Wale ila maendeleo mengii walete kwa walipa kodiUwezo mkuu wao ni kula kula kula tu
Pole dada akeeHuyu Waziri nilikua nampenda sana enzi zilee,,sasa enzi hz hakuna anachokifanya na hakunaa wa kumkemeaa
Kwangu nina familia kubwaa na matank ya maji lkn inafika kpnd ht maji kwa matank yaishaa inatulazimu kuanza kusaka maji
Aisee huyu waziri huyuuu ningekua na namna haki ya Mungu sijui sijui
ukiishi kwa shemeji yakoNi wapi maisha ni mazuri ukiwa pia hauna pesa?
Dodoma kuna tatizo la maji toka 2020 mwezi wa nane hadi leo hii tunakushangaa wakazi unaongea ongea tu.upo dodoma au wapi, dodoma hakuna maji wiki sasa. hadi natamani nirudi home.
Ukiwa huna hela ndio kukame, Dodoma kutam sana inategemea na unakofikiaga karibu tenaNdugu umewezaje kukaa Dodoma kwa week moja? Hapo mahala ni pakame haswaa.
Kama kitu gani kwa mfano?Kichekesho hayo maji yenyewe yakitoka baada ya hiyo wiki moja, bado unakuta ni maji chumvi!!
Aisee huo mji unahitaji uwekezaji wa kutosha sana mpaka kuwa na hadhi ya kuitwa Jiji!
Mdau pole kwa changamoto hiyoNimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.
Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.
Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
Binafsi ningetamani kufahamu huo mradi wa muda mrefu wa kuyatoa maji Ziwa Victoria kuja Dodoma, umefikia wapi! Maana kuna kipindi fulani nilisikia kule Bungeni, huo mradi ungekamilika mwaka 2025.Mdau pole kwa changamoto hiyo
Mimi ni Mkurugenzi wa Usambazaji maji na Usafi wa Mazingira hapa DUWASA.
Kwanza ningependa kufahamu eneo uliloishi kwa muda huo wote ukakosa maji, pili nielewe kwa kifupi kuhusu hali ya maji jijini Dodoma.
Pamoja na kuhudumia Dodoma Mjini, DUWASA pia inahudumia miji ya Chamwino, Kongwa, Bahi na hivi karibuni tumeongezewa kibaigwa.
Ukiongelea Dodoma mjini, utakumbuka kuwa kati ya mwaka 2017/18 yalifanyika mabadiliko ya Serikali kuhamia Dodoma ambapo immediately kama taasisi tulitarajia ongezeko kubwa la mahitaji ya maji. Wakati huo tulikuwa tumekamilisha mradi wa maji hapa mjini ambao uliongeza uwezo wa uzalishaji na usambazaji maji kutoka lita 30 milioni hadi kufikia lita 61.5 milioni kwa siku. Mradi huu ulikamilika 2015, na miradi ya maji husanifiwa kwa kipindi cha kati ya miaka 20 mpaka 30.
Kutokana na hali hii ya ongezeko la mahitaji ukilinganisha na uwezo uliopo, hatua kadhaa zimechukuliwa na zinatekelezwa na DUWASA chini ya Wizara ya maji kutatua changamoto hii.
Mahitaji kwa sasa ni lita 133 milioni kwa siku wakati uwezo ni wastani wa lita 68 milioni kwa siku. Hii inatulazimu kutoa maji kwa mgao. Ndiyo maana nimeuliza eneo uliopo ili kujua nini kilitokea.
Tunaendelea na utatuzi wa changamoto hii katika hatua za Muda Mfupi (uchimbaji wa visima pembezoni Mfano Nzuguni), Muda wa kati (Ujenzi wa bwawa pa Farkwa), Muda Mrefu ( Kutoa maji ziwa Victoria)na Mpango wa Dharula (kutoa maji bwawa la mtera)
Yote hii ni kuhakikisha Dodoma inakuwa na huduma toshelevu ya majisafi.
Mwendo ww vidumu tu na kutunza kwenye beseni na Diaba/pipa juzi nimetoka kumuona msigwa wakanipa maji aisee tumbo lilivurugika sana na dawa yake ni majani ya Mwarobaini na nikiangalia ikulu nzima hakuna mti wa mwarobaini ni balaaIkulu mpya maji yapo?.au mwendo wa vidumu?
Mwanza tu watu wanalalamika maji ya mgao mkali..ni kivipi tuyapeleke kwanza Dodoma kabla ya kucover kanda ya ziwa yote??Binafsi ningetamani kufahamu huo mradi wa muda mrefu wa kuyatoa maji Ziwa Victoria kuja Dodoma, umefikia wapi! Maana kuna kipindi fulani nilisikia kule Bungeni, huo mradi ungekamilika mwaka 2025.
Na kwangu mimi naona ndiyo mradi wa uhakika ukilinganisha na hiyo miradi ya kuchimba visima.
Mwisho kabisa nakupongeza ndugu Mkurugenzi kwa kutolea ufafanuzi jambo hili. Na pia kwa kukubali maji yenu ya Duwasa mnayatoa kwa mgao kutokana na kuelemewa na idadi ya wateja. Na kweli maeneo mengi ya pembezoni mwa mji, na yenye idadi kubwa ya watu; hali siyo nzuri kivile.
Natamani kuona Wakurugenzi wa taasisi nyingine pia wakijitokeza humu jukwaani kutolea ufafanuzi wa changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Bahati mbaya mtoa mada anaongelea tatizo la maji Dodoma! Na siyo Mwanza. Na mimi nimeongelea Dodoma kwa sababu nimeshuhudia.Mwanza tu watu wanalalamika maji ya mgao mkali..ni kivipi tuyapeleke kwanza Dodoma kabla ya kucover kanda ya ziwa yote??
Hivi tumelogwa??
Kwa kifupi huu ni mji wa ngamiaNimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.
Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa.
Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu.
====
UFAFANUZI KUTOKA DUWASA
====
Hongera mkuuMdau pole kwa changamoto hiyo
Mimi ni Mkurugenzi wa Usambazaji maji na Usafi wa Mazingira hapa DUWASA.
Kwanza ningependa kufahamu eneo uliloishi kwa muda huo wote ukakosa maji, pili nielewe kwa kifupi kuhusu hali ya maji jijini Dodoma.
Pamoja na kuhudumia Dodoma Mjini, DUWASA pia inahudumia miji ya Chamwino, Kongwa, Bahi na hivi karibuni tumeongezewa kibaigwa.
Ukiongelea Dodoma mjini, utakumbuka kuwa kati ya mwaka 2017/18 yalifanyika mabadiliko ya Serikali kuhamia Dodoma ambapo immediately kama taasisi tulitarajia ongezeko kubwa la mahitaji ya maji. Wakati huo tulikuwa tumekamilisha mradi wa maji hapa mjini ambao uliongeza uwezo wa uzalishaji na usambazaji maji kutoka lita 30 milioni hadi kufikia lita 61.5 milioni kwa siku. Mradi huu ulikamilika 2015, na miradi ya maji husanifiwa kwa kipindi cha kati ya miaka 20 mpaka 30.
Kutokana na hali hii ya ongezeko la mahitaji ukilinganisha na uwezo uliopo, hatua kadhaa zimechukuliwa na zinatekelezwa na DUWASA chini ya Wizara ya maji kutatua changamoto hii.
Mahitaji kwa sasa ni lita 133 milioni kwa siku wakati uwezo ni wastani wa lita 68 milioni kwa siku. Hii inatulazimu kutoa maji kwa mgao. Ndiyo maana nimeuliza eneo uliopo ili kujua nini kilitokea.
Tunaendelea na utatuzi wa changamoto hii katika hatua za Muda Mfupi (uchimbaji wa visima pembezoni Mfano Nzuguni), Muda wa kati (Ujenzi wa bwawa pa Farkwa), Muda Mrefu ( Kutoa maji ziwa Victoria)na Mpango wa Dharula (kutoa maji bwawa la mtera)
Yote hii ni kuhakikisha Dodoma inakuwa na huduma toshelevu ya majisafi.
Shukrani kwa clarifications Mr. Emmanuel,Mdau pole kwa changamoto hiyo

Kuna mdau wa duwasa hapo juu kasema moja ya suluhisho la maji ni mradi wa maji kutoka victoria , ndo maana mdau kaja na hoja itawezekana vipi maji ya victoria yasaidie dodoma ilhali hapo mwanza kwenyewe tu kuna mgao wa maji!Bahati mbaya mtoa mada anaongelea tatizo la maji Dodoma! Na siyo Mwanza. Na mimi nimeongelea Dodoma kwa sababu nimeshuhudia.
Bil.47 zinaenda kwenye posho.Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji.