cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Na ndio alipokosea hapo tyuuuh, hadi leo nchi ipo gizaniDuniani kuna mengi,kwamba nyerere alipambana na beberu mweupe akasahau kuna beberu mweusi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio alipokosea hapo tyuuuh, hadi leo nchi ipo gizaniDuniani kuna mengi,kwamba nyerere alipambana na beberu mweupe akasahau kuna beberu mweusi?
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo Kikuu cha Columbia
Aliwahi kuwa Afisa Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, alikuwa Balozi (Canada) 1982 na baadaye nchini Marekani 1983 - 1984
Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, 1977 - 1980 na 1984 hadi 1990
Alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 1995 - 2005
Alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kutatua Mgogoro wa Uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 - 2008
Aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa nchi ya Burundi mwaka 2016 - 2019
SHAHADA ZA HESHIMA ALIZOWAHI KUTUNUKIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA:
Mwaka 1998 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Sōka University (Japan)
Mnamo mwaka 1999 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Morehouse College (Marekani)
Mwaka 2003 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mwaka wa 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha National University of Lesotho (Lesotho)
Mwaka 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Elimu na Chuo Kikuu cha Kenyatta (Kenya)
Mwaka 2006 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Dar es Slaam (Tanzania)
Mwaka 2007 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria (Civil Law) na Chuo Kikuu cha Newcastle (England)
Mwaka 2008 alitunukiwa Shahada ya Juu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Cape Coast (Ghana)
Mwaka 2009 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda)
MITAA, MAENEO NA MAJENGO YALIYOPEWA JINA KWA HESHIMA YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Ukumbi wa Benjamini Mkapa uliopo Jijini Mbeya katika Mtaa wa Sokomatola
Barabara ya Benjamini Mkapa inayounganisha eneo la Mtoni Kidatu na Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume kupitia Daraja Bivu Zanzibar
Daraja la Mkapa ambalo ndilo daraja refu nchini (Tanzania) lenye urefu wa Mita 970
Jengo la Benjamin William Mkapa Pension Tower, ambalo ni miongoni mwa majengo marefu nchini (Tanzania) lipo Jijini Dar es Salaam
Eneo la Ukanda Maalum wa Uchumi wa Benjamin William Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam
Shule ya Sekondari ya Mererani Benjamin William Mkapa Secondary iliyopo Mkoani Manyara
Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam
Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa iliyopo Jijini Dodoma
Shule ya Msingi ya Benjamin Mkapa iliyopo Mtaa wa Makunguru Jijini Mbeya
Pumzika kwa amani Mzee Benjamini William Mkapa
PIA SOMA:
= > Breaking News: - TANZIA: Rais wa awamu ya 3, Benjamin William Mkapa afariki dunia
Ulikuwepo?Aende zake kuleeh akakutane na aliowaua 2001 pale Zanzibar, na imani watazungumza vizuriih kuhusu hilo.
Nilikuwepo ndiyoooohUlikuwepo?
Wakati ngangari wanapambana na ngunguri ukute ndio yai lako lilikuwa linatungwa[emoji125][emoji1732]Nilikuwepo ndiyooooh
Msieeeeew mie wakati nilkuwa mtu mzma kabisaaaaahWakati ngangari wanapambana na ngunguri ukute ndio yai lako lilikuwa linatungwa[emoji125][emoji1732]
Apumzike kwa amani. Umetaja wilaya, mbona wengi pia hawataji kijiji alikozaliwa? Kwenye kitabu chake ameandika tukio la bibi yake kuuwawa na wanakijiji kwa tuhuma za ulozi wa mvua. Kwa nini familia hiyo tu ililengwa?
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo Kikuu cha Columbia
Aliwahi kuwa Afisa Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, alikuwa Balozi (Canada) 1982 na baadaye nchini Marekani 1983 - 1984
Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, 1977 - 1980 na 1984 hadi 1990
Alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 1995 - 2005
Alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kutatua Mgogoro wa Uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 - 2008
Aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa nchi ya Burundi mwaka 2016 - 2019
SHAHADA ZA HESHIMA ALIZOWAHI KUTUNUKIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA:
Mwaka 1998 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Sōka University (Japan)
Mnamo mwaka 1999 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Morehouse College (Marekani)
Mwaka 2003 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mwaka wa 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha National University of Lesotho (Lesotho)
Mwaka 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Elimu na Chuo Kikuu cha Kenyatta (Kenya)
Mwaka 2006 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Dar es Slaam (Tanzania)
Mwaka 2007 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria (Civil Law) na Chuo Kikuu cha Newcastle (England)
Mwaka 2008 alitunukiwa Shahada ya Juu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Cape Coast (Ghana)
Mwaka 2009 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda)
MITAA, MAENEO NA MAJENGO YALIYOPEWA JINA KWA HESHIMA YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Ukumbi wa Benjamini Mkapa uliopo Jijini Mbeya katika Mtaa wa Sokomatola
Barabara ya Benjamini Mkapa inayounganisha eneo la Mtoni Kidatu na Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume kupitia Daraja Bivu Zanzibar
Daraja la Mkapa ambalo ndilo daraja refu nchini (Tanzania) lenye urefu wa Mita 970
Jengo la Benjamin William Mkapa Pension Tower, ambalo ni miongoni mwa majengo marefu nchini (Tanzania) lipo Jijini Dar es Salaam
Eneo la Ukanda Maalum wa Uchumi wa Benjamin William Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam
Shule ya Sekondari ya Mererani Benjamin William Mkapa Secondary iliyopo Mkoani Manyara
Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam
Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa iliyopo Jijini Dodoma
Shule ya Msingi ya Benjamin Mkapa iliyopo Mtaa wa Makunguru Jijini Mbeya
Pumzika kwa amani Mzee Benjamini William Mkapa
PIA SOMA:
= > Breaking News: - TANZIA: Rais wa awamu ya 3, Benjamin William Mkapa afariki dunia
Dr. Antony DialloDah pamoja na shahada zote hizo za heshima hakuwahi kujiita Dr Kuna jambo la kujifunza hapa...
R.I.P
This is too cheap bro! Think harder, Hospital ya St. Fransis London ni hospitali yenye hadhi na jina kubwa, haiwezi kudanganya kuhusiana na sababu za kifo cha Baba wa Taifa, kama unazo tofauti zako na Mh. Ben uzitaje tuzifahamu kuliko kuzusha mambo yasiyo na msingi!
Ben ni moja wa maraisi bora kabisa kupata kutokea hapa Afrika
Hata mitume kuna watu waliwatukana na wengine kuwa kuwauwa kabisa, hata uwe na maneno gani kwa Ben, bado yeye at atabakikuwa Raisi bora na mwenye uweredi wa hali ya juu sana!Rais bora kwa kutuulia ndugu zetu, kunajisi, kuiba , kuwapeleka ndugu zetu uhamishoni . Hatukuwa na Mamlaka ya kumshitaki . Mungu atatuhukumia kwa vitendo alivyotufanyia LAANATULLAHI MKAPA
Hiki kilikuwa kichwa,sio ma DR wetu wa sasa,ambao richa ya kupata hizo PHD zao,ambazo wamezisoma kwa kizungu,lakini hiyo lugha inawapiga chenga balaa,kiasi kwamba comand yao ya lugha utafikiri mtoto wa kidato cha tatu,Dah pamoja na shahada zote hizo za heshima hakuwahi kujiita Dr Kuna jambo la kujifunza hapa...
R.I.P
mbona kuhusu familia amsemi?mf alioa lini na watoto,wajukuu n.k
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo Kikuu cha Columbia
Aliwahi kuwa Afisa Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Waziri wa Sayansi na Teknolojia, alikuwa Balozi (Canada) 1982 na baadaye nchini Marekani 1983 - 1984
Aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, 1977 - 1980 na 1984 hadi 1990
Alichaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia 1995 - 2005
Alikuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki kutatua Mgogoro wa Uchaguzi nchini Kenya mwaka 2007 - 2008
Aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa nchi ya Burundi mwaka 2016 - 2019
SHAHADA ZA HESHIMA ALIZOWAHI KUTUNUKIWA BENJAMIN WILLIAM MKAPA:
Mwaka 1998 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Sōka University (Japan)
Mnamo mwaka 1999 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Morehouse College (Marekani)
Mwaka 2003 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mwaka wa 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha National University of Lesotho (Lesotho)
Mwaka 2005 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Elimu na Chuo Kikuu cha Kenyatta (Kenya)
Mwaka 2006 alitunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha Dar es Slaam (Tanzania)
Mwaka 2007 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria (Civil Law) na Chuo Kikuu cha Newcastle (England)
Mwaka 2008 alitunukiwa Shahada ya Juu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Cape Coast (Ghana)
Mwaka 2009 alitunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Sheria na Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda)
MITAA, MAENEO NA MAJENGO YALIYOPEWA JINA KWA HESHIMA YA BENJAMIN WILLIAM MKAPA
Ukumbi wa Benjamini Mkapa uliopo Jijini Mbeya katika Mtaa wa Sokomatola
Barabara ya Benjamini Mkapa inayounganisha eneo la Mtoni Kidatu na Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume kupitia Daraja Bivu Zanzibar
Daraja la Mkapa ambalo ndilo daraja refu nchini (Tanzania) lenye urefu wa Mita 970
Jengo la Benjamin William Mkapa Pension Tower, ambalo ni miongoni mwa majengo marefu nchini (Tanzania) lipo Jijini Dar es Salaam
Eneo la Ukanda Maalum wa Uchumi wa Benjamin William Mkapa uliopo Jijini Dar es Salaam
Shule ya Sekondari ya Mererani Benjamin William Mkapa Secondary iliyopo Mkoani Manyara
Shule ya Sekondari ya Benjamin William Mkapa iliyopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam
Hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa iliyopo Jijini Dodoma
Shule ya Msingi ya Benjamin Mkapa iliyopo Mtaa wa Makunguru Jijini Mbeya
Pumzika kwa amani Mzee Benjamini William Mkapa
PIA SOMA:
= > Breaking News: - TANZIA: Rais wa awamu ya 3, Benjamin William Mkapa afariki dunia
Dr's alizipata aishakuwa Raisi.Uraisi ni kikomo.Uraisi hausomewi.Dah pamoja na shahada zote hizo za heshima hakuwahi kujiita Dr Kuna jambo la kujifunza hapa...
R.I.P
Hata mitume kuna watu waliwatukana na wengine kuwa kuwauwa kabisa, hata uwe na maneno gani kwa Ben, bado yeye at atabakikuwa Raisi bora na mwenye uweredi wa hali ya juu sana!
Nina uhakika yeye yuko juu kulinganisha na maraisi wengi waliowahi kutokea bara baraniAfrica!
Duniani kuna mengi,kwamba nyerere alipambana na beberu mweupe akasahau kuna beberu mweusi?