Mimi ni huyo
Senior Member
- Jun 15, 2020
- 103
- 84
- Thread starter
-
- #41
Mkuu mimi kuna kitoto nilikipanga day flani, wakati kinakuja mida ta saa nne asubuhi nilikuwa getini nakisubiri. Kilipofika kikasema nisubiri nakuja saiv, nikajua kinaenda shop.
Bro kilirudi jioni, me sikumind wala nini. Nilikiuliza kikasema nilirudi jioni sikukukuta getini. Nikacheka sana.
Soma katiba ya nchi ujue haki zako za msingi huenda ukaja kukisaidia kizazi kijacho kiliko kulilia mapenzi kwa binadamu mwenzioNataman but ndo hivyo moyo unaangaika
Kwani mkuu huna demu mwingine? Kijana mwenzangu unategemea demu mmoja tena kaenda kikazi mkoa mwingine, daah pole.
Tafuta mbunye za kutosha mkuu. Maisha ndo haya haya na hivi viumbe kama visipopewa chanjo ya uviko 19 vitaendelea kusumbua sana
Wewe unaweza ujasiri huo mpendwa pamoja na kuachwa Stend 😀
Soma katiba ya nchi ujue haki zako za msingi huenda ukaja kukisaidia kizazi kijacho kiliko kulilia mapenzi kwa binadamu mwenzio
Achana na huyo, kuna njemba saiv saiv inajilia fresh tu. Kesho atakudanganya kishenzi.Yaan hapa najiuliza nikapihe ban au ningoje kukuche nikasikilize hadithi zake za sungura na fisi
Hapana aisee nilimuacha mrembo mmoja tulipendana sana. Mapenzi ya mbali ni mtihani basi akajiongeza kupunguza ugwadu [emoji23][emoji23][emoji23] huyu nilijua ni mke wangu lakini nilibanwa na kazi kama miezi minane mfululizo niko mikoani na pesa ilikuwa nzuri sana. Na ajira ndiyo iliyoniwezesha nijidai mujini na kutembea KIFUA MBERE [emoji23][emoji23] tena kwa mikogo lol! Nilikuwa nimeshanuia kufanya mke yule. Hasira zangu zilipoisha tukabaki kuwa marafiki. Nilimuonea huruma sana lakini samahani zake zote zikagonga mwamba.
Saizi anapigwa ile style yake pendwa[emoji23][emoji23]Article gan ya katiba nitayoweza kuisoma na kuielewa kwa wakat huu mkuu
Hio sehem unayohisi sio salama, kwake ni salama na ana enjoy sana. View attachment 1887723
Saizi anapigwa ile style yake pendwa[emoji23][emoji23]
Hana kasoro yoyote ikusaidie kupunguza machungu? Mimi demu akinizingua huwa nakumbuka kasoro yake alafu najisemea moyoni "demu mwenyewe ana kovu" aende zake.....inasaidia kupunguza machungu
Achana na huyo, kuna njemba saiv saiv inajilia fresh tu. Kesho atakudanganya kishenzi.
Mkuu Mimi ni huyo huwez kusoma chochote kama tu kuachwa stand umehangaika hivyo
Mbunye hazinipagi stress, nazimudu vizuri sana maana zipo kwa level tofauti tofauti tena za kutosha tu. Ukiwa nayo moja utateseka mjiniKaniweza mbwa uyu
Mbunye hazinipagi stress, nazimudu vizuri sana maana zipo kwa level tofauti tofauti tena za kutosha tu. Ukiwa nayo moja utateseka mjini
Kweli japo inauma nachojiuliza why aliniambia sasa anakuja wakat hata angekuja kimya nisingejua
Pole sana amepokelewa na anaempenda zaidi. Msubiri amalize mambo yake atakuchek. Wakati unamsubiri waweza tafakari na kuamua maamuzi ya huo uhusiano.
Anza maisha mapya ndugu yangu,anaekupenda hawezi fanya hivyo.
Ila fatilia kwanza huenda alipata shida fulani.
Ikichakwatwa wewe unaumia nini? Si ni mbunye yake ana uhuru nayo.?
Ifike wakati haya mapenzi tusiyape promo sana wakati kuna mengi ya kufanya