Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
Kumbe mwenyekiti wangu wa chama kafilisika mawazo kiasi hiki. He is too irational nowdays!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Tatizo la huyo Mbowe nikujiona kuwa ni kiongozi wa wachagga na sio watanzania wote. Ndio maana hilo lichama lake halitakuja kushika dola manaake limejaa ukabila sana.
 
Si kweli.

Magufuli hakuwahi kuwapendelea wasukuma, Magu alikuwa na genge lake alilotoka nalo wizara ya ujenzi hasa TANROADS.

Watu wengi wa Magu wa karibu hawakuwa wasukuma. Mfano:
  • Mfugale
  • Kijazi
  • Kabudi
  • Pole pole
  • Bashiru

Sana sana ukiona msukuma ni either anatokea genge la TANROADS/Wizara ya ujenzi au ndugu zake.

Je, Kwenye genge lake kulikuwa na nani kutoka Mara, Simiyu au shinyanga?

Au mnaposema kanda ya ziwa, mnamaanisha ipi ?

Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, na Mara imekuwa ikitoa zana ushirikiano kwa CHADEMA, Mbowe aache huu upuuzi sa kina Kigogo.

Wasukuma tunaishi nao hawana upendeleo wowote na ni watu peace sana na easy going. Wengi ni waathirika wa propaganda za Magu lakini wasukuma hawana ukabila hata kidogo.

PS: Mimi ni Mzanaki wa Musoma.
Lugola,siro, mobeyo wote njia moja hao
 
Mimi sio muumini wa siasa za kikabila ila kiukwel Magufuli aliwachukia sana Wachaga, ila Mungu akampenda zaidi..

Hakuna uganga wala Uchawi juu ya nyumba ya Israeli..

Wachaga hawakipigana vita na Mwendazake, maana Mungu aliaahidi, for the battle is not yours ...

Ajaribu mwingine nae apendwe zaid....
Magu alipambana na ukabila kwa nguvu zote! Hapo kabla ilikuwa na kawaida sana kuona majina ya mushi, masawe, kimario, nk TRA, benki kuu, na mabenki yote nchini! Na wakiwa kwenye nafasi hizo, waliweka mifumo ya upigaji ambao Magu aliufumua kwa bomu la nyuklia! Hivyo Magu hakuchukia wala kuwatenga wachaga bali wapigaji bila kujali makabira yao! Kwa kuwa wengi wa wezi ktk vitengo vilivyoongoza kwa upigaji wachaga walikuwa wengi...wapumbafu wenye upeo finyu kabisa walihusianisha na chuki za kikabila😠! Wanasahau kuwa Magu aliwateua wachaga wengi tu waaminifu kwenye teuzi zake nyingi!
Mbowe ni mkabila ndio maana hataacha kutetea wachaga! Hutasikia akiwasemea waha, wangazija, wamatumbi, wadengeleko nk bali wachaga kwani upeo wake ndipo unapogotea😡!
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Nakumbuka hata Hitler alipiga marufuku Wayahudi kuajiriwa serikalini. Matokeo yake baada ya muda Wafanyabiashara wakubwa wa Ujerumani wakawa ni Wayahudi ambao walikopesha hadi serikali za Ulaya mfano ni familia ya kiyahudi ya Rotschid.

Kuzuia Wachagga wasiajiriwe Serikalini ni vizuri sana maana itabidi wafanye biashara sehemu ambayo tayari wanaimudu sana.

Magufuli alikuwa muovu sana. Kifo kimetusaidia sana kumnyamazisha
 
Nakumbuka hata Hitler alipiga marufuku Wayahudi kuajiriwa serikalini. Matokeo yake baada ya muda Wafanyabiashara wakubwa wa Ujerumani wakawa ni Wayahudi ambao walikopesha hadi serikalk za Ulaya mfano ni familia ya kiyahudi ya Rotschid.

Kuzuia Wachagga wasiajiriwe Serikalini ni vizuri sana maana itabidi wafanye biashara sehemu ambayo tayari wanaimudu sana.

Magufuli alikuwa muovu sana. Kifo kimetusaidia sana kumnyamazisha
Mlisema NYERERE kwa kuweka mizani ya maslahi ya watanzania wote....hatuwashangai mkamshambulia kipenzi chetu MAGUFULI....
 
Ni kweli na Jerry Muro amewahi kukiri hivyo baada ya Magufuli kufariki, alisema kwenye Utawala wa Magu ilikua ngumu sana kupenya hasa kama mtu anatokea kaskazini". Je Jery Muro nae anatudanganya? Nikipata ile clip nitaipandisha hapa.

Nyie mbuzi wa kijani ushahidi huo hapo sasa. Pumbavu nyie
Source yako ni Jery eeh, Wilder beast😡!
 
Wachaga wameitumia sana hii nchi hilo liko wazi.

Enzi za Msuya, makao makuu ya mikoa hayakua na umeme ila yeye akaamua kupeleka umeme huko kwao milimani ambako hakuna watu wengi.

Watu wa Serengeti walikua na uwanja wa ndege, wachaga wakawafitini ili usijengwe na kweli haukujengwa ili ndege ziwe zinatua KIA kuwafaidisha wachaga, nilisikia enzi za Magufuli ndio ulianza kujengwa sina hakika kama utakamilika tena.

Kaskazini imekua na mawaziri wakuu zaidi ya 5 na walitumia rasilimali za taifa kujinufaisha kikanda halafu wanadharau kanda nyingine.

Kaskazini hawataki kuona kanda nyingine zinaendelea. Mfano kanda ya ziwaina rasilimali nyingi kuliko kanda yoyote Tanzania kwa sasa lakini maendeleo yako nyuma sana. Wachaga watahakikisha hakuna kanda inaendelea nchi hii zaidi ya kwao.
Inasikitisha kujadili mambo mazito ukiwa na taarifa hafifu. Waziri Msuya alikuwa mbunge wa Mwanga, ni mji mdogo kando ya barabara kubwa ya kutoka Dar kwenda Arusha, SIO mlimani pili swala la umeme sio jambo la kushangaa kwa eneo hili, bwawa la Mungu liko karibu na kituo kikubwa cha kuzalisha umeme Pangani. Raslimali ni nyingi Kaskazini kama ilivyo Serengeti/Usukumani- zote ni za taifa na Nyerere alituanganisha! Leo hii ni wapi utaenda umkose mchagga au msukuma. Lakini unapokuwa kiongozi na kudhihaki kabila fulani, kuonyesha chuki, ndio tatizo kubwa, na hili naamini ndilo analozungumza Mbowe. Unakumbuka yule mama aliyekuwa analalamika kudhulumiwa, Hayati alipomuuliza mdhumulaji ni nani, yule mama akasema Mushi- Hayati alihamiki vipi? Pamoja na utani lakini ilidhihirika alikuwa na issue na kina Mushi! Kwa nini tusiache haya mazungumzo hayana tija
 
HUU UPUUZI ALIKUWA ANAONGELEA WAPI?

Ni mpuuzi pekee anaweza kuona maneno ya Mbowe juu ya ukabila wa JPM kuwa ni kweli JPM ndo ameweka standard kwenye swala la ajira leo mfumo wa kuajiri serikalini na mashirika na taasisi zake lazima upitie utumishi

Nani asiyejua kuwa watu wa kaskazini walikuwa wanaingizana makazini bila ya vigezo? Huuu ni ukweli mchungu sana ulikuwa ukienda mashirika ,taasisi,wizara zote zanye ukwasi wachaga wamejazana je unadhani ilikuwa sahihi je wao ndo wamesoma peke yao JPM yote alikuja kuweka sawa kila mtu apate kazi kwa juhudi na maarifa aliyonayo si ukabila na kuwekena uliokuwa unafanywa na wachaga .

Ni mambo mangapi au watu wangapi wameumia Mbowe kaona hilo la wachaga wenzake ? Mbowe anatangaza Rasmi kuwa chadema ni chama cha kutetea haki za wachaga, na kauli yake inataka kuonyesha chuki za wazi kwa Wasukuma na watu wa kanda ya ziwa sasa na sisi tutaanza kupambana na wachaga sasa wazi wazi winner takes all bhasi.
 
Namnukuu Mbowe

''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''

Hilo sitaki kuliongelea ... Hii nchi si ya kimila anaonekana kupigania upande mmoja wa wachaga je wale ambao hawana wa kuwasemea?
 
Iwe kasema au haukusema kama ni mfuatiliaji mzuri wa utawala wa mwenda zake ni ukweli usio shaka kwamba aliwanyanyasa sana wachaga na Magufuli alionesha chuki za wazi dhidi ya wachaga na wengi aliwatesa kuanzia wafanya biashara hadi watumishi ktk sekta mbalimbali aliwatesa sana,
 
Wachaga wengi wao wezi pia wachoyo na wanaukabila sana hawafai katika utumishi wa umma....waendelee na biashara zinawatosha.
 
Inasikitisha kujadili mambo mazito ukiwa na taarifa hafifu. Waziri Msuya alikuwa mbunge wa Mwanga, ni mji mdogo kando ya barabara kubwa ya kutoka Dar kwenda Arusha, SIO mlimani pili swala la umeme sio jambo la kushangaa kwa eneo hili, bwawa la Mungu liko karibu na kituo kikubwa cha kuzalisha umeme Pangani. Raslimali ni nyingi Kaskazini kama ilivyo Serengeti/Usukumani- zote ni za taifa na Nyerere alituanganisha! Leo hii ni wapi utaenda umkose mchagga au msukuma. Lakini unapokuwa kiongozi na kudhihaki kabila fulani, kuonyesha chuki, ndio tatizo kubwa, na hili naamini ndilo analozungumza Mbowe. Unakumbuka yule mama aliyekuwa analalamika kudhulumiwa, Hayati alipomuuliza mdhumulaji ni nani, yule mama akasema Mushi- Hayati alihamiki vipi? Pamoja na utani lakini ilidhihirika alikuwa na issue na kina Mushi! Kwa nini tusiache haya mazungumzo hayana tija
Acha upuuzi, mbowe amekazia maneno kuwa wachaga walibaguliwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom