Katika kumlenga yeyote utawakosa wanaopenda historia ya kweli maana yako imejaa upuuzi...hiki unachokiandika wewe sio historia ya nchi bali ni ya waislamu.Clever...
Nani kakuambia kuwa mimi nataka kusomwa na vijana?
Mimi nimeandika kitabu wala sikumlenga yeyote.
Unasema niandike historia.
Kwani hapa wewe unasoma kitu gani?
Alistahili kufukuzwa huyo Sheikh Takadir kwasababu hoja yake ilikuwa ya kipumbavu mno. Bora umekielezea hicho kisa ili kizazi cha sasa kijue hata enzi za mwalimu kulishatokea watu wapumbavu kama Sheikh Takadir.Nelson,
Unazungumzia kitu usichokifahamu.
Hakuna wazee katika TANU waliofukuzwa kwa ukabila na udini.
Ila kuna kisa cha Sheikh Suleiman Takadir aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU.
Sheikh Takadir alifukuzwa TANU kwa kuhoji hali ya baadae ya Waislam katika Tanganyika huru.
Hii ni moja ya historia nyeti sana ya TANU.
Nimekieleza kisa hiki kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.
Clever...Katika kumlenga yeyote utawakosa wanaopenda historia ya kweli maana yako imejaa upuuzi...hiki unachokiandika wewe sio historia ya nchi bali ni ya waislamu.
Mama...Alistahili kufukuzwa huyo Sheikh Takadir kwasababu hoja yake ilikuwa ya kipumbavu mno. Bora umekielezea hicho kisa ili kizazi cha sasa kijue hata enzi za mwalimu kulishatokea watu wapumbavu kama Sheikh Takadir.
Ina maana tujuwe tulipo TokaHio historia ya tanu inatusaidia nini sisi kizazi cha sasa
Dr.
Ukiweza kuandika bila kuleta udini na chuki kwa Nyerere hutaona lugha kali zikitumika.Mama...
Itapendeza endapo utajizuia na lugha kali.
Mama...Ukiweza kuandika bila kuleta udini na chuki kwa Nyerere hutaona lugha kali zikitumika.
Katika kumlenga yeyote utawakosa wanaopenda historia ya kweli maana yako imejaa upuuzi...hiki unachokiandika wewe sio historia ya nchi bali ni ya waislamu.
HOFU HII INAYOPELEKEA KUFUTA HISTORIA YA KWELI NINI SABABU YAKE?Katika kumlenga yeyote utawakosa wanaopenda historia ya kweli maana yako imejaa upuuzi...hiki unachokiandika wewe sio historia ya nchi bali ni ya waislamu.
Labda KWA wanaosoma historia
Wewe ndiyo una uhakika kuzidi J K Nyerere? Kawadanganye wapumbavu wenzio unaowaaandikia vitabu vya kidiniDr.
Sina chuki na mtu yeyote.
Historia ya TANU hii ni historia ya wazee wangu kwa hiyo naijua vizuri.
Ninapoona imekosewa ni wajibu wangu kusahihisha.
Hebu sikiliza hotuba hii ya Diamond Jubilee Hall 1985 na soma chini yake uone inavyopishana niliyoeleza mimi kama nilivyosoma katika Nyaraka za Sykes:
Katika hotuba hii Mwalimu anasema ‘’anadhani’’ Abdul Sykes alikuwa Secretary wa TAA.
(Katika hotuba iliyoko katika maandishi neno, ''nadhani,'' limeondolewa lakini ukisikiliza audio utalisikia amelitamka).
Mwalimu hana hakika na hili.
Kuanzia mwaka wa 1953 alipokuwa President wa TAA hadi mwaka wa 1985 Mwalimu bado hajui Abdul Sykes alikuwa na nafasi gani katika TAA.
Anasema mambo yalikuwa ‘’yamesinzia.’’
Ukweli ni kuwa TAA kuanzia mwaka wa 1950 uongozi ulipochukuiwa na Dr. Vedasto Kyaruzi kama President na Abdul Sykes Secretary TAA ilifanya mengi kuanzia kuunda TAA Political Subcommittee na kumleta Earle Seaton kama mshauri wa TAA katika masula ya sheria katika mambo ya Mandate Territories, yaani Nchi Chini ya Udhamini kama ilivyopitishwa na UNO.
TAA ilifanya mazungumzo ya siri na Jomo Kenyatta, Nairobi pia mazungumzo na Chief David Kidaha Makwaia kumwingiza TAA achaguliwe President kwa nia ya kuunda TANU mbali na kumwajiri Alexander Tobia kama kama mtumishi wa TAA.
Yapo mengi sana.
Mwalimu anasema kwa muda mfupi kufika April TAA ‘’ikafufuka.’’
Lakini April 1953 ndiyo Mwalimu anaingia madarakani kama President wa TAA Abdul Sykes akiwa Vice President baada ya uchaguzi wa Arnautoglo.
Ikiwa Mwalimu kaifufua TAA ndiyo kusema kaifufua TAA mwezi ule alipochaguliwa kuwa President.
Ukweli ni kuwa yeye alipochukua uongozi wa TAA April 1953 chama kilisinzia.
Mwalimu anaeleza mkutano wa Arnautoglo ambao alichaguliwa kuwa President, ‘’wao,’’ lakini hasemi nafasi hiyo aligombea na nani.
Mwalimu anasema ‘’akaandika,’’ katiba mpya.
Hapakuwa na ‘’uandikaji’’ wa katiba mpya.
Kilichofanyika ni kuwa ilinakiliwa katiba ya Convention People's Party (CPP) ya Kwame Nkrumah wa Ghana na sehemu ya CPP waliweka TANU.
Mwalimu anazungumza mkutano wa Songea na Mbeya mwaka wa 1955.
Safari ya kwanza ya Mwalimu ilikuwa Morogoro akiongozana na Zuberi Mtemvu na walifanya mkutano wa ndani ambao haukuwa na mafanikio.
Hii ilikuwa August, 1955.
Baada ya Morogoro Mwalimu, Ali Mwinyi Tambwe na Rajab Diwani walikwenda Lindi.
Yapo mengi sana.
Mwalimu kaichukua TAA ikiwa ina mipango madhubuti na fedha za kutosha.
Picha: Abdul na Ally Sykes Burma Infantry/Waasisi wa TANU/Baraza la Wazee wa TANU.

Mkuu @mjamaaf asante kwa kuja, huyu Mzee Mohamed Said anapotosha sana. Kila akidanganya tutakuwa tunakuitaKobazi.
Unasema mwalimu aliposhika hatamu ya TAA basi mambo yalisinzia?. Kivipi mambo yasinzie wakati ndio mambo yakakucha mpaka kukaundwa Tanu na uhuru ukapatikana na kama mambo yalisinzia uhuru ungepatikanaje?. inamaana wewe ni bola kuliko mwalimu mwenyewe kwene historia aliyokua mstari wa mbele mda huo wewe ukiwa kinda kabisa. Mambo yalisinzia wakati wa kina abdul lakini ujio wa baba ww Taifa ndio mambo yalikucha!. Huwa napata shaka why akina abdul, dossa, max, akina takadir wasiwe wao bali awe mwalimu?. Shule.
Unasema mwalimu alikikuta Chama kikiwa na fedha za kutosha, ni wapi mwalimu alisema chama hakikuwa na fedha za kutosha.
Mipango madhubuti ipi?. Why kwene hio mipango wasingefanikisha wao!. Elimu na uwezo hawakuwa nao na ndio maana walimuhitaji mwalimu kutoa a clear visio na roadmaps jinsi gani watachukua hatima ya nchi. Mipango mfu ya kina takadir isingeweza bali mwalimu pekee alifanikisha.
Mwalimu aligombea na bwana abdul na akashinda wapiga kura wakiwa ni hao hao babu zako, wakambwaga mtoto wa sykes then wakampa hatamu mtoto wa kizanaki. Leo hii unaleta maneno eti hakusema aligombea na nani.
Uandishi wa katiba mpya? Ndio iliandikwa kwa kuboreshwa kwa iliyokuwa katiba ya CPP ya kina kwame Nkrumah, wewe unazani bwana abdul au kina dossa wangeiandika hio katika. Huenda ni mwalimu ndio alie ileta hio katiba au wazo hilo.
Eti morogoro hapakuwa na mafanikio kivipi? Si kila sehemu ina uhungwaji mkono ulio sawa mzee, huenda pia wazee wengine bado hawakuwa na mwamko lakini kwa mbinu za Nyerere mambo yalisimama na uhuru ukapatikana. Nyerere alikua kidume kweli kweli. Bwana dossa alifilisika baada ya jumuiya kuvunjwa na kuundwa Bakwata hivyo patroni aghakan akakata msaada baada ya hapo wengi wao wakafilisika.
Historia ya wazee wa kariakoo kamwe haiwezi kuwa historia ya nchi mzee hilo lijue lakini pia historia hizi zina mkanganyiko sana si waandishi tu bali mpaka wapigania uhuru wenyewe kwa wenyewe. Watu wanapanga mipango ya kuikomboa nchi gafla anaibuka mpuuzi mmoja anaanza kuulizia future ya waislam?. Akina takadir walikua watu wa hovyo sana.
Kuna siku unasema nyerere alimwita dossa akampa medali peke yake! Uongo mtupu. Mbona ile picha ya dossa kinaonekana kichogo tu cha mtu, tunaamini vipi kuwa yule ni the banker dossa. Picha yenyewe haijaonesha hata watu wa pembeni!. Hii inatosha kusema mzee mengine unapotosha. Eti mchango wa waislam?
We mzee ni MPUMBAVU SANA. Unastahili kuwa gerezani kwa hizi akili zako mbovu za kutala Tanzania iwe nchi ya kiislamu. Hii nchi haina udini nakushangaa unavyosukuma agenda zako za kihayawani.Mama...
Mimi sidhuriki na lugha kali wala kutukanwa.
Majibu ya udini ni haya haya ninayoandika siku zote nikisema kuwa kueleza mchango wa Wakikuyu na Mau Mau katika historia ya uhuru wa Kenya si ukabila.
Msome Bildad Kaggia: "Roots of Freedom."
Hivyo hivyo ndivyo ilivyo kwa Waislam katika uhuru wa Tanganyika.
Nitaendelea kueleza historia ya uhuru wa Tanganyika kwa ushahidi na wewe endelea na kuhamaki na kutoa lugha kali kuwa mimi "mjinga," "mpumbavu" na kadhalika.
Naamini kabisa unajua kuwa mtu mjinga hawezi kuwa mwandishi wa vitabu kadhaa na makala zaidi ya 10,000.
Sina chuki na mtu yoyote.
Mabingwa wa historia ya Afrika katika kukieleza kitabu changu hawakupata popote kuzungumza chuki au udini katika book reviews zao.
Zaidi wamenialika kuzungumza kwenye vyuo vyao Marekani na Ulaya.
View attachment 2581771
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin
ZMO ni katika taasisi kubwa za utafiti wa historia ulimwenguni na nilialikwa hapo kwa kufanya mhadhara na kuandika paper yoyote niitakayo katika historia ya Afrika.
Paper niliyoandika ni hiyo hapo chini:
TANZANIA: A NATION WITHOUT HEROES
http://www.awaazmagazine.com/index.php/latest-issue/special-features/item/558-tanzania-a-country-without-heroes Awaaz Magazine, Volum...mohamedsaidsalum.blogspot.com
Hili si suala la udini kwa upande wangu.
Kama kuna udini basi ni kwa wale waliofuta historia ya Waislam katika harakati za kudai uhuru wakapachika historia yao.
Hili hulioni.
Safi sana.Kobazi.
Unasema mwalimu aliposhika hatamu ya TAA basi mambo yalisinzia?. Kivipi mambo yasinzie wakati ndio mambo yakakucha mpaka kukaundwa Tanu na uhuru ukapatikana na kama mambo yalisinzia uhuru ungepatikanaje?. inamaana wewe ni bola kuliko mwalimu mwenyewe kwene historia aliyokua mstari wa mbele mda huo wewe ukiwa kinda kabisa. Mambo yalisinzia wakati wa kina abdul lakini ujio wa baba ww Taifa ndio mambo yalikucha!. Huwa napata shaka why akina abdul, dossa, max, akina takadir wasiwe wao bali awe mwalimu?. Shule.
Unasema mwalimu alikikuta Chama kikiwa na fedha za kutosha, ni wapi mwalimu alisema chama hakikuwa na fedha za kutosha.
Mipango madhubuti ipi?. Why kwene hio mipango wasingefanikisha wao!. Elimu na uwezo hawakuwa nao na ndio maana walimuhitaji mwalimu kutoa a clear visio na roadmaps jinsi gani watachukua hatima ya nchi. Mipango mfu ya kina takadir isingeweza bali mwalimu pekee alifanikisha.
Mwalimu aligombea na bwana abdul na akashinda wapiga kura wakiwa ni hao hao babu zako, wakambwaga mtoto wa sykes then wakampa hatamu mtoto wa kizanaki. Leo hii unaleta maneno eti hakusema aligombea na nani.
Uandishi wa katiba mpya? Ndio iliandikwa kwa kuboreshwa kwa iliyokuwa katiba ya CPP ya kina kwame Nkrumah, wewe unazani bwana abdul au kina dossa wangeiandika hio katika. Huenda ni mwalimu ndio alie ileta hio katiba au wazo hilo.
Eti morogoro hapakuwa na mafanikio kivipi? Si kila sehemu ina uhungwaji mkono ulio sawa mzee, huenda pia wazee wengine bado hawakuwa na mwamko lakini kwa mbinu za Nyerere mambo yalisimama na uhuru ukapatikana. Nyerere alikua kidume kweli kweli. Bwana dossa alifilisika baada ya jumuiya kuvunjwa na kuundwa Bakwata hivyo patroni aghakan akakata msaada baada ya hapo wengi wao wakafilisika.
Historia ya wazee wa kariakoo kamwe haiwezi kuwa historia ya nchi mzee hilo lijue lakini pia historia hizi zina mkanganyiko sana si waandishi tu bali mpaka wapigania uhuru wenyewe kwa wenyewe. Watu wanapanga mipango ya kuikomboa nchi gafla anaibuka mpuuzi mmoja anaanza kuulizia future ya waislam?. Akina takadir walikua watu wa hovyo sana.
Kuna siku unasema nyerere alimwita dossa akampa medali peke yake! Uongo mtupu. Mbona ile picha ya dossa kinaonekana kichogo tu cha mtu, tunaamini vipi kuwa yule ni the banker dossa. Picha yenyewe haijaonesha hata watu wa pembeni!. Hii inatosha kusema mzee mengine unapotosha. Eti mchango wa waislam?
Mama...We mzee ni MPUMBAVU SANA. Unastahili kuwa gerezani kwa hizi akili zako mbovu za kutala Tanzania iwe nchi ya kiislamu. Hii nchi haina udini nakushangaa unavyosukuma agenda zako za kihayawani.
Mama...Safi sana.
Huihui...Mkuu @mjamaaf asante kwa kuja, huyu Mzee Mohamed Said anapotosha sana. Kila akidanganya tutakuwa tunakuita
Safi sana.