Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

No one is perfect, she amelianzisha mchizi kamaliza.
It's over
Absolutelly. Sijajua wapi watu wanakuja na hii concept ya perfection, maana kwa aliyefuatilia huu uzibtoka mwanzo nimeweka bayana mahala ambako binafsi nime messup ila kwakua huu ulikua ni mpango wake toka awali ikabid nikubali.
Hakuna mahala nimesema i am perfect.
 
Na hamna mtu anawajali, wanafanywa kama bidhaa leo mtaenda kwa baba lesho mtarudi kwa mama inaumiza sana jamani.
Labda wengine, si watoto wangu.
I have a very perfect plan na ndio maana sikutaka kugombania watoto mahakamani japo ningeweza kuwachukua watatu.
Ila nikaona hapana, acha watoto walelewe mahala pamoja, nita take trouble ya kuwa kwenye maisha yao bila wao kusumbuka.
NB
Sio kila mtu ni kichaa.
 
Narcissistic at its best, huwez kua mwema Kiasi hiko mwanamke hata asihangaike. Hapo ujue mwanamke alishafikia mwishoo ndo maana hata hizo mali hana mpango nazo ameshukuru yameisha tu πŸ˜†
Hujui unachosema na hata hujaelewa nilichoandika.
 
Na haya yote yalianza ghafla tu? Na wakati wote huo wewe ulikua calm kujaribu tu kusuluhisha wakati mwenzio anarwehebuka kuharibu? Yaan kakaa kazaa mtoto wa 1 hadi wa 3 halafu wazimu tu ukamuingia wa kuharibu hiyo ndoa?
Una changamoto mahala, take time kusoma mfululizo wote kabla hujaamua kuwa judgemental my sister
 
Thanks mkuu, ninayazingatia haya kwa umakini sana.
 
Pole. Nimejitahid sana kuweka hisia pembeni tofauti na unavyofanya wewe mdogo angu ndio maana unaona wenye akili timamu wanaelewa nachoandika toka mwanzo
 
Thanks for the alert brother. Kuna namna niko makini kwenye suala hili and my head is up. Thanks
 
Ahsante kwa summary chief πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…