Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Kama kawaida accountability inawashinda. Mkishafanya maamuzi mabovu lazima mtafute angle ya kurusha lawama kwa mwanaumeUkiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.
Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
Hakika hawa wanawake noooKama kawaida accountability inawashinda. Mkishafanya maamuzi mabovu lazima mtafute angle ya kurusha lawama kwa mwanaume
Hiyo michezo ni tatizo na hata hao wanaoendesha hiyo michezo na kutoa mikopo ya kausha damu wanajua kabisa hawana chanzo cha kipato. Hela itapatikana kwa kudanga.Michezo/vicoba haina tatizo kabisa. Tatizo ni pale mtu anaingia huku hana chanzo cha mapato, anategemea hela ya kupewa
Hiyo michezo ingawa wife hachezi lakini nilishampaga onyo. Siku nitakayosikia anajihusisha nayo, nikirudi home nikute ameshapack kila kitu chake. Moja kwa moja mbezi Magufuli safari ya kwaoHakika hawa wanawake nooo
That's not success. That's pleasureI want money, the cars, the clothes, the hoes, I suppose
I just wanna be successful
HahaIkishafika jioni ni usumbufu tu mara nitumie 50k nadaiwa. Sasa unajiuliza huyu madeni yake yote huwa mida ya jioni kumbe ni mchezo. Kuna single mama moja namaliza kibingwa sababu ya hela za mchezo.
Acha utapeliYapo wanawake wanaodanga yan watanzania huku wanatusumbua sana kuwa pesa ya mchezo tuwasaidia na hapa kidogo Wauze Mali za mmewe kisa ye anadanga huku tukamuokoa
View attachment 3610687View attachment 3610688View attachment 3610691View attachment 3610689
Duh mkeo ana kibarua mkuu! Akijichanganya kidogo tu mbezii magufuliii..☹️Hiyo michezo ingawa wife hachezi lakini nilishampaga onyo. Siku nitakayosikia anajihusisha nayo, nikirudi home nikute ameshapack kila kitu chake. Moja kwa moja mbezi Magufuli safari ya kwao
Mkuu, heshima kitu cha bure. Unamaamisha watu wote wanaocheza michezo wanadanga? Sisi kazini kwetu tuna mchezo wa kila mwisho wa mwezi na wanaume waliomo ni wengi kuliko wanawake...kwa hiyo nao wanadanga?Hiyo michezo ni tatizo na hata hao wanaoendesha hiyo michezo na kutoa mikopo ya kausha damu wanajua kabisa hawana chanzo cha kipato. Hela itapatikana kwa kudanga.
Wanawake wa kitanzania bila udikteta hamkai kwenye mstari. Upole wa mwanaume mnafikiri ni udhaifuDuh mkeo ana kibarua mkuu! Akijichanganya kidogo tu mbezii magufuliii..☹️
Hata wanaofanya kazi pia wapo wanaotegemea hela ya marejesho waipate kutoka kwa mwanaume. Wanawake hela yenu mnaionea uchungu sana hata kuitumia kwa mahitaji yenu wenyewe. Ni suala gumu kwako kuelewa kwa sababu hizo hela za michezo hamuombani nyie kwa nyie.Mkuu, heshima kitu cha bure. Unamaamisha watu wote wanaocheza michezo wanadanga? Sisi kazini kwetu tuna mchezo wa kila mwisho wa mwezi na wanaume waliomo ni wengi kuliko wanawake...kwa hiyo nao wanadanga?
Nimemshangaa sana, nimewaza atakua anawaza kwa kutumia nn nimekosa majibuKama kawaida accountability inawashinda. Mkishafanya maamuzi mabovu lazima mtafute angle ya kurusha lawama kwa mwanaume