Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

Hali ingekuwa ni mbaya mnoo...
 
Mungu fundi
 
Tungekuwa tunapigana vita za kikabila saa hii.
 
JPM kama binadamu mwingine yoyote yule, ana mazuri yake, lakini pia ana mabaya yake, japokuwa mabaya yake ni mengi zaidi kuliko mazuri yake.
 
Huyo JPM mnayemtukana humu kwani aliwapa Ujauzito alaf akaukataa au ? Huu uzi umejaa Wajinga tupu

Nauli zimepanda, vyakula bei zimepanda, Dola nchini imepungua, rushwa imeshamiri, watumishi wa hospitalini na Maofisini kazi yao saiv ni kusimanga watu wanaoenda kupata huduma,

Hayo yote kipindi cha JPM hayakuwepo maan utawala wake ulitukuka sana na kuogopwa, alikuwa na sifa za Kuwa kiongozi na itabaki hivyo ni ngumu kuifuta historia ya JPM mtahangaika sana ila Mtashindwa. Mtu katawala miaka 5 tu ila kaacha historia ya maendeleo bora ambayo awamu zote zilizopita hawajawahi kuiweka.
 
Mishahara ya nyoko?

Unaongezewa elfu 20 kisha gharama za maisha zinapanda kwa 200% kisha unakata viuno kushangilia?

Huo ni utahira
 
Huu Sasa ndo mfano halisi wa ufinyu wa mawazo.
 
Fukwe za bahari zingetapakaa miili ya watu kwenye sandarusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…