Unaongea vitu gani wewe? Mwanzoni mwanini? September 1, 1939 Nazi wanaanza vita rasmi kuivamia Poland, Ujeruman ya Nazi haikuwa mshirika wa USSR ila walikuwa na mkataba ambao ulipiga marufuku kushambuliana.Mwanzoni kabisa mwa vita USSR alikuwa kitu kimoja na Hitler, Hitler akamgeuka baada ya kumuona kama hamuhitaji tena, hapo alishapigana na France, Poland, yupo na Britain
USSR alikuwa na makubaliano na Hitler ya non aggression pact, na pia walikubaliana kugawana nchi za Eastern Europe, wakati Hitler anavamia Poland upande wa Magharibi, USSR nae alivamia Poland Mashariki, pia alivamia kuzichukua Lithuania, Latvia, Estonia, na alitaka kuichukua na Finland ila kwa Finland alipata kipigo cha aibu, ndipo Hitler akamuona USSR dhaifu na kumvamia.Unaongea vitu gani wewe? Mwanzoni mwanini? September 1, 1939 Nazi wanaanza vita rasmi kuivamia Poland, Ujeruman ya Nazi haikuwa mshirika wa USSR ila walikuwa na mkataba ambao ulipiga marufuku kushambuliana.
June 1941 Nazi walianza kuishambulia USSR kupitia Poland, wakati huu upande wa Magharibi walikuwa wameshaudhibiti wote huku upande wa mashariki mwa Poland ukiwa uoande wa USSR, December 1941 USSR inaanza kufanya counteroffensive kwa Nazi, 30 Aprili 1945 Adolf Hitler alijiua.
2 Mei 1945 Jeshi la USSR linaiteka Berlin, 7 Mei 1945 Ujerumani ilisalimisha rasmi kwa Uingereza na Marekani mjini Reims, Ufaransa. Kwa jinsi uharifu wa kibinadamu waliokaufanya kwenye miji ya USSR wakati wanaivamia Ujeruman hawakutaka ata kujasilimisha kwa USSR cos walihofia USSR watalipa visasi, mrithi wa Adolf Hitler alijitahidi kufanya makubaliano na upande wa France na Uingereza akafanikiwa kujisalimisha kwa upande uo, wakati uo Uingereza na Ufaransa na US walikuwa washirika vita baridi haijaanza hapo.
May 7 vita ya inaisha rasmi kati ya USSR na Ujerumani, August 8 Stalin anatangaza vita dhidi ya Japa, August 9 Redy Army anaingia mzigoni kwenye makoloni ya Japan nchini China, August 9 hiyohiyo US anatumia tena bomu la pili la Atomic Nagasaki, August 15 Japan anakubali yaishe! September 2, 1945 unasainiwa mkataba rasmi wa kumaliza kila mashambulizi.
Baada ya hapa Dunia inaingia kwenye Cold War! Wamagharibi ni kama walikuwa wanaombea USSR ashindwe! Waliogopa sana uwezo wa jeshi la USSR.
SSH sio Adolf ,mtafyekwa woteHuyu bwana alianzisha vita ambayo hawezi kuimudu. Kupigana two frontlines kwa wakati mmoja ilikuwa ni kosa moja kubwa la kiufundi lililomgharimu. Atleast angepigana moja kwanza iishe.
Yaani upande wake wa magharibi hajamalizana na mbritish+mfaransa , akagawa vikosi vya jeshi lake vikapigane na Red army ya mrusi(OPERATION BARBAROSA) .hapa alifanya makosa makubwa sana.
Kilichotokea ni Ujerumani kuwekwa mtu kati. Akapigwa na mrusi akitokea upande wa mashariki akipitia poland huku magharibi yupo mfaransa na shosti yake mbritain wakiwa na backup ya mu U.S.A . Mjerumani Akawa amewekwa mtu kati kilichotokea ni History .View attachment 3418609
Laiti Hitler angekuwa anashaurika na kuwasikiliza washauri wake Ungekuta ulaya yote iko chini ya third reich.
Hitler alikuwa na makamanda bora na wazoefu kabisa na walikuwa wanaperform vyema kwenye field . Hapa nawazungumzia akina Johannes Blaskowitz na Alfred schlemm n.k. ila boss wao aliwa let down kwa kutoshaurika. Ilikuwa kosa kubwa sana.
Anyway natamani kupata Hardcopy ya hiki kitabu hapa.
View attachment 3418611
Kuwa na haina maana kuwa ni marafiki, USSR pia alikuwa na makubaliano na Japan yakutoshambuliana! Lakini angalia mara baada ya kumpiga Ujeruman alienda kuivamia Japan. Ukiangalia kipindi wameingia katika mkataba kutovamiana kati ya USSR na Nazi kilikuwa almost mwaka mmoja mpaka uvamizi wa Nazi nchini Poland. Ni kusema wazi USSR aliingia makubaliano kitokana na trend ya Ujeruman kujitanua kuelekea USSR so ili USSR kujihami akaingia katika mkataba wa kutoshambuliana.USSR alikuwa na makubaliano na Hitler ya non aggression pact, na pia walikubaliana kugawana nchi za Eastern Europe, wakati Hitler anavamia Poland upande wa Magharibi, USSR nae alivamia Poland Mashariki, pia alivamia kuzichukua Lithuania, Latvia, Estonia, na alitaka kuichukua na Finland ila kwa Finland alipata kipigo cha aibu, ndipo Hitler akamuona USSR dhaifu na kumvamia.
So USSR na Germany ni kama majambazi wawili waliokuwa na makubaliano kisha wakasalitiana
Wanasema "there's no honor among thieves"
Hawa walikuwa wameshakubaliana jinsi ya kuipiga kugawana Ulaya, sema walikuwa hawaaminiani, ni kama majambazi wawili wanavyokubaliana kwenda kupora ila hawamianiani, kila mmoja anamshuku mwenzie anaweza kumgeuka muda wowote. Vingine ni ushabikiKuwa na haina maana kuwa ni marafiki, USSR pia alikuwa na makubaliano na Japan yakutoshambuliana! Lakini angalia mara baada ya kumpiga Ujeruman alienda kuivamia Japan. Ukiangalia kipindi wameingia katika mkataba kutovamiana kati ya USSR na Nazi kilikuwa almost mwaka mmoja mpaka uvamizi wa Nazi nchini Poland. Ni kusema wazi USSR aliingia makubaliano kitokana na trend ya Ujeruman kujitanua kuelekea USSR so ili USSR kujihami akaingia katika mkataba wa kutoshambuliana.
Ni kweli USSR ye alichukua mashariki mwa Poland lakini mara baada ya kuichukua alitoa sababu kuwa anawalinda eneo ambalo alilipoteza wakati wa WW1 na ndiyo maana mara baada ya kuichukua Poland Mashariki alitengeneza Buffer Zone kati ya mashariki na Magharibi mwa Poland yote inaonesha kutokuwa na imani na Adolf Hitler.
Mara baada ya kuanguka USSR ni kweli kulikuwa na makubaliano kati ya NATO NA RUSSIA kuwa Russia haitojitanua tena kuelekea Magharibi na Nato haipaswi kujitanua kuelekea mashariki yaani kuifuata Russia! Vipi nini kinaendelea kwasasa? nchi za NATO zinaifuata approach ya chama cha NAZI? kwanini wanapambana kuisambaratisha Russia kama alivyopambana Adolf?Hawa walikuwa wameshakubaliana jinsi ya kuipiga kugawana Ulaya, sema walikuwa hawaaminiani, ni kama majambazi wawili wanavyokubaliana kwenda kupora ila hawamianiani, kila mmoja anamshuku mwenzie anaweza kumgeuka muda wowote. Vingine ni ushabiki
Tulikuwa tunajadili fact za vita kuu ya pili ya dunia, ilivyokuwa mwanzo, pande zilizohusika na zilihusikaje, hii unayoleta ni mada mpya...na sipo interested kwenye ushabiki wa East vs WestMara baada ya kuanguka USSR ni kweli kulikuwa na makubaliano kati ya NATO NA RUSSIA kuwa Russia haitojitanua tena kuelekea Magharibi na Nato haipaswi kujitanua kuelekea mashariki yaani kuifuata Russia! Vipi nini kinaendelea kwasasa? nchi za NATO zinaifuata approach ya chama cha NAZI? kwanini wanapambana kuisambaratisha Russia kama alivyopambana Adolf?
Hii nimeochomekea sababu tumeangalia sababu za vita kuu ya 2 na yule tuliyeaminishwa mbaya na dictator basi zinatumika sababu zilezile za dictator wa WW2 leo kuziendeleza huku kukiwa na hofu ya kuibuka kwa WW3.Tulikuwa tunajadili fact za vita kuu ya pili ya dunia, ilivyokuwa mwanzo, pande zilizohusika na zilihusikaje, hii unayoleta ni mada mpya...na sipo interested kwenye ushabiki wa East vs West
Sababu za WW2 ni zipi?Hii nimeochomekea sababu tumeangalia sababu za vita kuu ya 2 na yule tuliyeaminishwa mbaya na dictator basi zinatumika sababu zilezile za dictator wa WW2 leo kuziendeleza huku kukiwa na hofu ya kuibuka kwa WW3.
Cha ajabu Western propaganda wanadai eti turning point ya "WW2 ilikuwa ni Normandy" waongo wakubwa hawa lengo lao nikutaka kupindisha historia ya kweli ya WW2 ndani ya Continental Europe, ukweli utabaki pale pale kwamba Russian "Red Army" ndiyo ili vunja uti wa mgomgo WA jeshi LA Hitler - watasema mengi na kutaka kupindisha historia ya WW2 lakini wakumbuke kwamba ukweli utabaki pale pale kwamba Red Army under Field Marshal Zhukov lilikuwa "forminable"
Watu mna madini na historia sio hawa kina mondiHuo ndio ukweli, pale Europe France alipigwa hadi akawa koloni, ukija kwa Britain ndio hivyo hakuwa na matumaini ya kuiweza Germany.. kwa sababu hadi mara ya mwisho Britain wanataka kuingia vitani walijitathimini wakagundua hawatoweza kuishinda Germany.... EU wababe wote walikalishwa na Nazi Germany...
Hadi hapo Germany alikuwa ameimaliza EU.. alipojichimbia kaburi Hitler ni kwenda kuanzisha vita na USSR..
Lakini tukumbuke USSR aliwaambia west na EU mwanzoni kabisa kwamba wajiunge wajenge nguvu dhidi ya Germany... wakakaidi kwa sababu walimuona USSR ni mjamaa.. lakini USSR walikuwa na intelligence nzuri waliona mbali...
Baada ya west kumkataa USSR, USSR anakwenda kujiunga na Germany kwenye makubaliano waliita Molotov-Ribbentrop Pact.. mwaka 1939... wanakubaliana kutoshambuliana bali kuivamia Poland na kugawana...
Baadae Nazi Germany ilivunja Mkataba wa Molotov-Ribbentrop kwa kuvamia USSR kwa ghafla na ikawa mwanzo wa anguko la Germany....
Ile nguvu liyoitumia kupambana na USSR angepambana na Britain angeichukua pia kama France, kwa maana hata pale Dunkirk askari wa Britain na France walizingirwa na Nazi Germany...
Jamaa alikuwa na the best military generals ambao mpaka sasa kwenye vyuo vya kijeshi husomwa kama case study ila tu Hitler ali wa let downnaukubaliana na wewe lakin in addition one of major set back for germany during ww2 is inigma secret code kuwa bypassed ilikuwa cracked. inigma ilikuwa encription code ambayo ndio ulikuwa mfumo wa code za kimawasiliano. point no 2 ni uungwaji mkono waliofanya germany kwa japan kama germany isingeunga mkono japan, USA asingetoa msaada kwa allies kitu ambacho kiliwaongezea nguvu sana russia, and england japan. point no 3 hitler asingeingilia stratergic tactical decision za jeshi. to me nilipenda perfomance ya majenerali kadhaa ya wanazi 1.Hans guderian( the father of blitz) 2. erwin rommel ( desert fox) 3.paulis ( six army in stalin grade
Mkuu nimekutana kitu hiki uko Duniani! Una maoni gani hapa?Sababu za WW2 ni zipi?
Kuhusu kuwa alikuwa ofisa wa juu wa jeshi la Nazi kishi kuwa ofisa wa juu wa NATO?Mkuu nimekutana kitu hiki uko Duniani! Una maoni gani hapa?
View attachment 3422993
Jeshi la German halikuwa la moto kama Japan, neno Kamikaze ilikuwa ni Slogan kali sana kwa Jeshi la Japan.Reader digest kitabu kilielezea vizuri.ina matukio na tarehe kwa picha.ni kweli vita ilikuwa kati ya mrusi na germany nakumbuka pia usa na japan naye ilikuwa mechi kali sana.