipa? Wapo, lakini malengo ya kuundwa kwa team hiyo enzi za Nape na JK hayakuwa haya ya kishamba yanayo endelea sasa.
Ilikuwa ni team ya kuitetea CCM pale inapoonewa na kuipamba mazuri yake kwa bashasha.
Lakini lawama mbaya ya buk7 imekuja kwa kasi baada ya hawa vijana kuanza kushambulia watu kwa matusi na kutetea ujinga ufanywapo na hasa huyu tuliye.
Maamuzi mengi yanayo tetewa wala sio ya chama Bali binafsi na kwa akili binafsi lakini lawama wanataka yawe ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi nimekubali! Shukrani sana! Uwe na siku njema
 
Kufeni kabisa kwa wivu.
 
Huna aibu mkuu, namna unavyojijibu mwenyewe kwa Id tofauti, kweli bavicha mmevurugwa.
Hahahaha Mkuu acha kupagawa, my 12years humu ndani sijawahi kuwa na ID mbili, kwahio mimi ndio Mshangai ?? Makubwa tena haya, ajabu ya mwaka! Naona Lumumba mnageukana!
 
Rais style y Style yake ya utawala ni mixed blend ya Yahya Jammeh (uchawi na uganguzi), Mobutu Seseseko (kutumia hela za walipa kodi kujenga Kijiji chake na kukigeuza Ikulu Ndogo) na Paul Kagame (kuua wapinzani na kuminya demokrasia).

Ila atakuja toka madarakani kwa aibu sana
 
Hii haina shida kabisa, angeweza hata kumwita kwenye kahawa na kumwapisha hapohapo na kaxi ikasonga mbele!

Wewe ulitaka waende MLIMAN CITY ndio uelewe?
Hamna kilichopopungua kabsa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni suala la kikatiba sio utashi wa mtu!! Eti wewe ulitaka waende Mlimani City!! Inazani issue ya kutaka tu!!
 
Haya maneno ya kipumbavu unayomtukana rais ndio tusikujibu kuwa unakosea. Usitumie Jf vibaya kumtukana rais kwa ajili ya chuki zako.
 
Mkuu usipoteze muda kujibizana na marobot hasa yafuatayo: -
chagu wa malunde
Bia yetu
Phillipo Bukililo
Kawe Alumni

Haya yanatumikia matumbo yao 24/7 yako kupotosha ukweli, kusifia ujinga wote wa Jiwe na kupambana na wakosoaji
Pole sana mkuu. Pokea maoni tofauti na yale uliyoyazoea.
Kumbuka unapoandika kitu humu kinasomwa na dunia kwa hiyo ondokana na huo upuuzi wa kutaka fikra zako ziwe sahihi milele yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…