Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

Mwache aonje joto la jiwe. Ila usichukue muda mrefu sana kumrudia, ndani ya miezi 6 au miezi 12 atakutafuta na kukuomba msamaha. Achiliia na samehe

Swali la kiimani: huko Pentecoste ulibatizwa na kupata mafundisho baada ya kubatizwa?
Ahahaha..
Baptized
Nimepita mafunzo mpaka kufikia hatua ya kuwa mwalimu wa Sunday school mkuu.
 
Inabidi iendelee tena.

Mpaka na gawana mali.

Utupe tena mrejesho baada ya siku 100 za mwanzo hali ikoje.
 
Asilimia kubwa ya aina ya wanaume kama mtoa maada ni umalaya tu, ndio unafanya wake zao wadai Talaka kwa njee unaweza muona mtu kumbe.🤔
Kuna ukweli kwa 70%. Roho ya uzinzi imetamalaki ndani yake na mkewe.
Mchizi amefail kuwa msaada na mlinzi kwa mke wake!
ameshindwa kumsaidia/kumtoa mkewe katika shimo alilotumbukizwa na maadui/watesi wa ndoa yake.

ISAYA 42:22
"Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha."
 
Ahahaha..
Baptized
Nimepita mafunzo mpaka kufikia hatua ya kuwa mwalimu wa Sunday school mkuu.
Kicheko cha kipepo hiko! shtuka mtumishi wa MUNGU!
Mafundisho gani umepata?
Unaweza kuwa hata waziri na ukafail big katika ndoa!
Omba Toba, geuka na tafuta mafundisho sahihi kumuokoa mkeo na watoto wako.
Mtafute mkeo wawili tu bila mtu yoyote kuwepo, zungumza naye msamehe, mwombe msamaha pia na umwambie unampenda then nendeni kwa mchungaji myatengeneze.
 
Kuna vitu vingine hata hukupaswa kufanya

Unampa gari na kupanda daladala!

Kisa eti itaharibika!

Huu ujinga sifanyi
Hii ndoa mpaka kufikia kuvunjika huyu jamaa ndo kaifikisha hapa kwa maamuzi yake ya kujifanya ana moyo safi kwa mkewe na ana mahaba ya kibwege

Kitendo cha kumpa gari mwanamke ya maamuzi ya mahakama kinaonyesha jamaa bado anajikomba na apindui kwa huyo mwanamke, ata akiambiwa leo baba fulani rudi anarudi kwa mwendo wa ngiri
 
Chief, mimi niko mkoa sasa hivi, sihitaji kabisa gari kwa nature ya maisha ya sasa. Gari iko jijini, huku ex wife yuko ma watoto na gari ipo tu inaoza na kuharibika, hik ndio hasa niliona acha niikarabati kisha aitumie kwa manufaa ya watoto pia incase of emergency. Mimi sina ninachopoteza mkuu. Kwa habar ya kurud hilo si kweli kaka
 
Ahahaha..hata hueleweki na wewe , huyo Suhendra ana machungu ya mumewe kuzaa nje huko akaja mbio ku comment huku akifikiri kila mtu ni kama mumewe. Sasa wewe nawe unaunga tera kwenye mambo haya usioyajua.

Nimtoe shimoni kwan yeye hana akil za kujua anachofanya? Sifanyi ujinga huo mzee
 
👀 Muda utaongea
 
👀 Muda utaongea
I too believe in time. Ndio maana nimefika hapa nilipo sasa otherwise nimgeishia kuwa mlevi na malaya wa kutupwa. "Time heals everything", hii ndio kauli niliowatamkia wake na mashemeji siku ya kikao cha kifamilia baada ya kukashifiwa sana. Mkuu, tusichukikiane poa.
Umeoa ? Na una miaka mingapi kwenye ndoa?? Una watoto??
 
Kwahiyo jimbo lipo wazi au limefungwa?
 
Yeye alikupeleka kanisani akakutambulisha. Wewe umeshindwa kumsaidia aliposhambuliwa na mapepo.
Mkeo amejeruhiwa kwa roho ya malipizi/kisasi baada kukupeleka ukaokoa.
Adui akafanya U turn kumattack mkeo.
Jiulize why alivyoenda kudai talaka hakurudi tena kule?
Ni vile pepo likahama kwa mkeo na kukurudia wewe baada ya kusoma emotion yako kuwa umekasirika(jeraha la nafsi) na shetani kupata mlango wa kupita mazima kwako na kufanya makao.

Tafuta maarifa kaka.
 
Inaonekana una uchungu sana kaka! Pole sana Mtumishi.
Msamehe mkeo ili mpate kupona wote, punguza hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…