Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Na hi ndio point ya mwisho watanzania watulie hkn mabadiliko yoyite
 
Kolo tulia hii kesi kubwa, kosa sio la refa Pekee kwa kutoangalia VAR ewe mbumbumbu, ni kosa pia la VAR room crew, kwa kutoonesha tukio kwa camera za angles zote na kumwambia refa uongo kuwa sio goli wakati video inaonesha Mpira ulimpita kipa aliekuwa kwenye mstari wa goli na ukadundia ndani wote,
Ndo maana huko kolokoloni mwenye akili mmoja tu Rage bora sisi uto wako wawili Sunday Manara na Mh Kikwete
 
Marefa wanapata wakati mgumu sana wa kuamua afuate haki au avurunde kutokana na maelekezo ya juu.
 
Na hili pia tulianzie
Kolo tulia hapo VAR hakuna ulitakaje? Halafu goli lenyewe haliumi goli la tano bila, ndo maana mwenye akili mmoja tu Rage wengine wote mbumbumbu including you au unabisha?

Ingekuwa ni Simba imefanyiziwa kama Jana semaji lenu angeandika barua kwa Biden, Putin , Malkia na mbumbumbu wote mngeandamana hadi UN, tunawajua makolo kwa makelele, mmekandwa na Al Ahly ndani nje mmetulia tuliiiii!!
 
Labda kama hujui maana ya silent check through earpiece ndio unaweza kuona ni utoto
Hiyo silent check ni matukio ya kitoto Kama hoja yako ilivyo hoja yako.... Sio tukio kubwa kama Hilo kwa mechi yenye uzito wa robo fainal.
 
Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
Lakini injinia si mwenyekiti wa virabu afrika nae
 
Nini kinathibitisha kuwa ni fixed match na sio makosa ya refa ?
Kilichopelekea muamzi kufika kwenye VAR na kuangalia Nini?, uhusiano wa moja kwa moja Kati mmiliki wa timu na uongozi wake CAF. Kulikuwa hakuna video review iliyoonesha moja kwa moja kutoka VAR room kuja kwa watazamaji kuthibisha Hilo sio Gori
 
Sio necessary

Hiyo ni hoja dhaifu sana kama ndio mtepeleka utetezi wa aina hiyo kudai haki yenu basi mtakuwa ignored kirahisi
Katika sura ya Sheria hakuna hoja dhaifu ikiendana na mazingira ya mechi ... Yote haya n matukio yaliyotokea uwanjani... Why hayakupewa uzito sawa wakati yote yamekuwa na utata?.
 
Hiyo ndio kufa kiume sasa sio Caf wala Fifa inayoweza kumuokoa "Mwakarobo Jr"
Hiyo ndio kufa kiume ajipange tena mwakani
Yanga hakuwa na 3 keys/potential players ulitaka ajuaje ubora wa kipa wa Mamelody Sundowns?

*Hujui Pacome anavyopasuaga ngome yoyote ya mpinzani?

*Huonagi Aucho anavyokamataga dimba kuzuia pass penetration zozote?

*Yaoyao je kupandisha timu kimashambulizi na kuwahi kurudi nyuma kukaba?

*Man City hutafuta ushindi kwa tochi akikosekana De Bruine tu, kwani haina kikosi kipana?

*Masambwanda SC ni wepesi sana Yanga kafichua udhaifu wao.



Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mwanangu umechambua vzr kama huna undugu na mwasibu😃😃😂
 
Sasa unaandika upuuzi gani? Mwenyekiti wa vilabu ana uhusiano gani katika gori?.
Sasa Una replay upuuzi gani raisi wa caf ana uhusiano gani katika goli? correction please
(goli✔️) not gori❌ 🆗
 
Kama una uthibitisho wa upangaji matokeo mfano voice note, sms, video n.k unaweza kukata rufaa na mamelod akapokonywa ushindi na kufungiwa kabisa otherwise utaandika tu barua na ikionekana ni uzembe wa refa na timu yake ya VAR basi hao ndio watawajibishwa ila matokeo yatasimama vile vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…