Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

Safi sana huyu tutamkumbuka vema sijui magufuli tutamkumbuka kwa kupeleka jengo la pesa ndefu la TRA na uwanja wa chato ??
 
Aisee jama inaonekani ni fundi mzuri sana
 

Wewe huijuwi mzizima hakuna sehemu iliokuwa ikiitwa muhimbili wakati huwo acha kupotosha nawala huijui sewahaji hospt wala hao wakoloni hawakumpa huyo bwana sewahaji heshima bali hapo ilipo ward ya sewahaji ndio kulipokuwepo jengo la kwanza kabisa la hospitali alio jenga sewa haji
 
Kwanini hawakurudisha jina la Sewa Haji Baada ya kulitumia jina la princess magreth na wakaipa hospital hiyo MUHIMBILI???
 

Basi tuseme uko sawa. Miaka hiyo ya 1800 mji wa Mzizima ulikuwa unaishia kitumbini. Sultani na watu wake wa karibu walijenga kuanzia forodhani mpaka hapo stesheni nanmakaburi yalikuwa pale NSSF waterfront. Sijui mzizima unayoiongelea weye ni ipi.
 
princess magreth hosp sio ilokuwa sewa haji hosp,sewa haji ilikuwa kule makuti na iliezekwa kwa makuti,lengo kuwasaidia wafanyakazi wake na waswahili wengine maana alikuwa na wafanyakazi lukuki.
 
Hawa ndobwa kupewa mitaa sasa sio wale kina wanyama ambao ukawa wanakomaa nao
 
Hivi watanzania wangekuwa na moyo kwa huyu tungekuwa wapi?
Unakuta mtu anajilimbikizia hadi magari 20 na nyumba 50, siku akifa
kila kitu kinaishia kinasahaulika;

Asante Mungu kwa ajili ya wale mashujaa wa Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…