Hivi haya yanayofanyika siku hizi ni mapenzi kweli au biashara ya mapenzi?

Muhimu niwe na sehemu guaranteed kabisa ya kushushia waajemi, swala la pesa ni mtambuka sana. Hata zikiwepo bado changamoto haziishi.
 
kama ni hivyo,
basi bei ishushwe kidogo ili wengi waweze kuafaord maana inaonekana gharama inaongezwa kiholela ndio maana mahusiano mengi yana matatizo hivi sasa 🐒
Kwani si nimesikia hata kwa 5k unauziwa, sasa ulitaka upate chini ya hapo mkuu?
 
Mwanaume epuka wanawake hawa;
1. Mwanamke aliyefulia (a broke woman)
2. Single mother.

Ila wewe Tlahtlah hilo kabila lenu ukioa lazima mkeo atembelewe na mabinamu wengi sana wa kiume. Yaani kila mwanaume wa kabila lake ni binamu. Imekaaje hii?
 
Mapenzi yalikuwapo kabla ya pesa kuja.

So mkorofi ni yule anayeipa pesa umuhimu kwenye mapenzi as if siku zote na miaka yote pesa ilikuwa na umuhimu.

Shida wanawake zetu wa kisasa wana "entitlement mindset" sana. Kwao ni muhimu sana kutaka jambo hata kama sio stahiki yao ndipo wakupe mahusiano.

Imagine mtu anataka uwe na gari, nyumba vyote viwe vya gharama, uwe na salio kubwa benki ili wakupe thamani ya kuwa mume katika maisha.

Ila ukiwaambia tuanze vitafuta hawakuelewi.
Just simple, muulize baba yake ana vitu vyote hivyo anavyohitaji pamoja na umri wake kwenda?
 
Kwani si nimesikia hata kwa 5k unauziwa, sasa ulitaka upate chini ya hapo mkuu?
wazoefu wa masoko kama hivi,

ndio sasa muwaelekeze wadau hayo machimbo yalipo ili nao wakajiuguze ndrugu zango 🐒
 
Mapenzi yalikuwapo kabla ya pesa kuja.

So mkorofi ni yule anayeipa pesa umuhimu kwenye mapenzi as if siku zote na miaka yote pesa ilikuwa na umuhimu.

Shida wanawake zetu wa kisasa wana "entitlement mindset" sana. Kwao ni muhimu sana kutaka jambo hata kama sio stahiki yao ndipo wakupe mahusiano.

Imagine mtu anataka uwe na gari, nyumba vyote viwe vya gharama, uwe na salio kubwa benki ili wakupe thamani ya kuwa mume katika maisha.

Ila ukiwaambia tuanze vitafuta hawakuelewi.
Ukweli mtupu mchungu,dah 🐒
 
Mwanaume epuka wanawake hawa;
1. Mwanamke aliyefulia (a broke woman)
2. Single mother.

Ila wewe Tlahtlah hilo kabila lenu ukioa lazima mkeo atembelewe na mabinamu wengi sana wa kiume. Yaani kila mwanaume wa kabila lake ni binamu. Imekaaje hii?
kabila langu lipi sasa Suni au Shia?🐒
 
Muhimu niwe na sehemu guaranteed kabisa ya kushushia waajemi, swala la pesa ni mtambuka sana. Hata zikiwepo bado changamoto haziishi.
na mwenzio nae anaweza kua na mahali pa kufanyia mazoezi ya rafu ili aongezee ulipoishia 🐒
 
Back
Top Bottom