Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Mange ni ndugu yenu anatokea kaskazini wana midomo kuna huyo Surungi ,wakifika nje kukaa na wazungu wanaanza dharau 😅😅😅watu washamba sana hao .

Jaribu kuangalia wenye wanawake weny mdomo wanatokea wapi kwa sana ,kujiona wanajua sana wakikaa na wazungu basi wanajiona wazungu kumbe weusi mpaka kweny makalio.
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
Mkali kwa lipi? Soma mtililiko wangu. Nimesema huyu mtu wanayesema katumwa na January ameanza kutukana toka enzi za JK, tena alimtukana sana huyo January, ikaja enzi za JPM alianza anamsifu baadaye akaanza mtukana, same to Samia. Sasa kwanini wasema anatumwa na January...
 
Watanzania uwezo wenu wa kuunganisha dots upo chini sana,ukikuta huyo January yupo upande wa wanaomlipa Mange!?,hivi mnazijua siasa vizuri!?,hujiulizi kabla Makonda kukemea wanaomtukana Raisi, viongozi wote walikuwa kimya!?,hii vita ni kubwa kuliko mnavyodhani. Kwenye system watu wamegawanyika.
Makonda ni Mzee wa kujilipua
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
Soma nimekujibu... Hakuwa karibu na serikali alimtukana JK, Rizwani hata January. Urafiki wake na Mwamvita ulikufa kwa sababu alikuwa anamshambulia kaka yake. Au umesahau alivyosema January na Mwamvita wameshirikiana kumtapeli mzungu?
Kuchukua fomu nimekujibu kuwa alikatwa na bado akapata misukosuko hadi anaondoka.
 
Mange kipindi cha kikwete alikuwa na urafiki na serkali hadi alichukua fomu ya kugombea ubunge wa wanawake

Mange na January ni marafiki wakubwa

Urafiki wa yule bitch mange na mwamvita makamba umeunganishwa na makamba January
Hivi zile tuhuma za Mange kuliwa' tako ni za kweli au ni uzushi? Dejane tunaomba ufafanuzi please
 
K
Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes around.

Waliwezeshwa sana watu wadumu kila siku kumtukana Magufuli. Mimi nyuzi zangu zipo humu. Kuna maamuzi kadhaa ya Magufuli nliyapinga. Kwa hoja. Sikuwa namtukana.

Hawa hawa watu ndiyo ambao sasa wamegeuka wanamtukana Rais aliyepo madarakani. Na anakaa nao mezani anacheka nao. Kama tu ilivyokuwa mwanzo na hata sasa ndivyo ambavyo itakuwa.

Huwa nawaza hicho kisichana kimangi kimekuzwa na nani? Kinachofanya ni ushenzi wa hali ya juu. Mliokuwa mkishangilia wakati anatukanwa Magufuli sasa mnaanza kuona unapomfuga chatu.

Yeye kumtukana Rais haiiniumizi kichwa. Inaniumiza kichwa kuwa ana wafuasi. Ana mashabiki. Hapo ndo naona tatizo la watanzania. Wengi hawna akili. Wengi hawajielewi. Mimi jana mtu wa karibu nami alinitaka nisome yale matusi akichekelea. Nilimwambia hana akili. Huwezi furahia mwanamke, rais anatukanwa vile. Hata kama unapishana naye kiitikadi. Si sawa.

Uhuru una mipaka. Hakuna uhuru usio na mipaka. Labda ukiwa kaburini tu. Duniani kila kitu kina mipaka. Mangi athibitishe maneno yake.
Kuna wakati unamuumiza mtu vikali sana lkn hanakosa uwezo wa kulipiza kisasi (kujibu mapigo) hivyo mtu huyo na ndugu,marafiki na jamaa wanaumia kwa pamoja hivyo inapotokea umetendwa vibaya na wewe watu wale uliowaumiza kwa pamoja pia hufurahi kwa pamoja vilevile.
Hii ilimkuta zaidi Rais aliyepita.

Lkn katika hao wanaofurahia siyo kwamba malengo yao wote yana fanana,hapana wengine ni vile wabataka wakupotezee muelekeo ili wao waonekane kuwa ni msaada kwako ilihali siyo uhalisia,wanachotaka ni kula zaidi ili wakuharibie zaidi.

Lkn pia usisahau kuhusu 2025 na kuendelea,hili ndilo jambo kubwa zaidi kwa sasa ukizingatia kuwa time inayoongoza mpaka dakika hii imejinasibu kuwa hakuna medali nyingine wala kushikwa mkono kiasi kwamba inaashiria kuwa tayari haya ni matokeo ya mezani.

Watu wanataka ushindani wa kweli,sasa wewe tayari umeshajivalisha medali hata kabla ya mchezo kukamilika tena kwa majivuno kuwa medali ni moja tu na atakaye tuwakilisha kwenye mashindano ya olimpiki tayari ameshapatikana wengine mnavuja jasho bure tu.

Tutaona mengi mpaka kuja tufike kwenye mashindano ya olimpiki.
 
Lete sababu maana January Samia sio mshindani wake maana ni dhahiri lazima Samia amalize awamu zake unless labda angekuwa anatukanwa Mwigulu au mtu ambaye inasemekana anautaka urais baada ya Samia ungesema January kaanza kumchafua. Sasa amtukane samia kwa lipi wakati hata fomu ya kugombea 2025 hatoichukua...
Lete connection kwanini unahisi afanye hivyo.
ukielewa neno siasa hutasubiri kufunguliwa macho
 
Nyie tunawajua January ameajiri machawa wengi mtandaoni kuhakikisha hachafuki

Wewe ni mmoja wao

Mange hajawahi kugombana na kikwete family na vijana wake


Kiburi cha mange kinatokana na ukaribu wake na kina January
Alikuwa karibu wapi na serikali bwana wakati alikuwa anamtukana JK, na Rizwani na huyo January Makamba. Fomu ya kugombea alichukua lakini wakamkatilia mbali. Enzi za JK alikuwa hadeal na watu kwa nguvu kubwa kama hivi la sivyo alipotua tz angeipata pata. By the way bado pia aliondoka TZ faster hata yeye anakili alianza kuogopa juu ya uhai wake. Huyu mtu zama zote anatukana sema serikali ya Kikwete ilikuwa haifuatilii sana yaliyokuwa yanaendelea kwenye mtandao wala hakukwua na mawaziri wala wakuu wa mikoa machawa wa kusema atakaye msema JK tutakufa naye kama sasa na enzi za JPM
 
H
Haya mambo yamenizidia huyu Mange Kimambi anamdhalilisha sana Rais wetu na baadhi ya Watanzania wanafurahia kabisa kuona mambo haya hii ni aibu kwa Taifa letu, Rais anavyotukanwa manake tunatukanwa Watanzania wote, hainingii akilini kawmba Watanzania tumekuwa dhaifu kiasi hiki. Kwamba hatuwezi kumwajibisha huyu Mange. Anapokaa panajulikana.

Jamani naomba mniambie kwani Marekani matusi yanaruhusiwa kumtukana mtu sio uvunjaji wa sheria wala sio tatizo kwanini Waziri wa Mambo ya nje anashindwa kukutana na ubarozi wa Marekani wakazungumza kuhusu hili jambo. Kama Mange anataka kukosoa akosoe, sio kutukana matusi. Naamini hata Marekani matusi ni kosa yule anajivunia matusi hoja mnaweza mkabishana sio matusi!

January Makamba jitahidi kuwasiliana na mamlaka zinazohusika ili kukomesha tabia ya Mange ya matusi ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.

Nachukia sana kumwona Rais wangu anadhalilishwa hata kama natofautiana naye kwenye baadhi ya mambo.
Hapana,mimi Mtanganyika situkanwi.
Labda kama unatukanwa wewe pia sawa.
 
Nyie tunawajua January ameajiri machawa wengi mtandaoni kuhakikisha hachafuki

Wewe ni mmoja wao

Mange hajawahi kugombana na kikwete family na vijana wake


Kiburi cha mange kinatokana na ukaribu wake na kina January
Basi bila shaka umeanza kufuatilia hizi mambo juzi juzi tu au kama Watanzania wengi walivyo una kumbukumbu fupi.... Si ndiye huyu mange aliyesema January anamtumia dadake yeye anaiba pesa serikalini anawekeza wka dadake. Akavujisha picha za familia ya Makamba wanaenda kuzindua nyumba aliyonunua mwamvita dubai. Ndipo ugomvi ukaanzia hapo akaanza washambulia? Huyu huyu mange ameisahmbulia familia ya JK na Rizwan enzi hizo. Una kumbukumbu fupi au haya mambo umeanz ayafuatilia juzi
 
ukielewa neno siasa hutasubiri kufunguliwa macho
Siasa lazima iwe na motive behind. Samia si mshindani wa January labda akina Mwigulu maana mpaka yeye aje kugombea kama ana mpango huo ina maana Samia atakuwa kamaliza awamu zake mbele.
 
Mi naona wanajuana enzi za mwendazake mlitulia alivyokuwa anatukanwa, alipofariki tu na picha mkapiga nao 😅😅😅kwanza nicheke.......saiv mnakoboana saganeni tupate unga tena bado hamjatukanana vizuri
Tena Simba Chawene akaambiwa amtafutie hadi pass ya kusafiri kabisa …hivi kweli kwa ule udhalilishaji na matusi aliyokuwa anapewa JPM na Mange kabla na baada ya kufa sikutegemea kabisa hata Rais na taasisi ya Urais kujihusisha nae huyu mtu lakini watu waliona sifa na wakafurahia sana….! Sasa kinyago hicho hicho kimeanza kuwasumbua wenyewe!
 
Back
Top Bottom