Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

Muhimu niwe na sehemu guaranteed kabisa ya kushushia waajemi, swala la pesa ni mtambuka sana. Hata zikiwepo bado changamoto haziishi.
 
kama ni hivyo,
basi bei ishushwe kidogo ili wengi waweze kuafaord maana inaonekana gharama inaongezwa kiholela ndio maana mahusiano mengi yana matatizo hivi sasa πŸ’
Kwani si nimesikia hata kwa 5k unauziwa, sasa ulitaka upate chini ya hapo mkuu?
 
Mwanaume epuka wanawake hawa;
1. Mwanamke aliyefulia (a broke woman)
2. Single mother.

Ila wewe Tlahtlah hilo kabila lenu ukioa lazima mkeo atembelewe na mabinamu wengi sana wa kiume. Yaani kila mwanaume wa kabila lake ni binamu. Imekaaje hii?
 
Just simple, muulize baba yake ana vitu vyote hivyo anavyohitaji pamoja na umri wake kwenda?
 
Kwani si nimesikia hata kwa 5k unauziwa, sasa ulitaka upate chini ya hapo mkuu?
wazoefu wa masoko kama hivi,

ndio sasa muwaelekeze wadau hayo machimbo yalipo ili nao wakajiuguze ndrugu zango πŸ’
 
Mbn tabu yenyewe tushaiona na tunaikumbatia mzee tuachekwanza ndoa ni utapeli πŸ˜‚ kataaa
unajua pepo la kataa ndoa ni bishi kichizi, nadhani kuna haja ya manabii kukutana na kujadiliana namna ya kulikabili πŸ’
 
Ukweli mtupu mchungu,dah πŸ’
 
Mwanaume epuka wanawake hawa;
1. Mwanamke aliyefulia (a broke woman)
2. Single mother.

Ila wewe Tlahtlah hilo kabila lenu ukioa lazima mkeo atembelewe na mabinamu wengi sana wa kiume. Yaani kila mwanaume wa kabila lake ni binamu. Imekaaje hii?
kabila langu lipi sasa Suni au Shia?πŸ’
 
Muhimu niwe na sehemu guaranteed kabisa ya kushushia waajemi, swala la pesa ni mtambuka sana. Hata zikiwepo bado changamoto haziishi.
na mwenzio nae anaweza kua na mahali pa kufanyia mazoezi ya rafu ili aongezee ulipoishia πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…