BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Hata ripoti maalumu mkuu sio kipindi cha maana??Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
Hata ripoti maalumu mkuu sio kipindi cha maana??
Kipo vizuriMalumbano ya hoja😂
[emoji16][emoji16]ILA ITV CAMERA ZAO HATA SIMU YANGU C30 INAWAZIDI KWAKWEL, HASA WAKIWA LIVE UTACHOKA, CHUPA YA MAJI HUON MAANDISH SASA HIYO CAMERA AU KIOO
Kilikuwa kipindi changu pendwa lakini siku hizi sijui kimeanza kupoteaHivi kipindi cha Mizengwe bado kipo?
Si ndiyo vituo vyenu vya Tanzania vilivyo jamani?! Tutazame ni wapi kwingine ambako wana cha maana ukiondoa kimojawapo?Kwa miongo kadhaa ITV kimekuwa kituo pendwa kwenye habari hasa habari yao ya saa 2 usiku.
Ijapokuwa siku hizi taarifa zao ni za uchawa sana, hatushangai hii ni moja ya legacy aliyoacha Magufuli kwenye media zote za Tanzania.
Turudi kwenye mada husika sioni ushawishi walio nao ITV kwenye vipindi vyao vingine vyote vilivyobaki labda kidogo malumbano ya hoja.
Ila cha ajabu wanajiita Superbrand.
Kuna dakika 45. Kipo vizuri
Vipindi bora nI uwekezaji mkubwa
Taarifa yao ya habari haina habari za kimataifa hasa mbelembeleKipindi Cha maana kilikua kile dk 45 wakati kipo live Na Emmanuel Buholela kabla haja sogea white house. Siku hizi yupo Farkia anauliza leading questions 😏😏 Upumbavu mtupu