Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Hiyo michezo inawapelekea kupigwa pumb* kinyama yaan kitaa wanarushiwa maji hatari!!Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Wanna U?I want money, the cars, the clothes, the hoes, I suppose
I just wanna be successful
Mzee unajidanganya!! Hawa viumbe huingia kweny hekaheka za michezo ya pesa kwa siri, yaan anakuficha then anatafuta rejesho kimyakimya kwa kupigwa pumb* tena sio mwanaume mmoja....Ukiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.
Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
Benye mnasemwa, mkuje huku!Hiii sijui Kila siku laki ya mchezo inachangia Umalaya kwa wanawake
Udanganyifu kwa wenza wao kutokana na Pesa wanazopewa
Presha kwao na kwa wapenzi wao
Ni Bomu kubwa sana tupo na mtaona kwenye jamii
Britanicca
Bidada... Hii mamb kitaa ipo tofaut yaan mke anapata mahitaji then anajiongezea mahitaji ambayo hupelekea kucheza michezo tena kwa siri bila kumwambia mme wake! Mziki unakuja kweny kurejesha pesa ambapo hupelekea sasa aende kupigwa pumb* ili apate rejesho. Hii imepelekea wanawake wengi kuharibiwa vinjeoUkiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.
Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
Unasaka financial kwa kupigwa pumb*? Huoni huo ni ulemavu wa akili? Mitaani wanawake wamehabika vinyeo kwa kutafuta marejeshoTunasaka financial freedom kwa nguvu zote tupunguze manyanyaso mkuu.
Mtu akinnua kiroba cha unga unaulizwa unakosa nini humu ndani 😂😂😂
Kujitafutia ni sawa tatizo unaitafutiaje? Unakuta mwanamke anacheza mchezo wa kurejesha kila siku amemficha mme wake. Sasa akikwama inabidi akapigwe pumb* ili apate rejesho. Hii kitu imepelekea wanawake wengi kuharibiwa vinjeo mitaaniMkiombwa hela manenooo mtu akijitafutia maneoooo...tuueni basi.
Inawezekana ni kweli ila sio woteHata wanaofanya kazi pia wapo wanaotegemea hela ya marejesho waipate kutoka kwa mwanaume. Wanawake hela yenu mnaionea uchungu sana hata kuitumia kwa mahitaji yenu wenyewe. Ni suala gumu kwako kuelewa kwa sababu hizo hela za michezo hamuombani nyie kwa nyie.
Kwani kila mwanamke aliyeko kwenye upatu na vikoba ana mwenza?Ukiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.
Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
Duhh mi kwakweli napenda wanaume wapole, ila sio wajinga!Wanawake wa kitanzania bila udikteta hamkai kwenye mstari. Upole wa mwanaume mnafikiri ni udhaifu
Umeeleza vemaMimi swali langu ni moja tu kwa wanaotetea, je huyu mwanamke anaejiunga na hiyo michezo na mnasema ni sehemu ya kujiwekea akiba, hii pesa ya kutoka kila siku au kila week anaitoa wapi kama hana biashara ama ajira yoyote ya kumuingizia kipato? Kuna mtu huko juu anasema wanaume hawatimizi mahitaji ndo maana wanawake wanaamua kujiingiza huko ili kutafuta kipato, swali langu ni lile lile tu hela ya kutoa huo mchango sijui mnaita marejesho ataitoa wapi kama hana biashara ama kazi yoyote ya kumuingizia kipato? Nachoamini hawa wanawake wanatumia pesa za matumizi ya familia wanayoachiwa na waume zao wanaziingiza huko kwa kuchomoa kidogo kidogo baadae inaonekana kama mwanaume hahudumii vizuri familia yake. Mbaya zaidi wanaenda kukopa huko bila kumshirikisha Mume wake na anachokifanyia hizo pesa hakieleweki matokeo yake ni kuleta shida kwenye familia tu. Siamini kwenye kwenye mambo za vikoba kabsa kwenye maisha yangu, nikimwona mtu anajihusisha na hizi mambo hua namwona kama mtu aliekosa focus ya maisha kwasababu kama uko serious na biashara ama mradi wowote nenda kakope Bank... utaratibu wa kibenki unakulazimisha uwe smart na mwenye discipline na project unayotaka kuifanya.
Labda kama kuna sababu nyingine ya kumuacha!Hiyo michezo ingawa wife hachezi lakini nilishampaga onyo. Siku nitakayosikia anajihusisha nayo, nikirudi home nikute ameshapack kila kitu chake. Moja kwa moja mbezi Magufuli safari ya kwao
ChaiUkiona hivyo jua hutimizi mahitaji ya mwenza wako kikamilifu.
Na pia hamkai meza moja mkashauriana, kiufupi hamsikilizani.
Hao wanaopigwa pumbu ni hobby zao binafsi, nazungumzia chanzo cha kuingia kwenye vicoba na michezo hapa!Unasaka financial kwa kupigwa pumb*? Huoni huo ni ulemavu wa akili? Mitaani wanawake wamehabika vinyeo kwa kutafuta marejesho
BroMkiombwa hela manenooo mtu akijitafutia maneoooo...tuueni basi.