Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

Haya mambo yamenizidia huyu Mange Kimambi anamdhalilisha sana Rais wetu na baadhi ya Watanzania wanafurahia kabisa kuona mambo haya hii ni aibu kwa Taifa letu...
Mkuu uko sahihi Ila tusubirie Kwanza orodha ya makonda labda huyo unayemwqmbia naye yumo
 
Mange na makamba na mwamvita ni timu ya kufa na kuzikana

Mange hajawahi kumtukana makamba

Akili ndogo nyie
Amewahi kumtukana sana zamani, labda wewe ni mgeni mjini au ulikuwa bado mdogo.

Hata hivyo, hiyo haifanyi January asiweze kumtumia Mange against yeyote kwasasa kwasababu, Mwamvita ameshapatana na Mange, means Mange na January kwasasa ni ✅

Hata pia, hii haifanyi Mange ashindwe kuja kumtusi Januari in the future, huyo ndio mange huwa anamtukana yeyote, muda wowote kwasababu yoyote. Na huwa anatumiwa na yeyote, muda wowote kwasababu yoyote.

Wakati wako ukifika, tulia dawa ikuingie.

Mnadili na a certified bipolar woman.
 
Nami dadangu naliangalia hili kwa upande wa pili, yaani mama, mke, bibi, mkwe.

Serikali ichukue hatua dhidi ya utukanaji kwa mwananchi yeyote,siyo mpaka awe kiongozi.

Lugha ya kuudhi na uzalilishaji ni makosa, ni nani anayetakiwa kushitaki!!??
Tumefikaje hapa? Hivi kweli kwa matusi na udhalilishaji uliofanywa na huyu mdada taasisi na Rais mwenyewe waliweza kushindwa kufikiri kuwa mtu kama Mange akupaswa kumsogelea au kupata nafasi ya kuwa karibu na Rais? Hivi hata kama Samia na Magufuli hawakuwa ndugu lakini kile kuwa makamo wa Rais wake hakupaswa hata kumsogelea kabisa hivi huyu kichaa kweli ndio wakumsogelea na kuwa rafiki wa Rais?

Hivi kwa hali ya Sasa kuna waziri yeyote anaweza kwenda kupiga picha na Mange? Kosa ni kufikiri watu hupona vichaa!
 

Attachments

  • IMG_2225.jpeg
    IMG_2225.jpeg
    486.7 KB · Views: 3
Mkuu hiyo ya lazima Samia amalize vipindi viwili umeisoma wapi!?,kwanini unakomaa watu wakariri hivyo!?,unaficha nini nyuma ya pazia?,wewe ni Mungu?,una guarantee gani ya maisha kwa kiongozi yeyote!?,michango yako sio ya wachangiaji wa kawaida JF, una ajenda za siri nyuma yako, mwanzoni sikugundua hilo, kuna vitu unakomalia sana hadi umeshtukiwa.
Either hajui au anapotosha kwa makusudi, Hii ni vita ya Urais ndiyo, mtu anaweza kujiuliza ni kivipi wakati Mama lazima amalize muda wake? Ndio maana huyo uliyomqoute ameisisitiza hii point, ukweli ni kuwa January is now 50 of age, rafu anayocheza ni kumuomba mama asigombee mwakani kusudi agombee yeye, kwasababu kumuacha mama agombee mwakani ni kumfanya Januari asubiri miaka mingine 15 ndipo aje agombee (kama Mungu atamjalia). Hii uncertainty ndiyo inayowafanya hiyo team wafosi kuachiwa kugombea 2025.

Ni kweli kuwa kinachoendelea ni vita ya Urais, ielekewe hivyo.
 
Back
Top Bottom