Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,408
Jalk x joke √Inbox yako haijaa wadada wa JF maana jimbo lipo huru (just a jalk). Ulicho fanya ni cha kiume sana aisee hongera sana jitahidi uhudumie watoto maana hata huko mahakamani wamesha kuona kua huna hatia kwenye hili. Ikifika muda wale wanao weza kwenda bording wapeleke utapata uhuru wa kwenda kuwaona na ku spend nao tyme na kuwapa chakula cha ubongo baba atabaki kua baba. Mwathirika mkubwa hapa ni watoto wako halafu unafata wewe yeye ni mnufaika kama ataathirika basi ni majuto kwake.
MhhhWapi kafosi, we nawe mchawi mbona unakomalia km wewe ndo muhusika?? Mwenyewe kafurahi kukumbatiwa na mkewe, wewe unaumia nini?? 😹😹
Una maturity na calmness ya hali ya juu sana mkuu, ingekuwa sisi wengine ni mwendo wa kupanic kwa kila hatua. How old are you?THanks kaka ,nimekuelewa pia.
Ahahahah..she has been helping me alot kwenye hili, honestly. I appreciate her help
Msamehe kwasabab mna watoto Samehe na sahau...mnawatia watoto huzuni sana kisa mapenzi yenu nyie😏Kwasasa mimi simtamani tena. Ujue behind hiz drama zote za jana, kila nilipokua namtazama, my mind was playing zile evil memories she did to me. I was smilling nikim zoom how pretending she was
100% hapa hatuna mwanaume sema hata Kuja kusema hapa kama amerudiana nae.Kuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
Haya maombi yako ni ya hatari sanaMnapendana tena sana..!! Tunasubiria muongeze mtoto wa 5 😹😹
Sure, nimeshauriwa nimtafute huyu karani pembeni,na nitafanya hivyoYou played the game well mwaisa...kazia hapo hapo,kwanza ulipoenda na hiyo NAVARA umemvuruga kabisa! Me naamini umesha heal now,huwezi kurudiana nae! Ongea na huyo karani vizuri na uandae posho kidogo upewe nakala ya hukumu uwe huru na maisha yako!
Ni kweli mkuu. Unahitaji kujitoa sana ufahamu ili kuamini kuwa mtu kama huyu anaweza kujirud akakupemda tena kama zamaniHivi watu ambao wanapendana wanafikishana hadi mahakamani? Mkishafikishana huko ina maana mmeshindwa kusuluhisha mgogoro.
Mimi nitaleta tu mrejesho mkuu. Kwasasa kwa maoni ya wadau, nafikiri ninatakiwa niweke mkazo kufuatilia hati ya hukumuFanton Mahal na mpira ukirudi kwa kipa usisahau kuleta mrejesho 😁..
Shukrani sana chief. Japo sikufanya kwa kwaajili ya kumnyoosha but i just was doing what i now have decided to be, living my life. Kama ataumia shauri zake.Kwanza nikupe hongera umejua kumnyoosha kisomi yeye alikuwa anakurusha roho kishamba huko facebook labda utapata wivu 🤣 , afadhali hukwenda kinyonge ukisikia kulia kupokezana ndo hii sasa, nae zamu yake kuteseka.
Yah, tulisain ule mwenendo wa kesi ambao hakimu alikua ana take note suring the court proceeding.Kwenye maelezo wamesign
Sawa mkuu. Hiz ni opinion zako na ninaziheshimu.100% hapa hatuna mwanaume sema hata Kuja kusema hapa kama amerudiana nae.
Jamaa yetu mdhaifu sana. Nadhani hata akija kuoa tena bado atasumbuka sana na wanawake.
Mwanamke kamsoma kila kitu anamjua zaidi ya yeye anavyojijua......
Mkuu kazi unayo...wanaume huwa tuko tyr kupoteza hata kwa maumivu makubwa kiasi gani
Ahahahahah..mkuu tushazeeka sansa, niko floor ya tatu na Nusu.😅Una maturity na calmness ya hali ya juu sana mkuu, ingekuwa sisi wengine ni mwendo wa kupanic kwa kila hatua. How old are you?
Ahahahah..chief, ina maana ndio unaniombea.mabaya namna hiyo?Ni suala la muda tu ndege unarudi tunduni.
Kwakwel ,kwa lolote lile ambalo analotaka, am already ahead the time. She wont have that accesa anymoreDaah mkuu,Ex inaonekana hakupenda hitimisho hilo..pia anapenda muendelee kuwa pamoja ila ndo hvo keshalikoroga
Mkuu umesoma uzi wangu wa nyuma na ukajua hatua aliyofikia kunifanya? Sasa unaanzaje tena kumuamin mtu kama huyu again if not for your own demise???Mimi nakushauri mrudiane na Ex wako. Kilichoniuma ni wale watoto wako. Watakosa malezi ya Baba yao. Mbona naona bado Mama anakupenda.
Mkuu una jicho la TAI..! Kwa maoni yangu, huyu member ni dhaifu sana, na hata mkewe anajua udhaifu wake wote! Ni swala la muda tu mke anamrudisha kwenye himaya yake..nilifatilia kisa hiki mwanzoni nikabaini Kwa kiasi kikubwa mke anammudu mwamba..anamchezesha mziki anoataka..hii story ya mwisho binafsi kama mwanaume imeniboa kbs!Kuhusu mahakamani sijui wajuzi wake!!!,, .
Kwa maelezo yako wife anakujua vizuri mnooo!! Halafu alitingisha kiberiti bila kuwa na msimamo muda si mrefu unarudi ulikotoka.....
Akikujibu naomba tag Yako mkuu, huyu mwanaume asie na msimamo!MImi sina uzoefu na maswala ya kimahakama hasa upande wa talaka, hilo eneo watachangia wengine.
SWali langu ni umechukuliaje uchangamfu wa ex-wife wako kwako, mahug, kisses n.k.
Interpretation yako ni ipi?
Umeona sasa..sasa mkuu unafikiri mimi naandika stori kitu ambacho sicho.😅Mkuu una jicho la TAI..! Kwa maoni yangu, huyu member ni dhaifu sana, na hata mkewe anajua udhaifu wake wote! Ni swala la muda tu mke anamrudisha kwenye himaya yake..nilifatilia kisa hiki mwanzoni nikabaini Kwa kiasi kikubwa mke anammudu mwamba..anamchezesha mziki anoataka..hii story ya mwisho binafsi kama mwanaume imeniboa kbs!