Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

Nilikuwepo Airport nilishangaa sana.
 
Yaani wazee waibe mapesa ya Kodi za Wtz afu uje ututukane vijana?,; Escrow, Richmomd, Kagoda vyote hivyo ni wazee wameusika!!. Afu wewe ni mzee au kijana?, Kama ni kijana mabadiliko hayaanzi na watu 19000 anza wewe acha kutushambulia kipumbavu...!.
Mbona hujasema waliokuwa wanadeki mabarbara 2015 kipindi Cha Lowasa?, Mbona hujasema wanaojazana kwa mwamposa?, Kama atatokea mtu akaja na wazo la kwamaba ili Tz iendelee tunahitaji "kufuta kizazi chote Cha CCM aidha kwakuwakataka mapanga au kuwapiga mabomu ndio nitamheshimu nakumuona shujaa!. Haya mengine ni upuuzi tu na kuwachukia watu, yaani mtu asimshangilie mtu anayempenda?, Futa kizazi dhalim Cha CCM uone Kama Tz itakuwa na shida na njaa za kipuuzi!. Naichukia CCM na watu wake....
 
Tumeshazoea kejeli zenu.
Yani mabandiko yao, nasema mabandiko yao kwa sababu ni kundi kubwa tu, lenye makasiriko lenye kudai wao ndio wenye kuleta Salvation, atiii wao ndio wajuaji. Konyo kabisa haya madudu. Huwa hawanishangazi vile bali ni jinsi wanavyopenyeza mabandiko yao yaliyojaa matusi kwa Mtanzania, Mwafrika na mtu yeyote yule mweusi, halafu Uongozi wa JF na Moderatore wanaachia tu kana ni poa!

No, hakuna cha kuzoea haya matusi. Its a No No

Hebu fikiri kwanza, ati kwasababu kijana anakimbiza gari lililombeba msanii ikitokea Airport hadi Kawe, km 22 basi vijana wote Watanzania hawana akili! Yaani hakutumia akili?...

.... Kweli ? mtu aende airport, akimbie km 22 na anamjua anayemkimbiza, iwe ni gari au mtu, halafu useme hana akili?
 
Tupitie habari kidogo aisee, siunajua marekani kwasasa ni nchi ya ulimwengu wa tatu au bado tunakariri yazamani. Nchi imeporomoka vibaya sana na inamadeni vibaya mno.
 
Sasa kama wazee walikosea miaka hiyo nyie vijana ambao sasa ni zaidi ya asilimia 70 si ndiyo mnatakiwa mkomae mwanzo mwisho ili kuleta mabadiliko ili muishi vizuri na vizazi vyenu?? Mkiwasusia wazee si ndiyo itazidi kula kwenu mazima?? Konde boy anawaandamanisha bure wakati yeye yuko kazini na anaingiza mkwanja??
 
Jamaa wanaboa, kutwa vijana vijana vijana utafikiri wao enzi zao za ujana waliacha legacy ya maana.
Hivi nyie vijana wa leo mngeweza kweli kupigania uhuru na kumtoa mkoloni kweli? Hebu tuwe wakweli mngeweza nyie?? [emoji12]
 
Ndo watulie sasa tutakinukisha wakati ukifika sio kila siku vijana vijana vijana halafu ukiangalia hao wazee/wababa katiba mbovu wameitunga wao, nchi wameifilisi wao, mifumo mibovu wameiweka wao
 
Kuendekeza mpira kupindukia kuliko kujali your welfare ni ujinga mwingine... ambalo pia ni tatizo la vijana wa kizazi kipya..
 
Wema Sepetu huko Instagram anaongoza kwa kuwa na followers wengi zaidi ya milioni kumi, ukijiuliza kikubwa au cha kujifunza kwa vijana hukioni...
 
Nyinyi vijana wa kipindi hicho mlifanya nini kwa nyakati zenu ambacho mnaweza jivunia leo
Wewe kwenu kama wazazi walizaliwa na kukulia kwenye umasikini ina maana na wewe ni lazima uwe masikini? Wewe huwezi kuvunja hiyo cycle ya umasikini kwenye familia yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…