Sawaa sengerema...Wacenge mko wengi
ndugu hakuna mjeda wewe asiyeweza kushughulikiwa isipokuwa tu walifikia level za major ndo kidogo wanaheshimiwa , Mburura wengine woteeee wanapigwaga na wanafungwa kama kawa , naongea usisahau kama mtoto wa mjeda nilikulia makambini nawajua sana na wadogo wangu wawili wapo humo mmoja mwanasheria anakuambia wameshawashughulikia , Utaona december 9 watakavyokuwa wametepetaDanganya wajinga Mimi Kuna wanangu sita wajeda na niliwaona hapo ubungo wengine walikua mbezi wakiwa na raia na Leo wanaendelea na movement zao kama kawaida na mmoja nimetoka kuongea nae mda huu hapa hapa temboni hamna mbwa yeyote aliowasimamisha usifikiri watu wote unaongea nao humu ni wajinga eti unyonge mwanajeshi unachekesha sana wewe ngedere🤣🤣🤣🤣🤣🤣
nipo location ya hao ? usiwataje majinaDanganya wajinga Mimi Kuna wanangu sita wajeda na niliwaona hapo ubungo wengine walikua mbezi wakiwa na raia na Leo wanaendelea na movement zao kama kawaida na mmoja nimetoka kuongea nae mda huu hapa hapa temboni hamna mbwa yeyote aliowasimamisha usifikiri watu wote unaongea nao humu ni wajinga eti unyonge mwanajeshi unachekesha sana wewe ngedere🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimefatilia mazungumzo yenu humu,nipo location ya hao ? usiwataje majina
We kweli chawq wanajeshi kibao waliokua doria bado wako kazini na hamna nguruwe yeyote aliewagusa yaani umuwajibishe mwanajeshi kwakwenda kumlinda mwananchi asiuwawe hivi unaakili timamundugu hakuna mjeda wewe asiyeweza kushughulikiwa isipokuwa tu walifikia level za major ndo kidogo wanaheshimiwa , Mburura wengine woteeee wanapigwaga na wanafungwa kama kawa , naongea usisahau kama mtoto wa mjeda nilikulia makambini nawajua sana na wadogo wangu wawili wapo humo mmoja mwanasheria anakuambia wameshawashughulikia , Utaona december 9 watakavyokuwa wametepeta
wewe bwege kweli yule ni mwajiriwa tu kama walivyo waajiriwa wengine wewee unajua anaanza na TGS level gani? jifunze kwanza hapo ndo utawaona ni watu wa kawaida sana, na uje chochote anachoamrishwa na kubwa wake anatii tu hata aambiwe ampige mama yako leo risasi atampiga tu hakuna kuquestionWe kweli chawq wanajeshi kibao waliokua doria bado wako kazini na hamna nguruwe yeyote aliewagusa yaani umuwajibishe mwanajeshi kwakwenda kumlinda mwananchi asiuwawe hivi unaakili timamu
We ngedere mwanajeshi hafukuzwi Kwa kumlinda raia ngedere wewe kama unataka kuleta uasi tanzania jaribuni hiyo mishe kama patakarika hapa ukiona mwanajeshi anamlinda mwananchi ujue huyo anauzalendo wa Hali ya juu jaribu kumfukuza kama hawajachukua vijana waingie nao msituni halafu msikilizie milio na Sasa hivi akitokea mwanajeshi akawaambia raia waingie msituni mtakiona Cha motowewe bwege kweli yule ni mwajiriwa tu kama walivyo waajiriwa wengine wewee unajua anaanza na TGS level gani? jifunze kwanza hapo ndo utawaona ni watu wa kawaida sana, na uje chochote anachoamrishwa na kubwa wake anatii tu hata aambiwe ampige mama yako leo risasi atampiga tu hakuna kuquestion
hivi unadhania nchi ni kama chumba cha mangi tandale? wanafukuzwa kila siku na hawana cha kufanya maana akitaka revenge mzeee hii nchi ina vikosi 84 nchi nzima atapigana na yupi? na mazee usione huko mtaani kwako tiss ina ma informer kila mahali hata akipiga chafya serikali imeshajua hasahasa kama wamekufukuza wanaanza kukufuatiliaWe ngedere mwanajeshi hafukuzwi Kwa kumlinda raia ngedere wewe kama unataka kuleta uasi tanzania jaribuni hiyo mishe kama patakarika hapa ukiona mwanajeshi anamlinda mwananchi ujue huyo anauzalendo wa Hali ya juu jaribu kumfukuza kama hawajachukua vijana waingie nao msituni halafu msikilizie milio
Hao Tiss walishindwaje kuwafahamu waandamanaji wakiwa wanapiga chafya kabla hawajakichafua?hivi unadhania nchi ni kama chumba cha mangi tandale? wanafukuzwa kila siku na hawana cha kufanya maana akitaka revenge mzeee hii nchi ina vikosi 84 nchi nzima atapigana na yupi? na mazee usione huko mtaani kwako tiss ina ma informer kila mahali hata akipiga chafya serikali imeshajua hasahasa kama wamekufukuza wanaanza kukufuatilia
si umeona walishikwa wengi sana kabla, huuu mpango ulifadhiliwa na watu wenye nguvu sana, siku moja ntaweka hadharaniHao Tiss walishindwaje kuwafahamu waandamanaji wakiwa wanapiga chafya kabla hawajakichafua?
Tulitegemrea kushika hao wengi kusaidie yasitokee..sasa kama yalitokea na unasema kuna watu wenye nguvu walikua nyuma yake...tutaamini vp ufanisi wa hiyo Tiss kuelekea tar 9 dec?je hao waty wenye nguvu wameshakufa au kuamatwa au kuondolewa?si umeona walishikwa wengi sana kabla, huuu mpango ulifadhiliwa na watu wenye nguvu sana, siku moja ntaweka hadharani