Mkuu mbona unanikaripia, ni hayo maoni yangu tu au kuna lingine?Unaropoka tuu ,unajua gharama za maisha zilivyo Zambia wewe? Unajua kwamba watu wa Zambia Wanalia.kwa ugumu wa Maisha sio tuu mafuta kuanzia vyakula bei ziko Juu na hawamtaki huyo Rais aliyetokea upinzani kama Machadema yanavyowadanganya?
Yaani wewe Kwa akili Yako unadhani Wanasiasa wanatafuta madaraka kukusaidia wewe au?
Mkuu achana nae huyo niachie mm... Ntapomosheana nae matusi maana mm tahira km yeye. Ww akuache a deal na mm kichaa mwenzieMkuu mbona unanikaripia, ni hayo maoni yangu tu au kuna lingine?
Me nimezungumzia gharama za mafuta ambayo wakazi wa Tunduma huenda kila Leo hapo Zambia na kununua badala ya kununua huku Bongoland
Kwa sababu wewe na wajinga wengine mnapenda sana kupotosha.Mkuu mbona unanikaripia, ni hayo maoni yangu tu au kuna lingine?
Me nimezungumzia gharama za mafuta ambayo wakazi wa Tunduma huenda kila Leo hapo Zambia na kununua badala ya kununua huku Bongoland
Una upumbavu mwingi mkuu.Alaa kwamba kipindi Cha Mwendazake nauli hazikupanda au? Mwisho unataka usafiri kwenye gari ya nani harafu ulipe nauli unavyotaka wewe?
Wewe mbona umekaa Kamasi kichwani? Shida nini?Una upumbavu mwingi mkuu.
Wewe ni wastage sperm.Toa mfano wa Ongezeko la nauli vinginevyo unaongea 🗑️🗑️Wewe ni takataka
Tumia sehemu ndogo ya ubongo kufikiri mkuu, acha upumbavu.Wewe mbona umekaa Kamasi kichwani? Shida nini?
Wewe ulitakaje?
Kwa hiyo wewe hapo hujitambui.ila.bei zikiongezwa ndio utajitambua? PantheticHujaona nilichokitaka? Ninakazia:
"Tutegemee maajabu yapi kwenye nauli?"
Nashauri bei ziongezwe mara dufu tupate kujitambua!
Una uhakika? Nioneshe risiti uliyolipa 15,000 manaa nauli maximum ni 13,000.Tumia sehemu ndogo ya ubongo kufikiri mkuu, acha upumbavu.
Nauli Moro-Dar ilikuwa 10,000. Imepanda hadi 15,000. Hilo ni ongezeko la 50%, wapi umeona ongezeko la 50% kwenye bidhaa yoyote?
Tatizo mnalala na kula bure, kutembelea vx v8 bure mnaacha kushirikisha masaburi. Ongezeko lolote halitakiwi kizidi 15%, ona ulivyo mpumbavu.
Kwa hiyo wewe hapo hujitambui.ila.bei zikiongezwa ndio utajitambua? Panthetic
Pumbav..u wewe, unafikiri kila anayehoji anamilikiwa na lichama kama wewe, jinger kabisa! Nauli haikutakiwa kuzidi 12,000 moro-dar. Na wanaosema ni 15,000 sio wajinger kama wewe wa buku saba saba!!Una uhakika? Nioneshe risiti uliyolipa 15,000 manaa nauli maximum ni 13,000.
Nikiwaambia nyie machadomo ni vinyesi mtabisha?
Kazi kweli kweli !!Kama:
1. Mafuta bei juu; tuko kimya.
2. Mabasi yafungwe vig'amuzi Kwa gharama zao; tuko kimya.
3. Walipie gharama za ving'amuzi kwa mwezi; tuko kimya.
4. Kelele za uwapo wabrashi viatu majiani; tuko kimya.
5. Wanunue machine za tiketi mtandao; tuko kimya.
6. Walipie gharama za kuendeshwa tiketi mtandao mwezi kwa mwezi; tuko kimya.
7. Kelele za Kodi, kubambikiziwa faini, wapiga debe, nk; tuko kimya.
Tutegemee maajabu yapi kwenye nauli?
Nashauri bei ziongezwe mara dufu tupate kujitambua!
Toa upumbavu wako hapa,unahamisha magoli 🤪🤪🤪🤪Pumbav..u wewe, unafikiri kila anayehoji anamilikiwa na lichama kama wewe, jinger kabisa! Nauli haikutakiwa kuzidi 12,000 moro-dar. Na wanaosema ni 15,000 sio wajinger kama wewe wa buku saba saba!!
Kazi kweli kweli !!
Watatumaliza ! Wampe Kazi ya muda Mzee David Mwaibula hapo Latra naamini hali itakaa vizuri !!1. Tumejiwekea utaratibu wa Kila mtu kushinda mechi zetu.
2. Mafuta CIF Dar Bei nusu tunayoiziwa mtaani.
3. Tulipiga kelele hivi mafuta yakipanda na makorokoro yote hayo yakisokomezwa wengine.
Tuna nchi ya hovyo sana.
"LATRA wapandisha tena zaidi tafadhali!"
Watatumaliza ! Wampe Kazi ya muda Mzee David Mwaibula hapo Latra naamini hali itakaa vizuri !!
Anayeteseka na kuteswa na asijali wala kuyahisi maumivu hayo, hakika huyo amekwishakuwa mtumwa kwelikweli.Yaani Bora ipande sn labda watz wataamka Kwa pamoja