Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

Aende zake kuleeh akakutane na aliowaua 2001 pale Zanzibar, na imani watazungumza vizuriih kuhusu hilo.
 
 
Unajua unapotumia maneno "NI NANI HASA" tunategemea uje na info exclusive ambazo jamii haikuwa inazifahamu au zilikuwa zinafahamika na wachache Sana. Sasa wewe unatuletea taarifa ambazo hata mtoto mdogo anazijua. Disappointed.
 
Apumzike kwa amani. Umetaja wilaya, mbona wengi pia hawataji kijiji alikozaliwa? Kwenye kitabu chake ameandika tukio la bibi yake kuuwawa na wanakijiji kwa tuhuma za ulozi wa mvua. Kwa nini familia hiyo tu ililengwa?
 
Namjua kama mtu asie shindwa jambo, akitumwa tegemea ushindi tu kama unabisha muulize wenje atakwambia
 


Rais bora kwa kutuulia ndugu zetu, kunajisi, kuiba , kuwapeleka ndugu zetu uhamishoni . Hatukuwa na Mamlaka ya kumshitaki . Mungu atatuhukumia kwa vitendo alivyotufanyia LAANATULLAHI MKAPA
 
Rais bora kwa kutuulia ndugu zetu, kunajisi, kuiba , kuwapeleka ndugu zetu uhamishoni . Hatukuwa na Mamlaka ya kumshitaki . Mungu atatuhukumia kwa vitendo alivyotufanyia LAANATULLAHI MKAPA
Hata mitume kuna watu waliwatukana na wengine kuwa kuwauwa kabisa, hata uwe na maneno gani kwa Ben, bado yeye at atabakikuwa Raisi bora na mwenye uweredi wa hali ya juu sana!
Nina uhakika yeye yuko juu kulinganisha na maraisi wengi waliowahi kutokea bara baraniAfrica!
 
Dah pamoja na shahada zote hizo za heshima hakuwahi kujiita Dr Kuna jambo la kujifunza hapa...

R.I.P
Hiki kilikuwa kichwa,sio ma DR wetu wa sasa,ambao richa ya kupata hizo PHD zao,ambazo wamezisoma kwa kizungu,lakini hiyo lugha inawapiga chenga balaa,kiasi kwamba comand yao ya lugha utafikiri mtoto wa kidato cha tatu,
Ni wababe hapa ndani ya mipaka ya nchi,ambapo,hawapingwi,kila wanachoongea,wanapigiwa makofi,ukiwapereka kwenye mijadara mizito ya thinkers,mishuzi tu inawatoka,ni majogoo ya shamba,hayawiki mjini,
 
mbona kuhusu familia amsemi?mf alioa lini na watoto,wajukuu n.k
 
Dah pamoja na shahada zote hizo za heshima hakuwahi kujiita Dr Kuna jambo la kujifunza hapa...

R.I.P
Dr's alizipata aishakuwa Raisi.Uraisi ni kikomo.Uraisi hausomewi.
 
Mzee asiye na makuu, pumzika kwa amani, ni matumaini yangu utakuwa pamoja na mwalimu, mtuombee sisi tuliobaki duniani
 


Yaani unamlinganisha Laanatullahi Mkapa na mitume ?? Yaani unataka kutuambia kuwa mitume waliwapa vyeo maaskari waliokwenda kuuwa watu na kunajisi wanaume na wanawake na kuwafanya watu wakimbie nchi zao??

Ama kweli Apendae chongo huona kengeza

Haya endelea kumuona Laanatullahi Mkapa ni Mtume wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…