History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

History inapingana na wanaosema ''HAKUNA MUNGU'': The simple research you can do to prove it.

Shetani ameumbwa na mungu au katokeaje?

Ulimwengu ambao shetani anaweza kutokea umeumbwa na nani?

Hujajibu maswali.

Sasa hujui hata Shetani katoka wapi. What the hell are you doing here?

Hizi elimu zinakuumiza kichwa kwa sababu umekosa ufahamu wa elimu unayo idandia kwa mbele.
 
Hujajibu maswali.

Huwa sijibu swali kwa imbecile. Educate yourself kwanza halafu ndio uulize swali. Wewe unayekimbia madai yako si ndio kituko hapa?

Wewe humjui hata Shetani aliye ndani ya Roho yako? Huo ni msiba kwako. THE DEVIL IS INSIDE YOU...

Ask the Devil inside you, ametoka wapi na kaingiaje ndani yako?
 
Sasa hujui hata Shetani katoka wapi. What the hell are you doing here?

Hizi elimu zinakuumiza kichwa kwa sababu umekosa ufahamu wa elimu unayo idandia kwa mbele.

Kuuliza swali maana yake si kutojua jibu.

Pengine ni njia ya ku expose fallacy ya cosmogony yako.

Hujajibu swali.

Ulimwengu ambao shetani ameweza kuwemo umeumbwa na nani? Umetokeaje kwa mujibu wako?
 
Kuuliza swali maana yake si kujua jibu.

Pengine ni njia ya ku expose fallacy ya cosmogony yako.

Hujajibu swali.

Ulimwengu ambao shetani ameweza kuwemo umeumbwa na nani? Umetokeaje kwa mujibu wako?

Na kubisha jibu maana yake nini?
 
Nimekwambia niletee ushaidi wa kuumbwa na Mungu. Huwa hatusemi tuu bila ya ushaidi. Ukiweka madai, tuletee ushaidi kusaidia madai yako. Grow up JF.
wapi nimesema MUNGU yupo? wewe mada yetu huijui? maana umekuja na Mada mpya kabisa
Wapi Mungu aliumba umlimwengu wenye Mabaya? Unaweza tupa USHAHIDI HAPA?
Usiwe unauliza ujinga. Kama hujui kitu kaa kimya.
Sasa niletee ushaidi wa Mungu kuumba ulimwengu wenye mabaya..
USIKIMBIE BANA
nikakujibu mabaya ni km ya Sodoma na Gomora naona ulikuwa hujazaliwa wala kusoma hizo habari popote.
ushahidi mwingine ni hawa mafisadi majambazi na malaya mbona sadaka zao zinapokelewa Misikitini na Makanisani huu sio Ulimwengu wa mabaya na kugeuzwa mazuri
KM MUNGU yupo ni kwanini awaruhusu hawa watu wafanye dhambi halafu wamletee sadaka? huo ndio ushahidi wa Mungu wako kuumba ulimwengu wenye mabalaa
UNA LINGINE?
 
Ukwaju.

Very important point.

I repeat.

Very important point.

Kabla ya kwenda kwenye nuances za usefulness of the god idea, ni lazima tukubaliane kwenye reality.

Kama mungu hayupo, na uzuri wa idea ya mungu ni kutisha watu tu wasifanye mabaya, then habari nzima ya mungu inakuwa imejengwa katika uongo.

Na si kweli kwamba watu hawawezi kutenda mema bila kuamini mungu.

Kuna secular humanists kibao hawaamini mungu lakini wanatenda mema.

Kuna Buddhists kibao hawaamini mungu lakini wana a better morality code than Christians.

Kuna Wagiriki walioishi maelfu ya miaka kabla ya Kristo hawakuamini kuwapo kwa roho wala mungu lakini walikuwa na a code of.morality ambayo ilikuwa truthful and better than the Judeo Christian code we have.

Kwa hiyo kusema binadamu hawezi kutenda mazuri bila imani ya mungu ni kujibweteza.

Na tumeona makasisi wanaoamini mungu wakiwala.witi (ashakum si matusi) watoto wadogo kihayawani.

Tatizo naweza kuwa nabishana na watu easiojua falsafa za secular humanists, Buddhists wala ancient Greeks.

(word in reds)sio kweli kwamba dhana nzima ya kuwepo kwa mungu ni kuwatisha watu ili wasitende mabaya na pia kuwalipa watu mema(pepo) pindi wanapotenda meme

(words in blue) ikiwa watu wanamuamini mungu na bado wanatenda mabaya what do u think they will be capable of kutenda ikiwa wasingekuwa wanamuamini mungu???

(words in green)hao budhist uliowatoleamfano kwamba wana better code of ethics kuliko christianity ni kwa sababu they have something wanachokifuata na kukiamini(imani yao) ndo inawaguide wasitende mabaya so mwanadamu bila ya kuwa na kitu chochote cha kukuguide ni ngumu sana kutotenda mabaya kwa sababu utakuwa unafuata matamanio ya nafsi yako kumbuka hao pia budhist wana matamanio yao lakini hiyo dini yao(imani yao) inawadirect wafanye mema.
 
Kabla ya mungu kutupa akili ya kufikiri na kuumba ulimwengu, alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki.

Shetani hawezi kutokea na binadamu hawezi kuwaza mabaya wala kupatwa na mabaya.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

how many times do i need to tell you existance ya shetani???? na kwanii muungu alitupa akili??? na kwa nini mungu alitufundisha jinsi ya kumkwepa shetani?????
 
Kama shetani kajiumba, hajaumbwa na mungu.

Kama hajaumbwa na mungu, habari ya Biblia, Quran na mapokeo mengine kwamba mungu ni muumba vyote ni uongo.

Kama biblia na quran vimesema uongo katika hili, vimesema uongo katika mengine mangapi?

being shetani ni transition ya kiumbe aliyoipitia baada ya kufanya jambao fulani,lakini hakuna kiumbe ambacho kimezaliwa?kimezaliwa hapa duniani na kuwa shetani,kama ambavyo hata wewe ukiamua leo hiii unaweza kuwa shetani (simply because shetani anamuasi na kukataa maamrisho ya Mungu so na wewe ukikataa na kumuasi mungu hutakuwa tofauti na shetani) labda nirudie mfano wangu tena kama ambavyo hamna mtu amezaliwa mwizi dunaiani ili kuwa mwizi,(jambzi,kibaka,muuaji n.k) ila kuwa hivyo walivyo ni matokeo ya kufanya matendo yanahusiana na tabia za mtu huyo
mwizi-kuiba
muuaji-kuua n.k
 
Wewe toa ushahidi wa mwanadamu kuumbwa na mungu.

kitabu cha mungu kinasema hivyo
there is no way unaweza tukathibitisha uumbwaji wetu sisi na mungu bilakuhusisha historia

kama ambavyo inakuwa ngumu wewe kuthibitisha kwamba umezaliwa na baba yako(huyo ambayo unaclaim ni baba yako) bila kuhusisha historia kwamba alikutana na mama yako ..... kingine ambacho utakachoweza kutuhibitishia ni D.N.A ambayo itamatch damu yako na baba yako (uthibitisho wa kisayansi,kitu ambacho ni ngumu kwa sisi kuthibitisha kwa sababu katika binaadamu wa sasa hivi hamna aliyemuona wala kumgusa mungu so uthibitsho wa kisayansi ambao ndio naamini wewe unaoutaka ni ngumu kukupatia i.e hatuwezi kupata damu ya mungu,wala kujua umbile lake.(coz hamna aliyemuona)
 
Maana yake jibu halijajitosheleza.

Hujajibu swali langu.

Huu ulimwengu ambao umewezekana shetani kuwamo umeumbwa na nani?
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
wapi nimesema MUNGU yupo? wewe mada yetu huijui? maana umekuja na Mada mpya kabisa
nikakujibu mabaya ni km ya Sodoma na Gomora naona ulikuwa hujazaliwa wala kusoma hizo habari popote.
ushahidi mwingine ni hawa mafisadi majambazi na malaya mbona sadaka zao zinapokelewa Misikitini na Makanisani huu sio Ulimwengu wa mabaya na kugeuzwa mazuri
KM MUNGU yupo ni kwanini awaruhusu hawa watu wafanye dhambi halafu wamletee sadaka? huo ndio ushahidi wa Mungu wako kuumba ulimwengu wenye mabalaa
UNA LINGINE?

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
Hujajibu swali langu.
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu
 
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Bado unaikimbia posti yako!!!?????

Nipe maana ya hayo maneno in red
 
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Jibu swali bana:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

JIBU SWALI BANA
 
(word in reds)sio kweli kwamba dhana nzima ya kuwepo kwa mungu ni kuwatisha watu ili wasitende mabaya na pia kuwalipa watu mema(pepo) pindi wanapotenda meme

(words in blue) ikiwa watu wanamuamini mungu na bado wanatenda mabaya what do u think they will be capable of kutenda ikiwa wasingekuwa wanamuamini mungu???

(words in green)hao budhist uliowatoleamfano kwamba wana better code of ethics kuliko christianity ni kwa sababu they have something wanachokifuata na kukiamini(imani yao) ndo inawaguide wasitende mabaya so mwanadamu bila ya kuwa na kitu chochote cha kukuguide ni ngumu sana kutotenda mabaya kwa sababu utakuwa unafuata matamanio ya nafsi yako kumbuka hao pia budhist wana matamanio yao lakini hiyo dini yao(imani yao) inawadirect wafanye mema.

Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
 
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu

Hata nikishindwa.

Hilo halithibitishi uwepo wa mungu.

Kile ambacho hakipo, hakithibitishiki. Kwa sababu hakipo.

Kilichopo ndicho kinathibitishika.

Thibitisha mungu yupo.

Hujathibitisha bado.
 
Hata nikishindwa.

Hilo halithibitishi uwepo wa mungu.

Kile ambacho hakipo, hakithibitishiki. Kwa sababu hakipo.

Kilichopo ndicho kinathibitishika.

Thibitisha mungu yupo.

Hujathibitisha bado.

Unaanza kujihami,

Unaposema kitu lazima utetee madai yako
quote_icon.png
By Kiranga

Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

Jibu swali bana:

HUYO ALIYE ANDIKA POST YENYE WORDS IN RED. ANAJUA ALICHO ANDIKA AU ANAAMINI ALICHO ANDIKA?

JIBU SWALI BANA
 
Wathibitishie wasomaji hapa kuwa wewe ni either MWANAUME AU MWANAMKE.

Mimi nasema wewe ni JIKE, kama unabisha tuletee ushaidi ambao ni impeccable and verifiable. Assumptions are not allowed ad infinitum.

UTAKAPO SHINDWA

JARIBU HILI:

Prove to me that God does not exists. I need impeccable exhibits which are watertight and must be verifiable. NO ASSUMPTIONS AT ALL TIME.

Haya anza kutokwa povu

ebhanaee!.a have been skipping to read this thread many times.kumbe nakosa burudani.yaonekana round hii Kiranga kabanwa kweli.hata kwenye topic zingine hatokei.lol.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom