Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Sio sifa ila unajikusanyia kila aina ya mikosi na mabalaa.. ukiendelea hivi utashangaa mambo hayendi unaanza kumtafuta mchawi nani! Utamaliza makanisa na waganga kumbe mchawi ni wewe mwenyewe!
 
Mimi ni mbongo, hulka za watanzania wengi si unazijua mzee mwenzangu!!
 
mtiwa mafuta aliyechaguliwa na muumba hakutosheka na mbususu mie nani nitosheke na mbunye jamani.
mfalme sulemani alishasema wanawake ndio kiburudisho cha mwanaume. tuzishenyente mbususu hizi wanawane raha ya dunia ipo hapo
 
Sio aifa ila unajikusanyia kila aina ya mikosi na mabalaa.. ukiendelea hivi utashangaa mambo hayendi unaanza kumtafuta mchawi nani! Utamaliza makanisa na waganga kumbe mchawi ni wewe mwenyewe!
Daaah umenipa ukweli mtupu..
Umenipa ukweli mtupu aiseee
😢😢😢😢😢😢 Huu ni ukweli mtuuu na ndo NAYOPITIA
NDIO mana kuna mtu alinambia hao watu unaopita nao wana roho chafu ambazo unavyobeba kila siku unajiongezea mikosi..

Naapa kuacha huu ujinga naapa kuacha aiseee mara kumi nikae kwanza mwenyew hata mwaka mmoja bila.kuwa karbu na wanawake nifikili kuna sehemu tafika

Asante sana ndgu yangu asante sana...
Naacha sasa aiseeee 😢😢😢🙌🙌🙌🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…