Hivi hawa ITV ukiondoa taarifa ya habari, wana kipindi gani kingine cha maana?

Kwenye taarifa, itv wana udhaifu ufuatao (mtazamo wangu binafsi):
1. Taarifa zinapoletwa na waandishi wao, zinaanza vizuri, lakini kabla haijamalizika vizuri, utakuta wameikata na kuanza kumshukuru mwandishi wao, '" asante Diu" au " asante mwanaidi"
2. Volume (sauti) ya matangazo yao ya biashara inakuwa juu kuliko sauti ya taarifa. Hii inalazimisha uwe na remote muda wote kupunguza sauti ya matangazo na kuongeza kwenye taarifa. Tatizo hili pia nimeliona star tv.
Bahati mbaya alternatives hazipo... au ziko worse.
 
Bado wapo ila wamepoteana kuna downfall kubwa sana
Kweli kabisa, downfall lazima iwepo maana dunia inageuka daily, mfano tukio linatokea now na on 10sec naliona na kusoma online, sasa niende kusubiri saa 20:00 si kupoteza muda?.

Alafu media za Gen Z zimeleta mapinduzi makubwa sana so no one can waste time to this.
 
Hawavumi lakini wamo
 
HAWAVUMI LAKINI WAMO umewahi kukifuatilia ?

Bonge la kipindi ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Tbc hujawaona unawasakama ITV ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawavumi lakini wamo kuna Mkubwa Zomboko yupo makini sana pale....
 
Ukibaki na watu waliopikwa na Babu wa Kimansichana marehemu Nyaisanga (R.I.P) dunia ya leo hautatoboa.
 
ITV inaiacha mbali sana Wasafi na stesheni zingine hapa nchini kwa habari na documentaries
 
Yeah ITV imetutoa mbali enzi hizo kuna filamu kutoka kenya inaitwa Cobra Squad ikianza kuna mziki unaimba
"Niliambiwaaa๐ŸŽถ Na Babu yanguu๐ŸŽถ
Kweli zubaazubaa๐ŸŽถ utapata mwana si wakoo๐ŸŽถ
Oyaaa
 
Sikupingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ