minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Siku ukizinduka ukaacha zidumu fikra zisizo sahihi za mwenyekiti wa CCM ndipo utaweza kumwambia waziri wa afya aacha kuhangaika na zile sifa zake kwenye mitandao atangazie umma waache salam za kushikana mikono ambazo ndizo husambaza covid 19 kwa kasi kubwa kuliko chochoteNisake uteuzi ili iweje? Nipo kijijini nalima na kufuga,sihitaji uteuzi.