Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Vijana wangesimamia wapi wakati serikali ndiyo kila kitu?Hili taifa Vijana wangejitambua wakasimamia Rasilimali Tulizonazo ingewezekana kabisa mkuu!
Paypal vijana wamepiga kelele lkn yule bibi kaziba masikio. Vijana wafanyaje?
Nchi yoyote duniani imeendelea kwa uwepo wa ushirikiano mzuri kati ya serikali na vijana