Hivi dada ukiwa unampenda mwanaume halafu yeye hakutongozi, huwa mnafanya nini?

Huu unyamwezi lazma niwe maharage ya Mbeya ghafla I can't beat the treat! Ila uwe sexy sasa ukiwa mrata vibe lote linaisha. 🤣
 
Hahahaha,hapa mtu huchomoki ,uko vzr
 
Hahaha kiss ni bonge la starter [emoji182]! Aki manzi umeivaa!!!
Oooh

Huyo moja ni wa chuo, nilikua namchelewesha kumpa majibu yake baada ya kuniambia hisia zake .So akawa kamind hivi so I asked him kama tunaweza onana basketball ground kule mabibo hostel, wakati tunaongea , ghafla nikampa kiss un expectedly( it was such a deep, sweet and random kiss) so from there tukawa wapenzi.

Wapili ni boss wangu kazini, we liked each other but hanitongozi, nikamuita sehemu for drinks from work( cha ajabu alienda home akaoga na kuchange clothes ) then akaja , tukapiga drinks then I started the romantic kiss then nikampuzia..But badae tukawa wapenzi


Inshort, i will grant my heart what it wants.
 
As long as you be happy. Just do it!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…