Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,811
- 2,916
Safi sana huyu tutamkumbuka vema sijui magufuli tutamkumbuka kwa kupeleka jengo la pesa ndefu la TRA na uwanja wa chato ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mpuuzi aliuza watumwa wangapi
Muhimbili ni eneo hospitali ilipo sasa hivi ambapo majengo mengi yalijengwa kwa hisani ya dada wa Malkia Lizabeti aitwaye Magareti. Awali Sewa Hajj ambaye ni muajemi alijenga hospitali hapo opposite na station ya treni kabla haijahamishiwa eneo la Muhimbili. Hata wodi ya Sewa Hajj ya sasa ni jengo lililojengwa na mkoloni na likapewa heshima ya huyu bwana.
Huyo mpuuzi aliuza watumwa wangapi
DaaahHata kama aliuza watumwa leo siunapeleka tumbo lako la uzazi pale?
DaahHata kama aliuza watumwa leo siunapeleka tumbo lako la uzazi pale?
Lancanshire,Sheikh Mohamed Said tupe mawili matatu hapa kama unayo.
Wewe huijuwi mzizima hakuna sehemu iliokuwa ikiitwa muhimbili wakati huwo acha kupotosha nawala huijui sewahaji hospt wala hao wakoloni hawakumpa huyo bwana sewahaji heshima bali hapo ilipo ward ya sewahaji ndio kulipokuwepo jengo la kwanza kabisa la hospitali alio jenga sewa haji
princess magreth hosp sio ilokuwa sewa haji hosp,sewa haji ilikuwa kule makuti na iliezekwa kwa makuti,lengo kuwasaidia wafanyakazi wake na waswahili wengine maana alikuwa na wafanyakazi lukuki.View attachment 533360
Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Ktk Miji Ya Bhuj Na Kutch Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo Na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana, Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza, Alijengaja Mashule Na Hospitali Kadhaa,
Ktk Mji Wa Mzizima
{ Leo Inaitwa Dar es Salaam}. Alijenga Hospitali Akaiita Sewahaji
Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo
February 1897 Sheikhe Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni Na Simanzi
Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sheikhe Sewa Haji
Aliependwa Sana, Baada Ya Kufa Kwake
Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo Za Wodi Inaitwa SEWA HAJI,
Sheikhe Sewa Haji Alale Mahali Pema
credit @issamichuzi
Hawa ndobwa kupewa mitaa sasa sio wale kina wanyama ambao ukawa wanakomaa naoView attachment 533360
Anaitwa Sewa Haji Paroo Alifika Zanzibar Akitokea Ktk Miji Ya Bhuj Na Kutch Na Mnamo Mwaka 1852 Alifungua Duka La Bidhaa Mbalimbali Huko Zanzibar, Mnamo 1860 Akafungua Duka Lingine Kubwa Bagamoyo Na Kuweka Makazi Yake, Biashara Zake Zikawa Kubwa Na Kuwa Tajiri Mkubwa Sana, Alisaidia Watu Wote Bila Kujali Rangi, Dini Wala Kabila Zao, Alinunua Majengo Mengi Na Kuyafanya Maeneo Ya Watu Wasiojiweza, Alijengaja Mashule Na Hospitali Kadhaa,
Ktk Mji Wa Mzizima
{ Leo Inaitwa Dar es Salaam}. Alijenga Hospitali Akaiita Sewahaji
Hospitali Ikitoa Huduma Bure, Mnamo
February 1897 Sheikhe Sewa Haji Paroo Alifariki Dunia, Ilikuwa Ni Huzuni Na Simanzi
Kwa Wakazi Wa Bagamoyo Na Mzizima Kwa Kuondokewa Na Sheikhe Sewa Haji
Aliependwa Sana, Baada Ya Kufa Kwake
Wakoloni Baadaye Wakabadilisha Jina Kutoka Sewahaji Hospital Na Kuiita Princess Magreth Hospital, Na Mnamo 1963 Iliitwa Muhimbili Hospital, Na Mojawapo Za Wodi Inaitwa SEWA HAJI,
Sheikhe Sewa Haji Alale Mahali Pema
credit @issamichuzi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata kama aliuza watumwa leo siunapeleka tumbo lako la uzazi pale?
Mambo ya vijakazi na watumwa vimeongelewa kwenye vitabu vitakatifu vyote vya dini kuu mbili nchini.Huwezi kuwa mfalme au malkia ukajihudumia mwenyeweHata kama aliuza watumwa leo siunapeleka tumbo lako la uzazi pale?