Hili ni kosa la kiufundi alilofanya Adolf Hitler

Hapo nyuma nilikuuliza, NATO inatekeleza mission ya Adolf Hitler ilifail 1945 kwa njia isiyo ya kijeshi?
 
Afu eti gazeti la  mfanyakazi mwaka 1989 likaandika front page yake kwa bold print Hitler yu hai. Wakaeleza kwamba alifanikiwa kutoraka na kwa wakati rule alikuwa huko Argentina...
 
Afu eti gazeti la  mfanyakazi mwaka 1989 likaandika front page yake kwa bold print Hitler yu hai. Wakaeleza kwamba alifanikiwa kutoraka na kwa wakati rule alikuwa huko Argentina...
Hizi ni conspiracy theory tu
 
Himmler was bad....type of Idd Amin's Malyamungu's bad
 
kuna sehemu nyingine hawasemi Hitler invaded wanasema Hitler marched koz no resistance at all
 
Hatuwezi kujua Hitler alikuwa ameplan nini kuanzisha vita hii, kwa hiyo hatuwezi-kumJudge.

Hebu jaribu kufatilia vita ya Israel na mataifa ya kiarabu mwaka 1967, je, Israel ilipigana warfronts ngapi kwa mpigo na mbona Israel ilihibuka mshindi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…