Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nimeuliza hii kitu hajanijibu kaishia kubwabwaja tuNyinyi vijana wa kipindi hicho mlifanya nini kwa nyakati zenu ambacho mnaweza jivunia leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza hii kitu hajanijibu kaishia kubwabwaja tuNyinyi vijana wa kipindi hicho mlifanya nini kwa nyakati zenu ambacho mnaweza jivunia leo
😅😅😅😅😅Kuna tofauti gani kati ya kumkimbiza Harmonize na kukimbiza mwenge ?
Amen😅😅😅😅😅
Baada ya kuyasema hayo mwishimiwa spika naunga mkono hoja.
Nilikuwepo Airport nilishangaa sana.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!.
Hili Taifa la Tanzania ndilo Taifa linaloongoza duniani kwakuwa na Vijana wapumbavu kuliko Mataifa yote yanayotambulika na Umoja wa Mataifa (UN).
Hebu fikiria kijana anatoka nyumbani au kibaruani kwake kuelekea Airport (JKNIA) kumpokea msanii wa muziki wa kizazi kipya kisa kachukua tuzo huko Marekani,na kibaya zaidi huyo kijana anakimbiza gari lililombeba huyo msanii kitokea Airport hadi Kawe!.
Zaidi ya Km 22 huyu kijana anakimbiza gari kutoka JULIUS KAMBARAGE NYERERE INTERNATIONAL AIRPOT (JKNIA) hadi Kawe huku akitokwa jasho na kunuka kama mbuzi wakati huo huo huyo msanii akiwa anapigwa na AC (Air Condition)!.
Nimetafakari sana namna vijana wa nchi hii (Wengi) walivyo wapumbavu hadi nimekosa majibu!.
Hebu fikiria muda ambao huyo kijana kapoteza katika shughuli za uzalishaji mali!.
Kwanini vijana wasitumie muda kama walioutumia leo wakaandamana kuihoji serikali kuhusu ripoti ya CAG? Nilitamani kuona vijana wanahoji wezi wa mali na
wafuja rasilimali zilizotajwa kwenye ripoti ya CAG lakini hakuna anayehoji zaidi ya kushiriki kwenye mambo ya kipumbavu!.
Hili Taifa bila Vijana kubadilika sidhani kama twaweza kupiga hatua zaidi ya kila siku kuishia kuimba nyimbo za mapambio za kina Lucas mwashambwa mama anaupiga mwingi!
Hebu fikiria jitu lililokuwa linapewa heshima hapa jf kama liokota makopo maarufu la JF Chizi Maarifa nalo limekuwa sehemu ya ujinga huo leo pale Airport to Kawe!
Mdeki vyoo wa pale lugalo GENTAMYCINE yeye alishituka mapema hakwenda huko ila alimuachia mwehu mwenzie Chizi Maarifa amuwakilishe!
Vijana wa hili Taifa wengi ni wapumbavu sana!
Yani mabandiko yao, nasema mabandiko yao kwa sababu ni kundi kubwa tu, lenye makasiriko lenye kudai wao ndio wenye kuleta Salvation, atiii wao ndio wajuaji. Konyo kabisa haya madudu. Huwa hawanishangazi vile bali ni jinsi wanavyopenyeza mabandiko yao yaliyojaa matusi kwa Mtanzania, Mwafrika na mtu yeyote yule mweusi, halafu Uongozi wa JF na Moderatore wanaachia tu kana ni poa!Tumeshazoea kejeli zenu.
Tupitie habari kidogo aisee, siunajua marekani kwasasa ni nchi ya ulimwengu wa tatu au bado tunakariri yazamani. Nchi imeporomoka vibaya sana na inamadeni vibaya mno.Tanzania izidi nchi ya Marekani kiuchumi?
Hakuna taifa lolote la kiarabu ambalo linaizidi Marekani kiuchumi.
Sasa utakuwa nchi yako ambayo umeme ni wa mgao?
Hao wazee wamefanya nini zaidi ya kuuza nchi?
Tatizo umeandika huu uzi ukiwa na mhemuko sana. Kaa kwa kutulia kisha andika upya
Siyo kejeli dogo, unatoa wapi muda wa kukimbiza mwenzio aliye ndani ya gari badala ya na wewe kupigania ugali wako wa siku? Ina maana nyie hamna kazi ya kufanya??Tumeshazoea kejeli zenu.
Sasa kama wazee walikosea miaka hiyo nyie vijana ambao sasa ni zaidi ya asilimia 70 si ndiyo mnatakiwa mkomae mwanzo mwisho ili kuleta mabadiliko ili muishi vizuri na vizazi vyenu?? Mkiwasusia wazee si ndiyo itazidi kula kwenu mazima?? Konde boy anawaandamanisha bure wakati yeye yuko kazini na anaingiza mkwanja??Sheria na kanuni za kipambavu zinazoruhusu upigaji kama masilahi ya wabunge, katiba mbovu, matumizi ya anasa ya viongozi n.k zimetungwa kipindi ambacho hao vijana walikua watoto au hawajazaliwa kabisa.
Nyie wazee/wababa mlikua wapi kuandamana zisipitishwe from the first place mpaka mnataka kumrushia kijana mzigo wa kuzipinga?
Mlikua wajinga kuona ubovu? Mliogopa kukinukisha? Hayo maandamano unayotaka vijana tufanye mngeyafanya nyie mliotutangulia leo hii usingekuwepo hapa unalalamika.
Wazee/wababa mmeshindwa kuzuia chanzo cha tatizo kwaiyo hamna uhalali wa kulaumu vijana kwa kushindwa kupambania hayo matatizo yaishe. Actually youths suffer consequences of your ignorance, selfish and cowardness.
Hivi nyie vijana wa leo mngeweza kweli kupigania uhuru na kumtoa mkoloni kweli? Hebu tuwe wakweli mngeweza nyie?? [emoji12]Jamaa wanaboa, kutwa vijana vijana vijana utafikiri wao enzi zao za ujana waliacha legacy ya maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] DaaahSheria zote za kipumbavu zimepitishwa wakati wa utawala wa jiwe,kwahiyo wewe ulikuwa bado unanyonya?
Ndo watulie sasa tutakinukisha wakati ukifika sio kila siku vijana vijana vijana halafu ukiangalia hao wazee/wababa katiba mbovu wameitunga wao, nchi wameifilisi wao, mifumo mibovu wameiweka waoSasa kama wazee walikosea miaka hiyo nyie vijana ambao sasa ni zaidi ya asilimia 70 si ndiyo mnatakiwa mkomae mwanzo mwisho ili kuleta mabadiliko ili muishi vizuri na vizazi vyenu?? Mkiwasusia wazee si ndiyo itazidi kula kwenu mazima?? Konde boy anawaandamanisha bure wakati yeye yuko kazini na anaingiza mkwanja??
Ongezea na pombe na wanawake...Hawa vijana wanofikiria kamari muda wote?
Mbona nyie Mange Kimambi alipowaambia mkinukishe kipindi cha jiwe mliufyata?Katiba kiujumla ni ya kipindi cha Nyerere pale ndio nyie vijana wa enzi izo mlitakiwa kukinukisha sio mnalaumu vijana wa leo wakati tatizo lishajikita kwenye mizizi.
Kuendekeza mpira kupindukia kuliko kujali your welfare ni ujinga mwingine... ambalo pia ni tatizo la vijana wa kizazi kipya..Mbona yanga day au simba day sioni threads kama hizi
Mbona sijawahi kuona watu wakiponda watu wanaokesha kuangalia ligi za mpira za ulaya
Au tu watu wakiponda bar kujaa weekdays
Kwa nini ikija sekta ya burudani huwa kuna stigma ilhali hata michezo hususani mpira inapoteza muda vile vile
By the way, pamoja na libya kuwa na rasilimali pamoja na uongozi thabiti wa Ghadafi lakini haikuikaribia marekani zaidi ya kuboresha maisha ya wanachi wake. Hapo bado China na teknolojia, productive population na strong government institutions lakini bado haijafikia. Ndio iwe Tz, umekuza vitu mkuu
Kwenye chaguzi hawa hawa ndiyo hutumwa kwenda kupora wenzao fomu au kuwawekea sababu ili wazee wapite bila kupingwa [emoji23] [emoji23]Serikali ni nani? Nani anayo ichagua?
Vijana acheni sababu za Kijinga wehu nyie!
Wema Sepetu huko Instagram anaongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi ya milioni kumi, ukijiuliza kikubwa au cha kujifunza kwa vijana hukioni...Usipoteze muda wala nguvu zako ktk kufuatilia maisha ya vijana wa Tz, unaweza kufa kwa presha ya moyo au msongo wa mawazo. Achana nao, akili zao wanazijua wao wenyewe.
Jaribu kufikiria, kampuni moja inatoa tangazo la kazi kwa vijana mtandaoni, tangaxo hilo Lina muda wa miezi mitatu, lakini tangazo hilo limetazamwa na viewers wapatao 35 tu kwa muda wote huo wa miezi mitatu, walati huo huo kuna habari ya udaku kwamba "Wema Sepetu Apata Bwana Mwingine Mpya", na habari hii imewekwa mtandaoni yapata masaa matatu yaliyopita, lakini ukiangalia idadi ya watazaji wa hanari unaona wapo viewers laki tatu ambao wamesoma hanari hiyo. Hii ni ajabu sana, hizi ndio akili walizonazo vijana wa Tz.
Wewe kwenu kama wazazi walizaliwa na kukulia kwenye umasikini ina maana na wewe ni lazima uwe masikini? Wewe huwezi kuvunja hiyo cycle ya umasikini kwenye familia yenu?Nyinyi vijana wa kipindi hicho mlifanya nini kwa nyakati zenu ambacho mnaweza jivunia leo