Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

Wengine tumemsoma Mohamed miaka 20 iliyopita na tunamjua si kupitia mnakasha huu bali kwenye viwanja vingine.

Kama unakumbuka, Nyerere alipostaafu kila gazeti ndani na nje ya nchi, kila mwanasiasa kama Kambona, Fundikira, Katumbo Sanga n.k walitoa maneno makali sana ya kejeli dhidi yake. Hakuwahi kujibu tuhuma hizo kwasababu wakati mwingine ukibishana na Mjinga watu wanaweza wasielewe tofauti. Lakini pia Nyerere hana sababu ya kumjibu mtu kama Mohamed Said, dunia ndiyo inaweza kumjibia kama tuonavyo. Huyu ni moja ya wanasiasa maarufu wa karne wanaojulikana duniani, na ni haki kutojishughulisha na simulizi ziszo na majibu za Mohamed Said.

By the way, Nyerere ndiye mhusika alitakiwa afanye tafiti gani kumjibu Mohamed. Yeye amefanya kazi na Sykes hadi picha ya soksi ndeeeefu anayoongelea mtafiti Kiongozi Sheikh Mohamed kila siku ipo. Anayetakiwa kufanya utafiti ni yule aliyesimuliwa. Nyerere afanye ili iwe nini!!
Hivi inahitaji utafiti kumjibu Mohamed, tunahityaji taa ya kandili mchana maana mwanga uliopo hautoshi.

Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza, licha ya wana jamvi kuonyesha udhaifu wa hali ya juu bado kuna watu wanaita masimulizi utafiti, sijui yale ya Dr Koch n.k tutaita nini.

Umeona jinsi tunavyovuta nyuzi zinazo contradict maneno ya mtafiti Sheikh Mohamed. Leo anaongea hili jioni neno lile lile analitolea maelezo tofauti. Mfano anasema AMNUT ilianzishwa kulinda masilahi ya waislam, halafu anasema waislam waliikataa kwasababu itakuwa udini.!!!????

Ahal wangu baru baru, rejea nyuzi uone jinsi Mzee wetu anavyojikanyaga. Hapa si pale gogo vivu, ni JF tunasoma maneno si mistari na tutakuwa naye samba samba ili kuhakikisha kuwa azma yake ya kuleta vurugu nchi haifanikiwi.

Endelea kukata kiu sisi tiulishakata kiu miaka 20 iliyopita kwa version ya english na kiswahili ,kwa makala Nasaha, Annur n.k. na wakti mwingine kumsikiliza mubashar, kama hatukumuelewa miaka 20 it is unlikely tutamwelewa leo.
Tunachojua, hakuna utafiti, ni hadithi za kusikia alizoshadidia na uongo uliopambwa kwa lugha nzuri mashallah. Tunachuja chuya na bahati mbaya mchele unaonekana kidogo sana.

Hatupingi simulizi zake na hutakatai anayosema, tunachokataa ni kile kisichokuwepo, au amekificha na uchochezi usio na shaka wa kutaka kulitumbukiza taifa katika matatizo kwa makusudi kabisa. Tupo naye ili historia isje muacha nje.

Umemwaga pumba hebu zitwange na upepete ubaki mchele. Hivi, kinachokuuma ni nini haswa?
  • Kuwa Nyerere si muasisi wa kudai madaraka?
  • Kuwa Nyerere hakupokelewa na Abdul Wahid Sykes, Dar Es salaam?
  • Kuwa Nyerere hajaishi nyumbani kwa Abdul Wahid Sykes?
  • Kuwa Mshume Kiyate hakuwepo?
  • Kuwa Mshume Kiyate hakumfadhili Nyerere?
  • Kuwa Nyerere alisahau hata wadhifa wa mtu aliyempokea?
  • Kuwa anaowataja Mohamed Said hawakuwepo?
Nashindwa kukuelewa unachokikataa, maana hujakiweka wazi.
 
Hallo yangu.

Kumbuka kuwa kuna kusoma kwa nia ya kuelewa na kusoma kwa nia ya kupinga.

Sasa wenzetu wapo upande wa kupinga na ndio maana wanarahisisha mambo kwa kutoa majibu rahisi kwa masuala magumu ya kitaalamu na kitafiti.

Tuwahurumie wenzetu.

Eid njema
 
Jamani huu mnakasha mimi siwezi tia nene maana si saizi yangu ila nna moja jambo tunapanda mbegu ya Chuki ,ubaguzi kati yetu kwa jinsi mnakasha unavyoenda ,Je wanamnakasha tuko tayara kuvuna hii mbegu tupandayo?
 
Mbegu zimepandwa zamani sana na Nyerere sasa ni wakati wa kupalilia na tuamuwe tuvune kilichopandwa kwa ustadi mkubwa au tukitekeze.
 
Nafikiri inakupasa wakti mwingine ufikirie nje ya box.

Usichukulie maneno ya wanasiasa kuwa Tz ni nchi ya amani na utulivu wakti watu ni waoga na wanafiki ingawa kiukweli kuna dhulma kubwa na unyanyasaji wa hali ya juu.

Kumbuka usitegemee kupanda mchicha ukavuna maharage.

Na kila wakti tunasema penye dhulma na pasipo na haki basi hakuna amani wala upendo bali kuna uwoga. Hiyo ndio Tz.

Soma mnakasha vizuri utagundua hilo. Kinachovunwa sasa na zile mbegu zilizopandwa tokea mlipopata uhuro miaka 50 iliyopita. sasa kazi kwenu kwani kuna mwimbaji mmoja wa Raggae akiitwa Robert Nesta Marley (maarufu kama Bob Marley) alimba katika one of his song
You can fool some people sometime But you can't fool all the people all the time.
 
Mbegu zimepandwa zamani sana na Nyerere sasa ni wakati wa kupalilia na tuamuwe tuvune kilichopandwa kwa ustadi mkubwa au tukitekeze.

yapo mabaya mengi ya nyerere dada ila namna mjadala unavyoenda sioni wanamnakasha kuungana kwa chochote kila mmoja avutia kwake yako mengi nimejifunza humu ,ila tunataka suluhisho sasa,mfano nini kifanyike,na kifanyikaje? Nani afanye kwa muundo na mfumo huu wa serikali iliyopo ambayo ilikuwepo tangu mwanzo na i sehemu ya haya matatizo yaliyojitokeza?
 
Skillionare,

Umesema maneno ya busara kabisa.
Sisi Waislam kwa umoja wetu tumepita nchi nzima kuwaelimisha Waislam hatari inayokabili nchi yetu kutokana na mfumokristo.

Tunaisubiri serikali itupe jibu.

Mohamed
 
yapo mabaya mengi ya nyerere dada ila namna mjadala unavyoenda sioni wanamnakasha kuungana kwa chochote kila mmoja avutia kwake yako mengi nimejifunza humu ,ila tunataka suluhisho sasa,mfano nini kifanyike,na kifanyikaje? Nani afanye kwa muundo na mfumo huu wa serikali iliyopo ambayo ilikuwepo tangu mwanzo na i sehemu ya haya matatizo yaliyojitokeza?

Hatuwezi kupata tiba kama bado hatujau "diagnose" ugonjwa vilivyo, wacha tujuwe maradhi yetu ni nini, tiba itakuwa ni sahali.
 
Wengine tumemsoma Mohamed miaka 20 iliyopita na tunamjua si kupitia mnakasha huu bali kwenye viwanja vingine.

Kama unakumbuka, Nyerere alipostaafu kila gazeti ndani na nje ya nchi, kila mwanasiasa kama Kambona, Fundikira, Katumbo Sanga n.k walitoa maneno makali sana ya kejeli dhidi yake. Hakuwahi kujibu tuhuma hizo kwasababu wakati mwingine ukibishana na Mjinga watu wanaweza wasielewe tofauti. Lakini pia Nyerere hana sababu ya kumjibu mtu kama Mohamed Said, dunia ndiyo inaweza kumjibia kama tuonavyo. Huyu ni moja ya wanasiasa maarufu wa karne wanaojulikana duniani, na ni haki kutojishughulisha na simulizi ziszo na majibu za Mohamed Said.

By the way, Nyerere ndiye mhusika alitakiwa afanye tafiti gani kumjibu Mohamed. Yeye amefanya kazi na Sykes hadi picha ya soksi ndeeeefu anayoongelea mtafiti Kiongozi Sheikh Mohamed kila siku ipo. Anayetakiwa kufanya utafiti ni yule aliyesimuliwa. Nyerere afanye ili iwe nini!!
Hivi inahitaji utafiti kumjibu Mohamed, tunahityaji taa ya kandili mchana maana mwanga uliopo hautoshi.

Ama kweli ukipenda chongo huita kengeza, licha ya wana jamvi kuonyesha udhaifu wa hali ya juu bado kuna watu wanaita masimulizi utafiti, sijui yale ya Dr Koch n.k tutaita nini.

Umeona jinsi tunavyovuta nyuzi zinazo contradict maneno ya mtafiti Sheikh Mohamed. Leo anaongea hili jioni neno lile lile analitolea maelezo tofauti. Mfano anasema AMNUT ilianzishwa kulinda masilahi ya waislam, halafu anasema waislam waliikataa kwasababu itakuwa udini.!!!????

Ahal wangu baru baru, rejea nyuzi uone jinsi Mzee wetu anavyojikanyaga. Hapa si pale gogo vivu, ni JF tunasoma maneno si mistari na tutakuwa naye samba samba ili kuhakikisha kuwa azma yake ya kuleta vurugu nchi haifanikiwi.

Endelea kukata kiu sisi tiulishakata kiu miaka 20 iliyopita kwa version ya english na kiswahili ,kwa makala Nasaha, Annur n.k. na wakti mwingine kumsikiliza mubashar, kama hatukumuelewa miaka 20 it is unlikely tutamwelewa leo.
Tunachojua, hakuna utafiti, ni hadithi za kusikia alizoshadidia na uongo uliopambwa kwa lugha nzuri mashallah. Tunachuja chuya na bahati mbaya mchele unaonekana kidogo sana.

Hatupingi simulizi zake na hutakatai anayosema, tunachokataa ni kile kisichokuwepo, au amekificha na uchochezi usio na shaka wa kutaka kulitumbukiza taifa katika matatizo kwa makusudi kabisa. Tupo naye ili historia isje muacha nje.

Nguruvi3,

Mimi mzito wa kuuachia ulimi wangu.

Lakini hivi kusema "AMNUT iliundwa kwa maslahi ya Uislam lakini Waislam waliikataa" umeshindwa kuelewa hilo kiasi ya kuona mimi najigonga katika fikra zangu?

Tuje kwenye umashuhuri wa Nyerere.

Laiti ningeliandika kuwa Nyerere si mwanasiasa mahiri dunia ingenidharau na kuniona si lolote si chochote wala wasomi wasingelikimbilia kufanya "review" ya kitabu changu.

Ningekuwa nimeandika upuuzi.

Kilichowavuta wasomi katika vyuo vya African Studies ni kuwa nimewabadilishia sura ya Nyerere. Yule wamujuaye yeye sivyo alivyo khasa katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ikawa sasa: "Nani Kleist Sykes, nani Abdulwahid Sykes, nani Ally Sykes hii ni "dynasty?" siasa walianza lini nini uhusiano wao na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika, Nyerere kaingia lini katika harakati, ilikuwaje historia hii haikuwa hadhir kwa miaka yote hiyo?"

Sasa hapa ndiyo wakaingia na kuwasoma wazalendo wengine: Sheikh Hassan bin Amir, Tatu bitI Mzee, Said Chamwenyewe, nk. nk. na kuona mchango wa Uislam katika harakati...haya nishayaeleza humu.

Ndipo sasa nikatiwa katika ma "journals" na nikatiwa katika mradi wa Dictionary of African Biographies (DAB), Oxford University Press New York wakishirikiana na Harvard. Hii ni kwa sababu nilikuja na kitu kipya katika duru za kisomi.

Haya yote nishayaeleza humu ukumbini.

Kwa kumalizia napenda kusema kuwa hakuna anaeweza kutia kasoro katika yale Nyerere yanayomstahikia kama Azimio la Arusha, Ujamaa Vijijini, Ukombozi wa Afrika nk. nk. hizi sifa ni zake pekee wala hana mpinzani.

Lakini katika kupigania uhuru wa Tanganyika historia haikamiliki bila kuwataja wazee wangu.

Mohamed
Mohamed
 
Je unaweza kutuwekea kitabu walichaoandika Kasanga Tumbo, Kambona au hata Fundikiri kuhusiana na uhuru wa Tanganyika. Maana yake naona unachanganya mambo makuu mawili, Mohojiano na utafiti.

Kumbuka mahojiano yanaongozwa na yule anayekuhoji kutegemea yeye amekusudia kupata nini cha kufurahisha yeye ikiwa pamoja na kuuza habari ile na mara zote anahojiwa mtu mmoja tu. tafiti ni kule kuwahoji watu mbalimbali zaidi ya mmoja kisha kuandika makala au kijitabu kuhusu tukio husika.

Lakini pia elewa kusudio zima la utafiti wa Mohamed Said ni kuijuza jamii ile historia au mchango wa wazee wake wa Kariakoo na gerezani katika uhuru wa Tanganyika. Sasa kutokana na historia hiyo kumeweka wazi na kumtaja Nyerere moja kwa moja naye kama kutokana na kutajwa kule kulikuwa kuna lugha za kuongezewa au kupunguziwa jambo dhidi yake na kwa sie tunavyomjua alivyokuwa anapenda kutukuzwa ( nakumbuka alipenda kusema kuwa zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata zikiwa pumba)basi lazima angetia neno hapo.

lakini kwa kuwa alikaa kimya hata kwenye hotba zake hajagusia kupinga basi pasi na shaka yoyote kilichoandikwa kitakuwa kimesahaulika na hivyo ni budu kiongezewe kwenye historia yenu.

Sioni kwa nini watu wanakuwa wabishi wa kuelewa na kusikiliza darsa mwanzo mpaka mwisho kabla kuleta masuala yenye muelekeo na muono wa kisomi zaidi kuli yale ya kejeli.

Barubaru,

Nyerere akiogopa historia yake mwenyewe. Juu ya uzuri uliokuwa ndani yake.

Unaonaje nikihadithia jinsi alivyofika Dar es Salaam 1952, mgeni anakwenda kwa Abdu Sykes kaongozana na Kasella Bantu.

Abdu anamjulisha kwa mdogo wake Ally, kwa mama yake Bi Mluguru,Bi Mluguru na Bi Mugaya mama yake Nyerere wanakuwa mashoga wakubwa, Abdu anampeleka Nyerere kwa Dossa, Rupia...Abdu anamfikisha Nyerere kwenye madras ya Sheikh Hassan bin Amir Mtaa wa Udoe, Idd Faiz na nduguye Idd Tosiri wanamchukua ndani ya basi la Bagamoyo hadi kwa Sheikh Mohamed Ramia...wanamwakikishia kuwa wapo pamoja nae kwa kheri na shari.

Nyerere anakwenda UNO anarudi Mashado anamjenga katika gazeti lake Zuhra nk. nk.

Wallahi ki kisa cha kupendeza unaona ule mshikamano ulokuwapo...Nyerere anakwenda Southern Province kuitangaza TANU kwenye ngome ya Ukatoliki wenyeji wake Salum Mpunga, Yusuf Chembera na Suleiman Masoud Mnonji...matatizo yanaikabili TANU Tura Tatu, ugomvi na Sheikh Sulieman Takadir...AMNUT...

Kwa nini hakuipenda historia hii?

Kwenye fikra yake alikuwa anaona ile "role" ya Waislam...hili hakulipenda.

Kote duniani katika mizunguko yangu hili ndilo jibu hutoa ninapoulizwa vipi historia hii haikuandikwa miaka hii yote.
Hili ndilo jibu sawia nililompa Prof. Haroub Othman aliponiambia kuwa atamkabili Nyerere na kitabu changu atoe majibu.

Mohamed
 
Ahali yangu,

Nimejifunza mengi sana kutokana na Makala yako mambo ambayo wengi wanaopenda kusoma kwa nia ya kufahamu basi darsa linakuwa zuri sana lakini kwa wale wanaosoma kwa nia ya kupinga basi itakuwa shida kwao. Kwani siku zote wao wanataka kurahisisha mambo kwa kutaka kutoa majibu rahisi kwa masuala mazito ulioandika kwa tafiti zako.

Kwa mtu makini, Hata Nyerere mwenyewe alikipata kitabu chako (kwani kilitoka zaidi ya miaka miwili kabla kufariki kwake, na ninavyomjua Nyerere alivyokuwa msomi wa vitabu laazima atakuwa amekisoma) Lakini hakuthubutu kuandika kupinga maandiko hayo.Kwani aljua ni lazima atulie na kufanya utafiti kidogo kabla kujibu au alikubaliana na kilichomo ndanimwe.

Mimi nakushauri tuendelee na mnakasha huu kwani tuna kiu ya kutaka kujua mengi.

Watu wengi wanaokupinga mimi kwa masuala yao wanaouliza utaona ima hawajakusoma vizuri au kutaka kupinga sababu ya uchache wa elimu hususan hii ya utafiti lakini pia kuguswa na kusukumwa na udini. Kupenda dhulma iendelee huko Tanzania.

Challenge ambazo wote tumewapa nao basi wafanye utafiti na kuuweka hapa barzani lakini hawana jipya. Kwani kuna nyanja nyingi na motion nyingi wanazoweza kuandika utafiti wao. Mtu anaweza kuandika kuhusu mchango wa Michezo hususan kandanda (simba na yanga) katika uhuru wa Tanganyika au hata mchango wa burudani kama taarabu katika uhuru wa tanganyika. Hivi vinaweza kuwa sawa na wewe ulipoamua kusema mchango wa wazee wako wa gerezani na kariakoo katika uhuru wa Tanganyika. Kwani nyanja hizo zote za kandanda (simba na yanga), au Taarabu historia yake imefichika na kujificha.

sasa zote kuna uwezekano mkubwa wa kuongeza kile kilichosahaulika na kufichwa kwa nia ya kuandika historia iliyo sahihi.

Barubaru,

Katika moja ya nchi za nje nilipangiwa mnakasha mimi bila ya kujua kumbe wale host wa ule mnakasha ni "staunch Catholics" hili ni kundi la wasomi na mabingwa katika historia ya Tanzania. Mnakasha jioni baada ya L 'Asr. Mimi hili na lile sina wala siwajui kama hawa ni Catholics mie nimewachukulia kuwa ni "scholars" wa African history."

Mchana wake wamenichukua chakula cha mchana. Katika chakula mmoja kanambia nchi hii yeyote atakaejaribu kuutukuza Uislam hapa atajikuta katika matatizo makubwa. Huyu ni Prof. wa African Histrory na kafundisha Dar es Salaam University anaijua Tanzania vizuri.

Ule ujumbe ukawa umenifikia vizuuuuri kabisa.

Basi mnakasha umeanza dakika 45 nazungumza kisha maswali.

Nimeanza na Mnazi Mmoja Sheikh Suleiman Takadir kapanda jukwaa anapiga fatha inasomwa surat fatha kisha dua na watu wote wamesimama mikono wamenyanyua wanaitikia "Amin."

Kisha Nyerere anatambulishwa na kuombwa kuhutubia...

Wazungu kimya...ukumbi utadhani umemwagiwa maji...nawaambia hizo ndizo "Muslim symbols" katika kupigania uhuru wa Tanganyika na zipo nyingi.

Nikaendelea na mnakasha...

Kisa kirefu.

Maswali waliouliza hayakujikita tena katika nafasi ya Uislam katika uhuru walitaka kujua nani majority Tanzania Waislam au Wakristo...?

Profesa wangu wangu wa "lunch" alitulia tuli hakuniuliza swali lolote.
Katika ukumbi ule alikuwako mwakilishi wa Balozi wa Tanzania.

Nilimpa zawadi kitabu changu na niliki "auotograph."
Nashukuru.

naona utupe role ya makabila mengine katika kupigania uhuru , maana naona nyerere kapotosha kweli, anaonyesha ni watu wa musoma tu? tena yeye mwenyewe, maana hajaonyesha ushiriki wa majita, wakurya, waluo etc etc
 
Na wewe ukawajibuje?
 
August,

Nimekusoma.
 
Na wewe ukawajibuje?

Sweke34,

Nilikuwa na hii katika notes zangu:
"In order to appreciate the impending danger we need to agree thatMuslims are a majority[1] in Tanzania and in any civil upheaval largenumbers carry psychological advantages. The government has over the years beenmaking deliberate efforts to conceal this fact and to portray to the world thatMuslim-Christian religious distribution is more or less the same and at timesto give an impression that Tanzania is a Christian nation and Muslims are aminority.[2] Thegovernment to say the least has been very evasive on this question.[3] When thegovernment went into its first census after independence the government did notenvisage that the results would show Muslims as a majority. In the 1957 censusMuslims outnumbered Christians at a ratio of three to two. Ten years after in1967, in the post independence census Muslims were 30%, Christians 32% andlocal belief 37%. Reasons were not given for this sudden decrease of Muslims orthe growth of pagans. It is on record that the 1967 statistics were doctored toshow that Muslims were trailing behind Christians in numerical strength.[4] D.B.Barret gives statistics which show Muslims as a minority: Muslims 26%,Christians 45% and local belief 28%. Tanzania National Demographic Surveyfigures for 1973 have Muslims at 40%, Christians 38.9% and local belief 28%. Africa South of the Sahara shows thatMuslims are a majority in Tanzania at 60% this figure has remained constant inall its subsequent publications since 1991."[5]

Mohamed

[1]As if sensing danger the Catholic Church has in place a committeeresponsible for armed forces. This was revealed in a report to the Pope when hevisited Tanzania in 1990. Muslims have requested the government to make astatement on Catholic Church Committee on Armed Forces but so far thegovernment has not responded.
[2]There has neverbeen in history minorities in ethnicity or religion in any country to wage amajor war on a foreign power on behalf of majority or to mobilize people forindependence. Tanzania’s experience will be an exception to the rule if it isproven that as minority Muslims mobilized against Germany and also providedleadership in the struggle for independence.
[3]Religious distribution inTanzania is among the three topics made “sensitive” by Julius Nyerere and wereas a result out of bounds for discussion for almost a quarter of a century. Theother two are the role of Muslims in the struggle for independence and that thestruggle for independence began before Julius Nyerere came to lead TanganyikaAfrican Association in 1953.
[4]It is worthwhile to quote in full a letter by one Amiri Mchomvu whichappeared in the Family Mirror Family Mirror about the 1967 census: Last month I chanced to come across AfricaInformation Newsletter, (September 26, 1994 issue) in which there was anarticle on Tanzania titled: Islamic fundamentalism worries the government. Ifound the article by a renewed Tanzanian journalist, Lawrence Kilimwiko to bevery anti-Islam. Besides, Mr. Kilimwiko says that about 40% of Tanzanians areChristians and 30% Muslims. I think that is a statistical error.During the 1967Population Census, the first census since independence, I was one of the censusenumerators in Tabora Region. It is believed that this was the only successfulof the population census conducted since independence (i.e. 1967, 1978 and1988) as it was wholly conducted by the form V students. Corruption,embezzlement, etc. of census funds and other administrative vices that plaguedthe last two census (1978 and 1988) were things unknown at that time. It wasthe only census which had probed Tanzanians’ religious adherence. I clearlyremember the bulky questionnaire form, one question of which asked the persons’religion, whether he was Christian, Muslim, Other (e.g. Hindu, Budhist etc.) ortraditional, e.g. pagan. I also remember the census results; published by thethen Tanganyika Standard late that year 1967 (I have forgotten the date of theissue) in which it was shown that Muslim constituted 63% of the population. Nowwhoever thinks that such verdict is not correct I challenge him/her tosubstantiate otherwise with official results of the 1967 Census if they at allcan get hold of them. It is believed that in early 1970s the StatisticalDepartment was ordered to destroy all the 1967 census result simply becausethey showed the Muslim in Tanzania to be in majority.
[5] Africa South of the Sahara, EuropaPublication, London, No. 20 1991, p. 1027.
 
Umemwaga pumba hebu zitwange na upepete ubaki mchele. Hivi, kinachokuuma ni nini haswa?
Huu mnakasha niliisha kuuacha kwa sababu naamini simulizi za kichochezi alizorithi Mohamed Said kutoka kwa Wazee wake wa Gerezani hazina manufaa yoyote kwa Mtanzania wa sasa hivi. Ila ngoja kidogo tu niweke rekodi sawa kwa haya maswali yako ingawa kuna upande ukiulizwa maswali ya msingi basi jibu linakuwa porojo na hadithi za mtaa wa Gerezani.
Kuwa Nyerere si muasisi wa kudai madaraka?
Kwa kumnukuu Abdul Sykes, "Nyerere made us start to think: all we wanted was independence." na wazo la kudai uhuru toka mikononi mwa wakoloni ndivyo lilivyoanza na kuwezesha chama cha siasa TANU kuzaliwa. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wake wa kwanza na kwa heshima kubwa akapewa kadi namba moja. Baada ya hapo aliliongoza jahazi hadi uhuru ukapatikana na yeye kuwa Kiongozi wa kwanza wa Tanganyika huru ila kama yupo mwingine aliyeiongoza TANU wakati huo nakiri kutokumfahamu.
FaizaFoxy said:
Kuwa Nyerere hakupokelewa na Abdul Wahid Sykes, Dar Es salaam?
Ni kitu gani kiliwazuia hawa wazee wa Gerezani kuanzisha chama cha siasa hadi waende Pugu wakambembeleze wakuja, mvaa kaptura aje Dar es Salaam kuwaongoza ? Kusema kweli hii pekee inaonyesha uwezo waliokuwa nao hao wazee wa Mohamed Said na kwa kumnukuu Abbas Sykes mdogo wake Abdul Sykes, "He came at the right time. Usually if a man went away to university when he came back he would not be one with us; he would be very sophisticated. But here was a man who had the same kind of education - higher in fact, because he had an M.A. instead of a B.A. - who was willing to be with his people. This humility- ‘I'm willing to serve you'- made everyone forget that he was from up-country and that he wasn't a Muslim." Hawa wazee walitambua kikomo cha uwezo wao, mambo ya kupambana na mkoloni kudai uhuru yalikuwa way above and over their heads, that is a fact.
Kuwa Nyerere hajaishi nyumbani kwa Abdul Wahid Sykes?
Swali kubwa hapa ni nani alimhitaji mwingine, je ni Mwalimu aliwahitaji hawa wazee wa Gerezani au ni wazee wa Gerezani walimhitaji Mwalimu. Kuna watu labda walifanya haya wakitegemea malipo huko mbele ya safari na kwamba kwa kujipendekeza kwa Mwalimu wangeambulia vyeo na hadi leo tunashuhudia watoto na wajukuu zao wakililia baba zao kutokuwa mawaziri katika serikali ya kwanza ya Tanganyika huru. Hapa Mwalimu aliona mbali na alikuwa na msimamo kama hapa nikimnukuu Chief Patrick Kunambi, "Mwalimu's leadership was not based on what Julius promised because Julius practically never promised anything !"
Kuwa Mshume Kiyate hakuwepo?
Alikuwepo Dar es Salaam iliyokuwa na watu chini ya laki mbili, sasa hebu fikiria kama kila muuza nyanya, dereva, mpiga debe na wengineo angetajwa kwenye historia ya nchi yenye watu zaidi ya milioni tisa kisa ni wazee wa Mohamed Said wa Gerezani ! Kweli tungefika !
Kuwa Mshume Kiyate hakumfadhili Nyerere?
Sikulaumu, "believe this and you will believe anything." Bahati mbaya watu kama ninyi mko wengi tu na ni kwa sababu hiyo Tanzania tuko hapa tulipo, mko rahisi kudanganyika. Wengine hata tabasamu tu mnaishiwa nguvu hamjui kuwa tabasamu linaweza kuwa kichaka cha kuficha mapungufu na maovu, halafu mkishachagua ovyo, mnaanza kulalamika ovyo - yarabi mfumokristo !
Kuwa Nyerere alisahau hata wadhifa wa mtu aliyempokea?
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipokewa kila kona ya Tanzania na viongozi wa vyama vikubwa vya ushirika, viongozi wa vyama vya wafanya kazi, machifu wa makabila makubwa na wengineo kutoka sehemu mbali mbali yenye idai kubwa ya wananchi, wewe unalilia kusahauliwa na aliyempokea Dar es Salaam, watu wengine bwana sijui wameumbwa vipi !
Kuwa anaowataja Mohamed Said hawakuwepo?
Kama hawangekuwapo huyo Mohamed Said wako angetoka wapi, eti na hapa umeuliza swali ! Je hao ambao hataki kabisa kuwataja kwa sababu ya dini na kabila zao hawakuwapo ? Mbona Tanganyika ilikuwa kuuubwa tu au ukisha kuwa mzaliwa wa Gerezani basi dunia yako yote inakuwa Mzizima, basi.
Nashindwa kukuelewa unachokikataa, maana hujakiweka wazi.
Kama ni kweli huelewi mpaka sasa hutakaa uelewe kwani unaishi gizani huku ukiendelea kuvaa miwani mieusi, pole sana. Ni mambo kama haya yanayonizuia kujibizana na watu wengi humu ndani kwani kwangu kwa kiwango chochote kile nawaona ni wapuuzi.
 
Nilipo underline

Nafikiri hata sisi tunakuona wewe ni mpuuzi..na mnaazi wa udini (ukristo)
 
"In order to appreciate the impending danger we need to agree thatMuslims are a majority[1]
Mohammed,
Hili ndilo tatizo lako kubwa. Unapokuja na statistics za kupikwa na zisizo sahihi matokeo yake ni kwamba hata conclusions zako zote zinakuwa si sahihi.
 
Statistics zilizosawa ni zipi? na zilizopikwa na nani? wewe?
 
Africa South of the Sahara shows thatMuslims are a majority in Tanzania at 60% this figure has remained constant inall its subsequent publications since 1991.

Mohamed Said,

Christians na other/local belief wanagawana asilimia ngapi ngapi katika hiyo 40% iliyobaki?
 
Back
Top Bottom