LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
-
- #201
Nimeongea na karan jioni hii, kanambia sitakiwi kulipia.Kwa kesi za talaka tu au?
Mimi nilikuwa na hukumu ya madai (pesa) nakala nilipewa bila kulipa hata cent labda utaonana pembeni na makarani kama utahitaji kuipata nakala haraka ili ujipange na rufaa.
Sijui kwa nini wengine hawachapi kesi kabisa, wanaanzika kwa mkono sijui. Hizi mahakama za chini zina uzembe mkubwa. Ingetakiwa kuwa na nakala ya hukumu baada tu ya kesi kusomwa ila sio hizi mahakama zetu. Wewe fuatilia tu utaipata.
Ahahahah..haya. si kila suala unahitaji violence.Wewe ni mwanaume dhaifu sana, hii post yako ya mwisho imeanika jinsi gani u mdhaifu Kwa mkeo..she can control you the way she likes, usiache kupita Kwa wahenga wakusaidie kubaini ni limbwata la wapi hilo umelishwa!
Unataka kusema Fanton Mahal hajawahi kusaliti na akagundulika kwa mkewe?Hakuna cha kufunika kombe.
Samehe makosa yote ila sio usaliti.
Yani ni bora kumsamehe mwizi unaweza sema ni njaa tu ilimpitia ila sio msaliti.
Msaliti hafai kusamehewa hata kidogo.
Ahahahah..haya. si kila suala umWewe ni mwanaume dhaifu sana, hii post yako ya mwisho imeanika jinsi gani u mdhaifu Kwa mkeo..she can control you the way she likes, usiache kupita Kwa wahenga wakusaidie kubaini ni limbwata la wapi hilo umelishwa!
Shukran chief.Hongera nyingi Sana kwako, umeonyesha maturity kubwa Sana na moja ya njia Bora kabisa ya kummaliza mtu ni kwenda na moves za kimya kimya.
Wewe ni Baba Bora kwa wanao, usingeweza kuact rude towards mama Yao mbele Yao maana huo pia ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume. Siku zote mwanaume hufanya maamuzi kwa reasoning na fact zaidi unlike mwanamke yeye hutumia hisia zaidi hivyo yeye alitumia HISIA kufanya alichofanya na wewe umetumia AKILI kwenda na zile moves zake na bila Shaka jibu atalipata kwamba she was a fool!
POLE NA HONGERA KWA KUWEZA KUHEALUP HIYO SITUATION.
Ahahahaha.. watu wanasongwa na mengi kias kwamba unajiuliza huyu yuko sawa kweli ??🤣Afya ya akili hii!
Ondoa shaka brother..Soon utanasa mtegoni
Forgetting is the disrespect to your brain capacity.Msamehe kwasabab mna watoto Samehe na sahau...mnawatia watoto huzuni sana kisa mapenzi yenu nyie😏
Ahahahahahah...Mwanaume tunaye na tunatamba nae.... Tumuache yeye ndo anajua anachokifanya!!!!
Binafsi eti huruma imeniingia juu ya hiyo familia hasa upande wa watoto kama vipi warudiane tuuuu!!¡
Uko sahihi chief. Ujue wadau wanashukilia kusema ex-yf ananijua vizuri, sasa sijui mimi yeye simfahamu vizuri au?? Namjua vizuri sana na hiki nimefanya ni kitu sahihi mnoooKurudiana hapana, kama ikitokea huyo jamaa atakuwa amevuka kiwango cha udhaifu na sasa atakuwa NI MPUMBAVU POPOMA(samahani kwa kusema hivi). mpaka wamezaa watoto 4 means anamjua vizuri mkewe, utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami kuamini kwamba mwanamke atabadilika hilo halipo mwanamke habadiliki kamwe zaidi atakupa maigizo akiwa na hisia zake nzuri baada ya hapo anarudia kwenye njia Yake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
Exquisite....Unajua sisi wanawake baadhi akili fupi ukirubuniwa kidogo tu unaona mume wako hafai.
Lakini pia hatujui sababu ya mwanamke huyu kuolewa!!! Pengine huyu mume alitumika kama daraja la kuvukia sasa baada ya mwanamke kuvuka sasa hamuhitaji Tena ...
Unajua mwanamke yoyote anajua kutumia mwanaume atakavyo???
Acha ujingaUmeanza leta story za chai
Eehh!! Na uchumi umeingia humo humo!? Hivi we bwana mdogo umafikiri sawa sawa?Madam, mwanaume kama hana changamoto ya kiuchumi, anayo nafasi kubwa sana ya kudhibiti ama kudeal na situation yoyote inayotengenezwa na mwanamke yenye kuathiri familia..when it gets to the point of ruining the family, basi lazima Kuna mahala mwanaume hakuact smart mapema
Mioyo ya wanadamu iko tofauti sana...🤣🤣🤣Jamaa Bado anatamani kupata ushauri hapa warudiane... Jamaa lazma arudishe majeshi nyuma kama Yale ya SADC
Huna akili maana yake!. We unajiona una akil sawa sawa?Mkuu afya ya akili imeingiaje?
Na kinachoshangaza zaidi, hivi hii fikra why yeye hakuipa nafasi in the first place??Ni kweli,,, lakini mpaka sasa huyo mama Kuna vitu kashaanza kujutia..
Mimi katika vitu vinaumiza ni wazazi kuachana watoto jamani huteseka mnoo!!!!
Exactly.. they chase destruction kujiliwaza. Hata wanaume pia wako wa namna hii. Badala ya ku deal na uhalisia wa mambo wanaanza kuigiza maisha hali wakijua haiwasaidii chochote kile kutoka katika shidaNaam siku zote anguko la ndoa athari kubwa huenda kwa watoto. Wanawake hudhani watapata furaha Sana baada ya kuachana na waume Zao(hapa ni kwa wale waliokuwa manipulated na ufeminism wakaanzisha movement za kuachana) ila in return wanaambulia majuto na furaha za kufake na ndio maana utawaona kutwa kucha kupost namna wanavyopendeza na Kula bata (wanapelekeshwa na hisia za kujihami) lakini behind wanasaga meno kwa majuto