Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Wametumwa na mabeberu wafe ili uchumi wetu unaopaa kama tiara uzorote, kisa tu tulianza kuwa dona kantre, mabeberu kwa wivu hawajambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Him off course .Kwa sababu ana power yote. Na sisi wananchi ni ignorant hatuwezi kuhoji.
Ila jamaa ni mwepesi sana si unaona anavyoogopa social media ?
Kukiwa na halaiki ya vifo kama Italy kwa mfano, unadhani bado na nguvu zake atakuwa mshindi? Ilà kama kwa Imani yake tukafa kwa uchache atabeba ujiko wote!!
 
Wewe unatakaje ndio keshafanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

Eti nabakia Africa.
 
Kukiwa na halaiki ya vifo kama Italy kwa mfano, unadhani bado na nguvu zake atakuwa mshindi? Ilà kama kwa Imani yake tukafa kwa uchache atabeba ujiko wote!!
Yeye anafuata measures zote.Yupo Chato katulia,kanisani haendi. Ila anawaambia wananchi waendelee kwenda kanisani,mikusanyiko. Yeye binafsi anajitenga. Wananchi watakufa wa Coronavirus,yeye yupo safe.
 
Msalimie sirjeff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…