Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Mange ni ndugu yenu anatokea kaskazini wana midomo kuna huyo Surungi ,wakifika nje kukaa na wazungu wanaanza dharau 😅😅😅watu washamba sana hao .

Jaribu kuangalia wenye wanawake weny mdomo wanatokea wapi kwa sana ,kujiona wanajua sana wakikaa na wazungu basi wanajiona wazungu kumbe weusi mpaka kweny makalio.
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
 
Makonda ni Mzee wa kujilipua
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
Soma nimekujibu... Hakuwa karibu na serikali alimtukana JK, Rizwani hata January. Urafiki wake na Mwamvita ulikufa kwa sababu alikuwa anamshambulia kaka yake. Au umesahau alivyosema January na Mwamvita wameshirikiana kumtapeli mzungu?
Kuchukua fomu nimekujibu kuwa alikatwa na bado akapata misukosuko hadi anaondoka.
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
Hivi zile tuhuma za Mange kuliwa' tako ni za kweli au ni uzushi? Dejane tunaomba ufafanuzi please
 
K
Kuna wakati unamuumiza mtu vikali sana lkn hanakosa uwezo wa kulipiza kisasi (kujibu mapigo) hivyo mtu huyo na ndugu,marafiki na jamaa wanaumia kwa pamoja hivyo inapotokea umetendwa vibaya na wewe watu wale uliowaumiza kwa pamoja pia hufurahi kwa pamoja vilevile.
Hii ilimkuta zaidi Rais aliyepita.

Lkn katika hao wanaofurahia siyo kwamba malengo yao wote yana fanana,hapana wengine ni vile wabataka wakupotezee muelekeo ili wao waonekane kuwa ni msaada kwako ilihali siyo uhalisia,wanachotaka ni kula zaidi ili wakuharibie zaidi.

Lkn pia usisahau kuhusu 2025 na kuendelea,hili ndilo jambo kubwa zaidi kwa sasa ukizingatia kuwa time inayoongoza mpaka dakika hii imejinasibu kuwa hakuna medali nyingine wala kushikwa mkono kiasi kwamba inaashiria kuwa tayari haya ni matokeo ya mezani.

Watu wanataka ushindani wa kweli,sasa wewe tayari umeshajivalisha medali hata kabla ya mchezo kukamilika tena kwa majivuno kuwa medali ni moja tu na atakaye tuwakilisha kwenye mashindano ya olimpiki tayari ameshapatikana wengine mnavuja jasho bure tu.

Tutaona mengi mpaka kuja tufike kwenye mashindano ya olimpiki.
 
ukielewa neno siasa hutasubiri kufunguliwa macho
 
Nyie tunawajua January ameajiri machawa wengi mtandaoni kuhakikisha hachafuki

Wewe ni mmoja wao

Mange hajawahi kugombana na kikwete family na vijana wake


Kiburi cha mange kinatokana na ukaribu wake na kina January
 
H
Hapana,mimi Mtanganyika situkanwi.
Labda kama unatukanwa wewe pia sawa.
 
Nyie tunawajua January ameajiri machawa wengi mtandaoni kuhakikisha hachafuki

Wewe ni mmoja wao

Mange hajawahi kugombana na kikwete family na vijana wake


Kiburi cha mange kinatokana na ukaribu wake na kina January
Basi bila shaka umeanza kufuatilia hizi mambo juzi juzi tu au kama Watanzania wengi walivyo una kumbukumbu fupi.... Si ndiye huyu mange aliyesema January anamtumia dadake yeye anaiba pesa serikalini anawekeza wka dadake. Akavujisha picha za familia ya Makamba wanaenda kuzindua nyumba aliyonunua mwamvita dubai. Ndipo ugomvi ukaanzia hapo akaanza washambulia? Huyu huyu mange ameisahmbulia familia ya JK na Rizwan enzi hizo. Una kumbukumbu fupi au haya mambo umeanz ayafuatilia juzi
 
ukielewa neno siasa hutasubiri kufunguliwa macho
Siasa lazima iwe na motive behind. Samia si mshindani wa January labda akina Mwigulu maana mpaka yeye aje kugombea kama ana mpango huo ina maana Samia atakuwa kamaliza awamu zake mbele.
 
Mi naona wanajuana enzi za mwendazake mlitulia alivyokuwa anatukanwa, alipofariki tu na picha mkapiga nao 😅😅😅kwanza nicheke.......saiv mnakoboana saganeni tupate unga tena bado hamjatukanana vizuri
Tena Simba Chawene akaambiwa amtafutie hadi pass ya kusafiri kabisa …hivi kweli kwa ule udhalilishaji na matusi aliyokuwa anapewa JPM na Mange kabla na baada ya kufa sikutegemea kabisa hata Rais na taasisi ya Urais kujihusisha nae huyu mtu lakini watu waliona sifa na wakafurahia sana….! Sasa kinyago hicho hicho kimeanza kuwasumbua wenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…