Pia wapo wawekezaji ambao hutaka walipe watu wao kwa fedha kigeni.H
Wawekezaji wanakuja kujitafutia sisi ajira ni mojawapo ya mahitaji yetu. Yafaa rais ashauriwe vizuri sio twende kwa matakwa ya wawekezaji ambao hata tusipopata kitu kama taifa kwenye uwekezaji wao sio kitu kwao. Wale ambao hawataki sheria na taratibu zetu waachwe bila majuto. Ukweli tunahitajiana sio tujifanye mradi mwekezaji tunamkumbatia.
Una hakika na unachosema?Hakuna nchi duniani inayodili na utumikishwaji wa kazi za nyumbani
Raisi yupo sahihi kabisa. Watu kutoka nje wanaongeza sana ajira hapa Tanzania. Mara nyingi ajira zao ni rasmi. Wao huajiri wapishi, walinzi wabustani nk. Hawa Watanzania hupata ajira rasmi. Mimi ningeenda mbali na kuruhusu watu wa nje wawe na access hata ya kustaafu na kuishi hapa. Fikiri Mmarekani anayelipwa dola 5,000 kama retirement yake na anaishi Mgamwa pale Iringa Kijini. Fikiri huyu ataajiri wangapi. Na hiyo fedha italeta maaendeleo kiasi gani? Fikiri tukiwa na wastaafu 5000 kwa Tanzania nzima!Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa.
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa.
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo.
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want, bila idadi.
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria.
Ila Iran imejengwa na wazawaMarekani haijajengwa na wazawa. Canada haijajengwa na wazawa, South africa haijajengwa na wazawa. Wageni wanachochea ukuaji wa uchumi.
Hakuna tatizo kampuni private mbona kawaida tu mke wa boss kuwa HR wakati darasa la saba.Kuajiri na kuchuja wataalamu kutumike kwa wageni waomba ajira Kampuni za umma au serikalini au kwenye makampuni yanayouza hisa soko la hisa la TanzaniaAllocation ya nafasi zenye kuhitaji wageni yawe na UHALISIA kwa maana ya kuwa kweli mtaalamu husika anahitajika. Sio mtu analeta MWALIMU WA CHEKECHEA kuja kuwa HR wa kampuni.
wa kudeliver.
WATU WENYE AKILI KAMA WEWE MPO WACHACHE SANA TANZANIA.Hata hao watano baada ya miaka 3 walikuwa wanasumbuliwa kurenew vibali.
Muwekezaji akija na wafanyakazi 15 kutoka nje halafu akafungua mradi ukaajiri watu 1000 na kodi analipa hapo kuna shida?
Mama ameshauri akili itumike sio mabavu.
Tatizo la RUSHWA mara nyingi linaletwa na Wawekezaji pale wanapotaka kuingiza wataalam zaidi ya watano!! Wachina ndio wamekithiri kwa kupewa vibari vya kazi vya magendo kwani kwenye uwekezaji wao unawakuta wamejazana hata kwenye gereji za kunyoosha magari!! Sheria ikifuatwa hakuna tatizo, lakini watendaji wanaoshuhurikia kutoa hivyo vibari ni lazima wawe waadirifu sana.Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa.
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa.
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo.
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want, bila idadi.
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria.
Hakuna tatizi kampuni private mbona kawaida tu mke wa boss kuwa HR wakati darasa la saba.Kuajiri na kuchuja wataalamu kutumike kwa wageni waomba ajira Kampuni za umma au serikalini au kwenye makampuni yanayouza hisa soko la hisa la Tanzania
Lakini kama mhindi Patel au mchina hu ng anataka kuanzisha duka la mabasi yake ya Yuyong au kiwanda mwachie mwenyewe alete awatakao wewe mtajie idadi tu alete wangapi basi
Kwa Mwendo huu wa mama sioni sababu za wewe kugombea urais 2025! Cha kufanya lile DESA LAKO mpe mama afanyie kazi!Mtu aliyewahi kuishi nje kauli ya mama ni nzuri sana ila kwa Mtanzania ambaye hajawahi kuishi nje anaweza kupingana na mama.
Muingiliano wa watu kutoka mataifa tofauti huchochea uchumi.
Hata mimi naona itabidi nimpishe kwanza amalize ngwe yake.Kwa Mwendo huu wa mama sioni sababu za wewe kugombea urais 2025! Cha kufanya lile DESA LAKO mpe mama afanyie kazi!
mkuu hii inaweza kuwa tafsiri yako. najua rais ana timu kubwa sana na wapo watafanya tafsiri sahihi ambazo ndo zitafanyiwa kazi. jamani tumpe ushirikiano 100%Nikimnukuu Rais kasema mtu akiomba vibali vya kazi apewe sababu ndo watu Mwekezaji 'anaowaamini'.
Binafsi sina shida kabisa na hili iwapo tutafuata sheria zinavyotaka.
Sheria inasema muwekezaji anaruhusiwa kuja na wageni hadi watano akija na uwekezaji wake; wengine watatakiwa kuajiri wazawa.
Hii sheria haina shida iwapo inafuatwa.
Na sheria inasema iwapo kutakuwa na nafasi ambayo hakuna mzawa anaiweza anaruhusiwa kuongeza mgeni Kwa nafasi hizo.
Nahofia kauli ya Rais Samia inaweza tafsiri kuwa sasa ni ruksa kuajiri wageni as many as you want, bila idadi.
Ni vizuri Mama akashauriwa kutoa maelekezo Kwa mujibu wa sheria.
Tatizo si idadi sabbu tayari ipo kisheria.Kwani kuna shida gani mwekezaji akipewa idadi tu ya wageni anaopaswa kuwaajiri???
Kama akiambiwa aajiri watu 5 au 10 tu wa kigeni kuna Tatizo gani????
Hawafanyi hivyo kwa taarifa yako. Mtambo wa Songas kuna mhindi alipata contract ya kujenga na alileta wahindi wengi sana ambao walikuwa wanafanya kazi ndogo ndogo ambazo wazawa wangeweza kuzifanya. Na wengi walipangiwa nyumba mitaani ndiyo maana tunajua hili. Kuna ambao walikuwa wanakaa karibu na ninapokaa. Uliza wanaokaa kinyerezi wataconfirm hili..Hakuna Mwekezaji ataleta watu kutoka nje kama atapata reliable work force. Kwa hiyo let’s stop beating around bush and ask our selves why should an investor bring expensive labor force from abroad??