Bado nchi inaongozwa na matamko na hotuba. Kila nchi duniani wamelipa kipaumbele suala la uhamiaji.Nafikiri tatizo la nchi yetu ni kutofata sheria.
Tunachukulia kauli ya Rais kama ndiyo sheria yenyewe.
Naomba kujua marekani, canada na s. africa imejengwa akina nani ?Marekani haijajengwa na wazawa. Canada haijajengwa na wazawa, South africa haijajengwa na wazawa. Wageni wanachochea ukuaji wa uchumi.
Bado nchi inaongozwa na matamko na hotuba. Kila nchi duniani wamelipa kipaumbele suala la uhamiaji.
Miaka ya nyuma mambo yaliendeshwa kiholela mpaka raia wa kigeni walimiliki pasi za Tanzania.
Sheria zilikuwa zinanyooshwa tu! Hivi muwekezaji gani ataajiri Finance Manager Mtanzania kama si JPM kukataa hizi mambo? Hawa wanataka all key areas waweke watu wao!
Sidhani kama sheria zetu zikifuatwa kikamilifu zitakuwa kikwazo, kama ndio mkondo tunaotaka tutapata matunda yake! Kuna vitu alifanya JPM hatuwezi kuelewa hivi karibuni! Let's go....
Kweli kabisa mkuu, serikali yenyewe haiajili, sasa Kama Kuna mwekezaji atatoa ajili busara itumike tuu ili wa tz wapate ajiraHata hao watano baada ya miaka 3 walikuwa wanasumbuliwa kurenewe vibali.
Muwekezaji akija na wafanyakazi 15 kutoka nje halafu akafungua mradi ukaajiri watu 1000 na kodi analipa hapo kuna shida?
Mama ameshauri akili itumike sio mabavu.
Mimi sipingi kauli
Natamani iwepo clarification..
Je wageni waajiriwe bila kujali idadi?
Au usimamizi uwepo kama enzi za JK..
Kuna kampuni ilikuwa inawaingiza wayemen, halafu wanafichwa sehemu wanatengenezewa pasi za Tanzania wanapelekwa China.Uko sahihi mkuu, kwenye hili suala JPM alijitahidi mno. Ofisi za uhamiaji zilikuwa zimejaa Rushwa hatari, wahindi, Wachina na wa Pakistan dah walikuwa wanapishana hewani kuwahi ajira nono bongo. Kuna kampuni moja, Jamaa ana Cheo cha CEO kwenye permit ila anafanya kama accountant, mwingine expart wa instruments kumbe fundi umeme kama wa veta tu. Umakini unahitajika hasa.
Wewe hujawai kumkubali Mama. Tunakujua humu kuwa ni mmoja wa sukuma gang mnaompinga mama. Kauli ya Mama iko Sawasawa, Kama Sheria inasema muwekezaji anaweza kuajiri wageni 5 Kwa nini akiajiri mtu kwenye idadi iyoiyo uliyompa uanze kumpangia kuwa huyu sawa na huyu sio saw????Kuna kampuni ilikuwa inawaingiza wayemen, wafichwa sehemu wanatengenezewa pasi za Tanzania wanapelekwa China.
Mama Samia nikuombe sana mama yangu hili la uhamiaji shauriana na wasaidizi wako. Utajikuta unaingizwa CHAKA.
Tunafahamu kiu yako ya mabadiliko lakini tahadhari ni muhimu.
Muwekezaji apewe tu namba ya wageni anaoweza kuajiri kama ni 5 au 10 Kama ilivyo kwa kanuni za TFF kwa timu zinazoshiriki ligi kuu.Wageni waajiriwe pale ambapo hakuna Mtanzania mwenye qualifications husika. Mwekezaji anaweza kuruhusiwa kuajiri wasio Watanzania labda 10% au hata 20% lakini watakaobaki ni lazima wawe Watanzania unless hakuna wenye hizo qualifications husika.
Kwani kuna shida gani mwekezaji akipewa idadi tu ya wageni anaopaswa kuwaajiri???Very true,,, ni rahisi kweli kuvunja au kuvuruga utashangiliwa tu ila kujenga ni kipengele,,, I wish apate mtu wa kum-guide mshauri wa jicho la3
Umenena vyema kupitia mifano dhahiri.Marekani haijajengwa na wazawa. Canada haijajengwa na wazawa, South africa haijajengwa na wazawa. Wageni wanachochea ukuaji wa uchumi.
Achana na sukuma gang hawa. Wengi wao ni mapandikizi ya Rwanda na Burundi hawa waliokuja kuharibu uchumi wetuJPM kwenye maswala ya uchumi kaboronga tu mkuu ,hatuwezi kuja kuelewa mbele kabisa ,yaani uandae task force ya kina biswalo,bashite na dotto kwa ajili ya kupora wafanyabiashara mali zao ndio tuje kumkumbuka? Akumbukwe kwani amekuwa MTOTO WA DANDU?
Muwekezaji apewe tu namba ya wageni anaoweza kuajiri kama ni 5 au 10 Kama ilivyo kwa kanuni za TFF kwa timu zinazoshiriki ligi kuu.
Mwekezaji asipangiwe kuhusu nani Amy ajiri na Nani asimuajiri full stop. Mbona TFF aizipangii timu kuhusu nani imuajiri na Nani isimuajiri??? Tujikite kwenye idadi full stop!!
Na nyie mnakera kila sehemu SUKUMA GANG ni nini hicho acheni ukabila wa kishamba....Wewe hujawai kumkubali Mama. Tunakujua humu kuwa ni mmoja wa sukuma gang mnaompinga mama. Kauli ya Mama iko Sawasawa, Kama Sheria inasema muwekezaji anaweza kuajiri wageni 5 Kwa nini akiajiri mtu kwenye idadi iyoiyo uliyompa uanze kumpangia kuwa huyu sawa na huyu sio saw????
Nyie ndo mapandikizi mliyokuja kutuharibia nchi yetu na jueni tu muda wenu wa kuachana na nchi yetu umefika.
Nani mshauri wake maana nimesikiliza hotuba huku natetemeka, Mungu amkumbushe huwezi ridhisha watu wote haiwezekaniSheria zilikuwa zinanyooshwa tu! Hivi muwekezaji gani ataajiri Finance Manager Mtanzania kama si JPM kukataa hizi mambo? Hawa wanataka all key areas waweke watu wao!
Sidhani kama sheria zetu zikifuatwa kikamilifu zitakuwa kikwazo, kama ndio mkondo tunaotaka tutapata matunda yake! Kuna vitu alifanya JPM hatuwezi kuelewa hivi karibuni! Let's go....
Angalia msingi wa hiyo sheria sio unaropoka tu. Kuhusu kumuungq mkono mama Samia hilo wala lisikupe shaka inawezekana upeo wako ni mdogo na hayo ndio maradhi sugu kwa BAVICHA.Wewe hujawai kumkubali Mama. Tunakujua humu kuwa ni mmoja wa sukuma gang mnaompinga mama. Kauli ya Mama iko Sawasawa, Kama Sheria inasema muwekezaji anaweza kuajiri wageni 5 Kwa nini akiajiri mtu kwenye idadi iyoiyo uliyompa uanze kumpangia kuwa huyu sawa na huyu sio saw????
Nyie ndo mapandikizi mliyokuja kutuharibia nchi yetu na jueni tu muda wenu wa kuachana na nchi yetu umefika.