Asilimia kubwa ya aina ya wanaume kama mtoa maada ni umalaya tu, ndio unafanya wake zao wadai Talaka kwa njee unaweza muona mtu kumbe.🤔Innocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba
Hata hao wanaozivunja nao zamani walizitaka sana kama weweDaah!! Maisha bwana, yani wakati mwanamke anahangaika kuvunja ndoa huku wengine tunasubiri ndoa
Ni mtazamo tuHata hao wanaozivunja nao zamani walizitaka sana kama wewe
Hao uneazungumzia ni wale WA zamani sanaaaa, wanawake wengi wa sasa hawapo hivyo unavyowadhania...Innocent until proven guilty Ndio wazungu wanavyosema....Robo 3 ya thread inaonesha wewe Kutia Huruma uonekane Victim..Haiwi Habari kamili mpaka pande zote zisikilizwe Hatujasikia ya upande wa pili na hatuwezi kusikia lakini Mpaka Mwanamke aombe Talaka ujue kuna mambo tunakwama sana wanaume..Japo umejaza Chai nyingii uonekane Mwamba
Daaa!! kaliwa kimasialamMidada ya JF kwa kujirahisha Mxieeeeww
Kwahiyo alivyoona unaleta story ya talaka likataka kujiweka?!!
Pyeeeeee limeliwa kimasihara umalaya tu 😹😹😹
Wahuni sio watu 😹Daaa!! kaliwa kimasialam
Safi kabisa. You are rightAsilimia kubwa ya aina ya wanaume kama mtoa maada ni umalaya tu, ndio unafanya wake zao wadai Talaka kwa njee unaweza muona mtu kumbe.🤔
Amen. Thanks. Naamini tume pata chochote as a lesson mkuuWewe jamaa ishi miaka mingi mungu akuzidishie
Bora useme wewe.Hao uneazungumzia ni wale WA zamani sanaaaa, wanawake wengi wa sasa hawapo hivyo unavyowadhania...
Mtoa mada alimfumania picha za uchi make wake akimtumia jamaa.Asilimia kubwa ya aina ya wanaume kama mtoa maada ni umalaya tu, ndio unafanya wake zao wadai Talaka kwa njee unaweza muona mtu kumbe.🤔
Acha kuwaelewesha sana hawa watu waliojipanga kutoelewa.Mtoa mada alimfumania picha za uchi make wake akimtumia jamaa.
Ila Mtumishi umefail pakubwa sana, shetani ameshinda hili pambano.Absolutelly. Sijajua wapi watu wanakuja na hii concept ya perfection, maana kwa aliyefuatilia huu uzibtoka mwanzo nimeweka bayana mahala ambako binafsi nime messup ila kwakua huu ulikua ni mpango wake toka awali ikabid nikubali.
Hakuna mahala nimesema i am perfect.
Ni kweli mkuu, katika perspective ya kiimani nikiwa kama mkristo nimepoteza pambano, iko wazi (tena ex-wife ndiye alini introduce kwenye upentecoste 😅, matokeo yake yeye kaacha hata kusali though mimi naendelea)Ila Mtumishi umefail pakubwa sana, shetani ameshinda hili pambano.
Ushauri wangu mrudie Mkeo.
Akifuata ushauri wako huu anaweza kutangulia mbinguni kabla ya kuitwa na Mungu, wanawake wakizama penzini na mwanaume mwingine ni hatari kuliko Simba mwenye njaa!Ila Mtumishi umefail pakubwa sana, shetani ameshinda hili pambano.
Ushauri wangu mrudie Mkeo.
You are very right mkuu.Akifuata ushauri wako huu anaweza kutangulia mbinguni kabla ya kuitwa na Mungu, wanawake wakizama penzini na mwanaume mwingine ni hatari kuliko Simba mwenye njaa!
Mwache aonje joto la jiwe. Ila usichukue muda mrefu sana kumrudia, ndani ya miezi 6 au miezi 12 atakutafuta na kukuomba msamaha. Achiliia na sameheNi kweli mkuu, katika perspective ya kiimani nikiwa kama mkristo nimepoteza pambano, iko wazi (tena ex-wife ndiye alini introduce kwenye upentecoste 😅, matokeo yake yeye kaacha hata kusali though mimi naendelea)