Shetani ameumbwa na mungu au katokeaje?
Ulimwengu ambao shetani anaweza kutokea umeumbwa na nani?
Hujajibu maswali.
Hujajibu maswali.
Sasa hujui hata Shetani katoka wapi. What the hell are you doing here?
Hizi elimu zinakuumiza kichwa kwa sababu umekosa ufahamu wa elimu unayo idandia kwa mbele.
Kuuliza swali maana yake si kujua jibu.
Pengine ni njia ya ku expose fallacy ya cosmogony yako.
Hujajibu swali.
Ulimwengu ambao shetani ameweza kuwemo umeumbwa na nani? Umetokeaje kwa mujibu wako?
Na kubisha jibu maana yake nini?
wapi nimesema MUNGU yupo? wewe mada yetu huijui? maana umekuja na Mada mpya kabisaNimekwambia niletee ushaidi wa kuumbwa na Mungu. Huwa hatusemi tuu bila ya ushaidi. Ukiweka madai, tuletee ushaidi kusaidia madai yako. Grow up JF.
nikakujibu mabaya ni km ya Sodoma na Gomora naona ulikuwa hujazaliwa wala kusoma hizo habari popote.Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?
Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.
Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..
USIKIMBIE BANA
Ukwaju.
Very important point.
I repeat.
Very important point.
Kabla ya kwenda kwenye nuances za usefulness of the god idea, ni lazima tukubaliane kwenye reality.
Kama mungu hayupo, na uzuri wa idea ya mungu ni kutisha watu tu wasifanye mabaya, then habari nzima ya mungu inakuwa imejengwa katika uongo.
Na si kweli kwamba watu hawawezi kutenda mema bila kuamini mungu.
Kuna secular humanists kibao hawaamini mungu lakini wanatenda mema.
Kuna Buddhists kibao hawaamini mungu lakini wana a better morality code than Christians.
Kuna Wagiriki walioishi maelfu ya miaka kabla ya Kristo hawakuamini kuwapo kwa roho wala mungu lakini walikuwa na a code of.morality ambayo ilikuwa truthful and better than the Judeo Christian code we have.
Kwa hiyo kusema binadamu hawezi kutenda mazuri bila imani ya mungu ni kujibweteza.
Na tumeona makasisi wanaoamini mungu wakiwala.witi (ashakum si matusi) watoto wadogo kihayawani.
Tatizo naweza kuwa nabishana na watu easiojua falsafa za secular humanists, Buddhists wala ancient Greeks.
Kabla ya mungu kutupa akili ya kufikiri na kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.
Shetani hawezi kutokea na binadamu hawezi kuwaza mabaya wala kupatwa na mabaya.
Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
Kama shetani kajiumba, hajaumbwa na mungu.
Kama hajaumbwa na mungu, habari ya Biblia, Quran na mapokeo mengine kwamba mungu ni muumba vyote ni uongo.
Kama biblia na quran vimesema uongo katika hili, vimesema uongo katika mengine mangapi?
Wewe toa ushahidi wa mwanadamu kuumbwa na mungu.
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.Maana yake jibu halijajitosheleza.
Hujajibu swali langu.
Huu ulimwengu ambao umewezekana shetani kuwamo umeumbwa na nani?
wapi nimesema MUNGU yupo? wewe mada yetu huijui? maana umekuja na Mada mpya kabisa
nikakujibu mabaya ni km ya Sodoma na Gomora naona ulikuwa hujazaliwa wala kusoma hizo habari popote.
ushahidi mwingine ni hawa mafisadi majambazi na malaya mbona sadaka zao zinapokelewa Misikitini na Makanisani huu sio Ulimwengu wa mabaya na kugeuzwa mazuri
KM MUNGU yupo ni kwanini awaruhusu hawa watu wafanye dhambi halafu wamletee sadaka? huo ndio ushahidi wa Mungu wako kuumba ulimwengu wenye mabalaa
UNA LINGINE?
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.Hujajibu swali langu.
Jibu swali bana:
(word in reds)sio kweli kwamba dhana nzima ya kuwepo kwa mungu ni kuwatisha watu ili wasitende mabaya na pia kuwalipa watu mema(pepo) pindi wanapotenda meme
(words in blue) ikiwa watu wanamuamini mungu na bado wanatenda mabaya what do u think they will be capable of kutenda ikiwa wasingekuwa wanamuamini mungu???
(words in green)hao budhist uliowatoleamfano kwamba wana better code of ethics kuliko christianity ni kwa sababu they have something wanachokifuata na kukiamini(imani yao) ndo inawaguide wasitende mabaya so mwanadamu bila ya kuwa na kitu chochote cha kukuguide ni ngumu sana kutotenda mabaya kwa sababu utakuwa unafuata matamanio ya nafsi yako kumbuka hao pia budhist wana matamanio yao lakini hiyo dini yao(imani yao) inawadirect wafanye mema.
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.
Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.
UTAKAPO SHINDWA
JARIBU HILI:
Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.
Haya anza kutokwa povu
Hata nikishindwa.
Hilo halithibitishi uwepo wa mungu.
Kile ambacho hakipo, hakithibitishiki. Kwa sababu hakipo.
Kilichopo ndicho kinathibitishika.
Thibitisha mungu yupo.
Hujathibitisha bado.
Jibu swali bana:
Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Jibu swali bana:
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.
Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.
UTAKAPO SHINDWA
JARIBU HILI:
Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.
Haya anza kutokwa povu