Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mauaji ya Mwembechai Rais alikua ALLY HASSAN MWINYINdiyo. Alikuwa kiongozi mzuri na kama binadamu wa kawaida pia alikuwa na mapungufu yake. Uuzaji wa kiholela wa mashirika ya umma, mauaji ya Mwembechai (alishalijutia hili) na tamaa yake ya kujilimbikizia mali mpaka ikabidi watu wapige makelele kwenye baadhi ya mambo (mf. Kujimilikisha mradi wa makaa wa Kiwira) kunaonyesha udhaifu wake. Ila aliiacha nchi ikiwa na neema kuliko alivyoikuta. Apumzike kwa amani kiongozi huyu mzalendo, msomi na mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza [emoji1545][emoji1545]
Kama aliwaita Watanzania malofa,hata yeye atakuwa lofa tu.
R.I.P
Kikwete ndio kaifikisha hii nchi katika hali mbaya sana, sababu ya kukosa mipango imara, kama kikwete angekua makini angerekebisha mapungufu ya awamu ya tatu leo magufuli angekua anadili na mipango mingine, sasa magufuli anarekebisha makosa ya awamu ya tatu na nne ( hapo ndio kuna tatizo kubwa mno) kikwete hakua kiongozi imara, alishindwa kuendelea pale alipoishia mkapa kwa kurekebisha mapungufu yake tungekua mbali,Acha kumfananisha Kikwete, put some respect kid!
Baada ya mkapa angfuata mtu kama magu tungekua mbali sana, hila yule mkwele siyo kabisa.
Mi siyumbushwi na siasa ndio maana nakupa na mifano. Tuambie wewe hayo mazuri ya kikwete , ya kufanya hasipuuziwe?Ni kawaida ya binadamu kupuuzia mazuri ya kitu cha zamani,
Jaribu kufikiria nje ya box mkuu, usiyumbishwe na siasa.
Si malofa tu, malofa na wapumbavu.Kama aliwaita Watanzania malofa,hata yeye atakuwa lofa tu.
R.I.P
Yeye lord lofaSi malofa tu, malofa na wapumbavu.
Mkapa alikuwa rais kuanzia mwaka 1995 - 2005. Mauaji ya Mwembechai yalitokea mwaka 1998 wakati Mkapa akiwa rais. Kwa nini unasema kuwa rais alikuwa Mwinyi wakati mwinyi alitawala kuanzia 1985 - 1995; na mauaji ya Mwembechai yalitokea akiwa na miaka mitatu tangu aondoke madarakani?Mauaji ya Mwembechai Rais alikua ALLY HASSAN MWINYI
Kipi kipya amekuja nacho Magufuri hakikuanza na Kikwete? Rais gani kajenga miundombinu mingi ya brbr? Ni kipindi gani uhuru wa kujieleza uliimarika zaidi? Ni kipindi gani zimejengwa shule na vyuo vikuu vingi zaidi,Kikwete ndio kaifikisha hii nchi katika hali mbaya sana, sababu ya kukosa mipango imara, kama kikwete angekua makini angerekebisha mapungufu ya awamu ya tatu leo magufuli angekua anadili na mipango mingine, sasa magufuli anarekebisha makosa ya awamu ya tatu na nne ( hapo ndio kuna tatizo kubwa mno) kikwete hakua kiongozi imara, alishindwa kuendelea pale alipoishia mkapa kwa kurekebisha mapungufu yake tungekua mbali,
Mfano kurekebisha mikataba n.k
Aisee kweli wengine vichwa vyenu ni mizigo ya shingoMauaji ya Mwembechai Rais alikua ALLY HASSAN MWINYI
Mkapa alikuwa rais kuanzia mwaka 1995 - 2005. Mauaji ya Mwembechai yalitokea mwaka 1998 wakati Mkapa akiwa rais. Kwa nini unasema kuwa rais alikuwa Mwinyi wakati mwinyi alitawala kuanzia 1985 - 1995; na mauaji ya Mwembechai yalitokea akiwa na miaka mitatu tangu aondoke madarakani?
Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?
TRA, TCRA, TAKUKURU, NHF, shirika la mikopo elimu ya juu, NSSF, TASAF, MKURABITA, TPA, EWURA, TAA, TTB(bodi ya utalii), n.k
Hivi ni kichwa hiki hiki kimoja cha uyu mzee kilifanya haya yote. Nimetafakari sana nikagundua huyu jamaa ndio mtu alie itengeneza structure ya nchi, huyu mzee anastahili heshima kubwa mno. Mimi naweza kumuita baba watafa baada ya Nyerere.
Pumzika kwa amani
Benjamin William MkapaView attachment 1519015