Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

Thanks that is jf we want your truly great thinker
 
Mungu ailaze pema peponi roho ya mzee Mkapa.

Alikuwa hana ubaguzi wa kidini, kisiasa wala kikabila aliwahudumia wananchi wote kwa usawa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mzee Mkapa ametufikisha hapa tulipo ameweza kuanzisha tasaf,elimu ya masafa open University,kuongeza shule hakika ndani yangu utabaki.
 
29 Julai 2020
Dar-es-Salaam, Tanzania




Hellen Kijo Bisimba, Akilimani Gemma, Johnson Minja, Jenrali Ulimwengu

Source: Jenerali online
 
Huyu mzee alifanya mambo makubwa sana lakini hakupenda sifa za kijinga hata kidogo, kama binadamu naye alikuwa na mapungufu yake.
 
Hello wana if, hebu tufahamishane kidogo kuhusu familia ya Mh. Mkapa (R.I.P). Alikuwa na watoto wangapi ?.

Na uhusiano wa mke wa Mh. Mkapa na Mramba ukoje?
 
Nikiongea mimi Kingereza kizuri kuliko mtukufu utasikia, oooh English is just another language! Ubeberu!

Mkapa baada ya kufariki imekuwa ni sifa ya ziada eti oooh alimzidi hadi Nyerere kwa English!!

Pathetic!
 
And I am proud to be his child in that context lakini nataka kujua zaidi sina nia mbaya
Tambua tumeshafika uchumi wa kati sasa ukianza kupoteza muda kujua maisha ya mtu mwingine baada ya kuutumia muda huu kujiingizia kipato na kuendeleza Taifa unakosea sana.
 
Naomba mwenye picha ya Mkapa RIP ile naiona Instagram amevaa shati la blue ya kukolea sana, halafu ipo kama ya kuchora nahisi.

Mwenye anaweza kuiweka hapa ili niidanilodi nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…