Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

Stay awake man...

All women are devils only your mother mighty be good to you but she is still a devil to your father.

Sasa naelewa ni kwa nini wale Taliban kule Afghanistan wanawabana wanawake.

Hivi viumbe akili zao fyatu sana. Wanahitaji udhibiti wa hali ya juu.

La sivyo ukiwaruhusu tu wakuchekee chekee, wanakupanda kichwani.
 
Maturity ya hali ya juu sana👊
 
Devil?

Wewe sindio unasemaga no devil no God !
 
Kurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.
Hapa ubinafsi wenu umeiharibu kabisa furaha za hao watoto
Kwa visa alivyotuhadithia kuhusu mke wake kiukweli hatakiwi kurudiana nae. Atakuja kufanyiwa mabaya ya kutisha zaidi. But mwisho wa siku ni maisha yake ataamua mwenyewe
 
Nakusoma vizuuri kabisaa
 
Achana na uchi wewe😂😂😂
Uliamini kuna siku watakumbatiana kwa bashasha na kula pamoja?
Nyuchi sio poa😂
Wanaweza wakafurahiana wakirudiana lakini trust me baada ya muda mfupi yatajirudia yale yale na makubwa zaidi jamaa atajuta sana.
Ukiamua kuachana na mtu kaa nae mbali. Wanawake sisi tuna plan za ajabu wewe hutujui vizuri.
 
Maturity ya hali ya juu sana👊
Sure mkuu, ujue ndio maana hata picha zoote alizochukua jana, siku attempt hata kumuomba anitumie. Na licha ya maigizo tuliofanyiana jana, NIMEKAA KIMYAAA LEO and i am sure she was expecting something from me leo. She hizo zoote ni ways tu ku invoke something out of me
 
Kurudiana sio dhambi wala udhaifu endapo ubaya uliwatenganisha utaondoka kati yenu.
Hapa ubinafsi wenu umeiharibu kabisa furaha za hao watoto
Ni kweli brother na ninakubaliana na wewe. Japo kwa mimi sio ubinafsi, ila kwa yeye ni kweli, nilijitahid sana ku make things work out but she decided to sacrifice her family for her own happyness. This is the highest level of ego she proved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…