Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

Kuna kile kipindi mtangazaji anasema kula chuma hicho
 
Kuna kipindi wanakuwepo mtu anajiita Babu Haji na Bi Hatya Omary, kinatufaa sana sisi wengine huku swaziland
 
Hawavumi lakini wamo.

Kivumbi leo
 
Taarifa ya habari kwenye yale makamamera ya 1948 , taarifa ya habari inakatwa kutangazwa kamali hakuna kitu cha maana itv


USSR
 
Kula chuma iko😂
 
Kuna tuamke asubuhi,michezo,jagina,mvalo,habari za saa,Al Jazeera,meza huru ,mapishi,na chetu ni chetu
 
Hivi ITV bado ipo?

Ukweli niuseme nilishasahau kama hicho kituo bado kipo, yaani simu ni kila kitu kuhusu habari nk.
Bado wapo ila wamepoteana kuna downfall kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…