Hivi Aggrey ana kazi gani ya kumuingizia kipato mpaka anataka kuoa?


Kweli unatuita kumjadili mtu aisee?
 
Ila MD kwanini lakini? Naona unamtetea Meku mwenzio.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Sio mchaga

Hamna mm nashangaa mtu ni mzinifu, mwizi, sawa hakuna anayesapoti ushoga lkn kaamua kubadilika aachwe, awe huru

Yaani Kuna mijanaume kibao Ina familia na wake na watoto ni mabasha, mashoga na wengine wanaitwa ******* smart,

Wengine wapo humu humu jukwaani wakutosha,
 
Kisa mchaga mwenzio ndo maana unamtetea, wee kila siku mbna una wananga gays had kusema kuwa ukijua hushiriki nae kwa lolote, unajisahaulisha?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ni Meku.
 
Kisa mchaga mwenzio ndo maana unamtetea, wee kila siku mbna una wananga gays had kusema kuwa ukijua hushiriki nae kwa lolote, unajisahaulisha?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyo ni Meku.
Mimi huyu πŸ˜‚ Agrey kaokoka Tena Aunty lily yupo nae karibu kiroho inatia hamasa na moyo
 
Mimi huyu πŸ˜‚ Agrey kaokoka Tena Aunty lily yupo nae karibu kiroho inatia hamasa na moyo
Ila wabongo mnanifurahisha vile hamko na msimamo, unaweza kuta mtu anapinga kitu, siku ya 2 anasapoti, hapo ujue kipo upande wake.

Kuokoka mchezo? Vipi nikusanue au niache? Woiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanalishwa na asili
Ulisha wakuta wanao amia ndege wasile mazao na siraha wanazo tumia kama vile makombeo,mawe nk? Unadhani juhudi wazifanyazo ndege kukwepa mpaka apone na kesho aanze mpambano wa kusaka mkate tena ni kama mchezo wa kuigiza?

Acha utani,ndege wanakula kwa jasho,asikudanganye mtu eti"ndege hawalimi "
 
Ila wabongo mnanifurahisha vile hamko na msimamo, unaweza kuta mtu anapinga kitu, siku ya 2 anasapoti, hapo ujue kipo upande wake.

Kuokoka mchezo? Vipi nikusanue au niache? Woiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niambie afu me nishakuambia kuwa free sema usiogope mazee πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…