Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

Nitajaribu kesho, maana kulala zaidi ya masaa mawili labda niwe nimepiga vyombo
 
ni muhimu sana kua na mwenza wa kukufariji karibu, na hata akiwa mbali basi neno lake moja tu atakalokupa litakupa amani na uhakika wa usingizi ikiwa mtaweka agano la kweli na la uaminifu baina yenu 🐒
Nitafanyia kazi hilo mkuu
 
kutokana na nature yangu huwa nakoss usingizi sana, so daktari aka nambia uki meza Cetirizene 2 Ina upa mwili uchovu wa ghafla.

ila Kama we ni mkosa usingizi pro max, basi piga hizo tramadol 1 & cetirizene 2 nusu saa kabla ya kulala.
iko vizuri mno.
Kuna kipindi nilipata mafua makali nikawa namza cetirizene 2 lakini sikuwa napata hali ya usingizi
 
Yaani wewe haupo hata kwenye list yangu ya watu 1000, walio wabovu kichwani.
gentleman,
sina haja ya kua kwenye listi ya mdau yeyote wa JF kwa jambo lolote lile,

nikitoa mawaidha yangu jukwaani huna haja ya kubabaika ikiwa hayakupendezi.

Infact,
chuki binafsi ni miongoni mwa vichocheo vya kumkosesha mtu usingizi. Kuna ile hali ya kujikuta, yaani for just nothing unajikuta una mihemko na makasiriko tu juu ya mtu fulani na huna sababu hata moja ya msingi ya kumchukia au kumkasirikia 🤣
 
gentleman whacker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…